Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu

Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.

Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.

To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.

Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)

Until now I know he’s lying for everything[emoji3064][emoji3064][emoji3064] but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho[emoji38][emoji119])

And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa[emoji22]. Nimelia sana saana.

Nowadays nakuwa na hasira sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane[emoji1787]

Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25[emoji16]
Hizo ni changamoto za kawaida kwenye maisha
 
Ogopa mwanamke anayechanganya vi-ingereza vya kuchovya chovya na kiswahili kama anachnaganya mahindi na maharage.
 
Nyanyuka, jifute vumbi uanze safari nyingine. Hadi umpate wa kukuoa kuna kuanguka kwingi, kulia kwingi, kuumizwa sana na kukata tamaa. Keep your head high and enjoy the good moments while waiting for the right man.
 
As u said una intuition, so just trust in that knowing and utapata majibu sahihi... humu kila mtu na mawazo yake. All in all time will tell. That’s part of finding the right one.
 
Achana nae dear nilichojifunnza kwenye maisha kilakitu hutokea Kwa makusudi utapata mtu ataekupenda sana Hadi ushangae ila tu ukikubali kumove on

Wanasema huwez kubeba ndoo ya maji masafi ikiwa mkononi una ndoo ya maji machafu,tupa hiyo ndoo ya maji machafu upate nafasi ya kubeba yaliyo safi
 
Back
Top Bottom