Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu

Jan 31, 2022
75
232
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.

Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.

To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.

Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)

Until now I know he’s lying for everything but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho)

And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa. Nimelia sana saana.

Nowadays nakuwa na hasira sana. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane

Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25
 
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri ( I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years..
Mwanzo nljua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huko… siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25..
To be honest nlivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia.. ( I was busy minding my own business)and I never cheated

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa.. pia alkua ananikwepa nisiende kwake..
Actually mm nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa( ila wanaume nyie ni mbwa mtafutage sababu zenye mashiko)
Until now I know he’s lying for everything but he doesn’t know kama najua.. ( kipenda roho)

And I decided to cut him off But akinichek
nashindwa mu ignore kabisa Nimelia sana saana..
Nowadays nakuwa na hasira sana
Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane


Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha( hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25
nadhani ni nature,

wanaume kwa baadhi ya makabila na mashehebu, kuinvest kwa rafiki wa kike kadhaa hata baada ya kuolewa, ni kawaida, na kwakweli kua na altenatives girlfriends ili kusudi endapo litatokea la kutokea basi awe na angalau mbadala wa karibu wa kujisitiri akiwa anajipanga kuvuta chombo kingine...

kwaajili ya afya ya akili kutulia ni jambo zuri...

ila kiimani hatushauri jambo hili...
 
The problem is you can't be alone. You don't love yourself much that's why you allow him to use you ( may be you are using him. As you said he is shuting you down and yet you are still clinging to him as a leach)

25 is good age. When you reach 28 you wouldn't have the luxury to date casually. Wasting time with a relationship that isn't going anywhere is the same as denying yourself the chance to meet the right person for you.

Best of luck.
 
nadhani ni nature,

wanaume kwa baadhi ya makabila na mashehebu, kuinvest kwa rafiki wa kike kadhaa hata baada ya kuolewa, ni kawaida, na kwakweli kua na altenatives girlfriends ili kusudi endapo litatokea la kutokea basi awe na angalau mbadala wa karibu wa kujisitiri akiwa anajipanga kuvuta chombo kingine...

kwaajili ya afya ya akili kutulia ni jambo zuri...

ila kiimani hatushauri jambo hili...

huwa mnawaza kwamba huwa tunaumia mkifanya ivo na kuondoka.. ?
kingine naona kama kuna baraka nazuia nikendelea nae..
 
Back
Top Bottom