Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu

Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu

Jamaa anataka uwe sidechick wake.
Awe anajipigia akitaka.

Move on, there is better life ahead.
How to move on?

Just put much your energy in important aspects of your life apart from romatic relationship.
Education
Job
Spiritual
Hobbies
Relationships
Etc.

You will meet new people
And this time be wise to choose who you date with.
 
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.

Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.

To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.

Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)

Until now I know he’s lying for everything[emoji3064][emoji3064][emoji3064] but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho[emoji38][emoji119])

And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa[emoji22]. Nimelia sana saana.

Nowadays nakuwa na hasira sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane[emoji1787]

Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25[emoji16]
i love u
 
Eti Wanaume wote ni mbwa....hii ni hasira tu, tumekusamehe!!!Ukipona uchungu ulionao,utatuomba msamaha.
 
Achana nae dear nilichojifunnza kwenye maisha kilakitu hutokea Kwa makusudi utapata mtu ataekupenda sana Hadi ushangae ila tu ukikubali kumove on
Hakuna wa kukupenda sana kama wewe hurudishi upendo na kumaindi Biashara zako
Wanasema huwez kubeba ndoo ya maji masafi ikiwa mkononi una ndoo ya maji machafu,tupa hiyo ndoo ya maji machafu upate nafasi ya kubeba yaliyo safi
 
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.

Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.

To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.

Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)

Until now I know he’s lying for everything[emoji3064][emoji3064][emoji3064] but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho[emoji38][emoji119])

And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa[emoji22]. Nimelia sana saana.

Nowadays nakuwa na hasira sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane[emoji1787]

Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25[emoji16]
Umeamua kuja kunisema humu sasa!
 
Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU
Kwenye wekundu soma mara tatu halafu fikiria haya.

1. Hakuwachi kwani wewe na yeye mmeachana au yeye ameamua kuoa mwengine na wewe kukuacha peke yako.

2. Hatokuwacha kama mke au mchepuko?.

3. Utata wa hayo maneno kuwa mwenzio kaona hufai kuwa mkewe ila unafaa kuwa spear tire yake.

4. Hakuwachi kwa kuwa anakupenda au anapenda papuchi yako tu?.
 
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years...
Lovely lady,umri wa mwanamke unaenda haraka sana compared to men.Huyo atakupotezea muda tu na tayari ana maisha yake ambavyo ww haumo kbs!

MUNGU anajaribu kukuepushia jambo(pray about that akuonyeshe ni nn)+Your right person will come na hautakuwa doubts nyingi km hz!
 
You need to fucks with me Asap ili uweze kumdelete permanently😁! Unaweza ukachukulia utani ila thats the main solution. #Mndewa
Nigga, come on…she arleady on some deep shit, leave her alone 😂😂😂. Hajamsahau jamaa wa kwanza na wewe unataka kufanya vitu asikusahau, jamaa cut that infinity loop
 
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years...
Olewa uache kuzini na Mume wa mtu, utafanywa kitu mbaya na Mungu au Walimwengu wenyewe kama sio Microorganisms.
 
The problem is you can't be alone. You don't love yourself much that's why you allow him to use you ( may be you are using him. As you said he is shuting you down and yet you are still clinging to him as a leach)

25 is good age. When you reach 28 you wouldn't have the luxury to date casually. Wasting time with a relationship that isn't going anywhere is the same as denying yourself the chance to meet the right person for you.

Best of luck.
You nailed it 📌
 
Najitahidi kumsahau lkn akinitafuta tu
Naanza kumuwaza tena, anajua he’s my weakness [emoji2356][emoji2356]
Love yourself and let life go on, unapoteza muda wako tu. Utakuja kujutia baada ya miaka, He decided to look for another soulmate na siamini Sasa hivi Mtoto wa kiume anatafutiwa Mpenzi. Usipoteze muda wako angalia ustaarabu mwingine tu.
 
Back
Top Bottom