MIRABEL CRAWLY
Member
- Jan 31, 2022
- 97
- 299
- Thread starter
- #61
Move on girl hauna mtu hapo atakupotezea muda wako na chance za kupata mtu sahihi


Move on girl hauna mtu hapo atakupotezea muda wako na chance za kupata mtu sahihi


kwako wewe kuendelea nae ni kijichelewesha mwenyewe kupata baraka zako....
ifike mahala ujitegemee katika kuamua mustakabali wako, unless umekwama hapo licha ya ishara zote za kwamba wewe si muhumu au wala sio chaguo lake la kwanza. Labda huenda hayupo wa kukukwamua right?...
rejea kauli yake, ya kwamba hata ukiolewa hatakuacha, then huyo anae wa muhumu zadi yako...
kung"ang"ana apo ni kujiumiza mwenyewe...
Roho Mtakatifu akujaalie unyenyekevu na utulivu, alainishe moyo wako ili hatimae iwe rahisi kwako kuskia sauti ya wito wa Mungu katika maisha yako ya kila siku ikiwa ni pamoja na mapenzi ya kweli, ya dhati na ndoa...

Kuwa kuwa kwanza miaka 25 bado mtoto.

Haha unaona kingeresa kitu ya ajabu lugha huyo tu mzee. Au niandike kichagaVingereza vingi......in reality its not True.....unakimwaga kama vile unayaweza.
Mkuu hayana Mwongozo
Kuita wanaume Mbwa umekosea Sana hapo.
At your age 25 years ur oldest enough to be humble and to ignore the harsh words.
Mimi ushauri wangu ukitaka strong and matured relationship hakikisha unaibadilisha wizara ya mdomo.

Ni hasira tu!![]()
Umekimwaga sanaHaha unaona kingeresa kitu ya ajabu lugha huyo tu mzee. Au niandike kichaga
Hawa First Year wa vyuo wako hivyo hivyo.....hawezi badilika hadi amalize chuo aje mtaaniKuwa serious life is not act (drama) but life is action
They way you appear ,they ur writing they way you respond - you narrate a story you seem to be depressed and bitch
Shape ur perception
MTU anashindwa akusaidieje kwa kuishi maisha ya maigizo jitahidi uwe unaandika vizuri na kuwa makini.
MTU kukupiga chini ni pamoja na hiyo kuchukulia mambo for granted
Tatizo comment yako umeshaharibu mpaka nakosa nguvu ya kumpa ushauri mzuri binti, rafiki yangu!Humu Kuna mijitu itahis hii ni tangazo la nafasi ya kazi kwenye nyeti zako hii nchi ina vijana wapuuzi sijawahi ona
Hakupendi anataka akufanye wa matumizi ,mchepuko,kiburudisho kahaba wakeHello JF Family..
Need a HELP
I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.
Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.
To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.
Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.
Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)
Until now I know he’s lying for everythingbut he doesn’t know kama najua ( kipenda roho
)
And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa. Nimelia sana saana.
Nowadays nakuwa na hasira sana. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane
Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU
NB: I’m 25![]()
And I decided to cut him off But akinichekSina utoto[emoj
Hakupendi anataka akufanye wa matumizi ,mchepuko,kiburudisho kahaba wake

And I decided to cut him off But akinichek
nashindwa mu ignore kabisaNimelia sana saana..![]()
Nowadays nakuwa na hasira sana![]()
![]()
![]()
Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane![]()
Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha( hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU
NB: I’m 25![]()
hii part mimi nimeichukua personal sana ina utoto mwingi mno ukiisoma bila kuweka hisia![]()

Tatizo comment yako umeshaharibu mpaka nakosa nguvu ya kumpa ushauri mzuri binti, rafiki yangu!
Siku zote wanawake na mabinti wamekuwa wahanga katika mahusiano ya kimapenzi.
Kaka niajeYou need to fucks with me Asap ili uweze kumdelete permanently😁! Unaweza ukachukulia utani ila thats the main solution. #Mndewa