Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu

Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.

Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.

To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.

Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)

Until now I know he’s lying for everything[emoji3064][emoji3064][emoji3064] but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho[emoji38][emoji119])

And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa[emoji22]. Nimelia sana saana.

Nowadays nakuwa na hasira sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane[emoji1787]

Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25[emoji16]
Sasa wewe ni 25 girl ambaye umesema hubabaishwi....! Na unataka tena majibu ya maswali yako toka kwa mbwa?
 
Muombe Mungu akupe majibu, lazima akukomboe na utakua sawa hofu na wasiwasi juu ya hayo mahusiano itaondoka, na kama ni shetani kapandikiza Kwa huyo mtu wako atakaa sawa, Ili kesho Yako isiharibiwe na mahusiano yasiyo na tija
 
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.

Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.

To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.

Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)

Until now I know he’s lying for everything[emoji3064][emoji3064][emoji3064] but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho[emoji38][emoji119])

And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa[emoji22]. Nimelia sana saana.

Nowadays nakuwa na hasira sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane[emoji1787]

Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25[emoji16]
una nyege tu ww!! Hapo huitaji ushauri unahitaj Mjegeje tu!!😂😂😂hamna cha kushauli
 
Come on let's date and if it works out natangaza ndoa as soon as possible!
Kindly hit my dm future wife😘
 
Unataka tukushauri nini?
 
Utoto unakusumbua na kupenda kuwa delusional na maisha ya tamthilia.
Binti wa miaka 25 unashindwa kabisa kujitambua????

Huo ni umri wa kutafuta kujipata kiajira/biashara, kuwa intentional na kuanzisha familia hivyo jijengee personality ambayo upo comfortable nayo na ambayo itaatract mwenza wa maisha.

Ila upo hapa being delusional, akili kama hizi ndo hata upate kijana wa kuelewa utaishia kuchat na kuliwa na huyo jamaa.

Ungekua wa maana angekuoa, ila kakuona KIPOOZEO TU NA AKILI KISODA ndo maana anajiongelesha hivyo.

JITAMBUE WEWE BINTI SAWA????
 
Ngoja nije PM,
Utamsahau huyo jamaa.

Mimi ukitaka nikupende poa, ukitaka nisikupende poa pia.
 
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.

Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.

To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.

Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)

Until now I know he’s lying for everything[emoji3064][emoji3064][emoji3064] but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho[emoji38][emoji119])

And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa[emoji22]. Nimelia sana saana.

Nowadays nakuwa na hasira sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane[emoji1787]

Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25[emoji16]
Kama unampenda akaamua kuwa mchepuki it's okey ni uamzi wako ila wapo wanaume mamilioni ambao ni single move on
 
Back
Top Bottom