Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu

Kubali hili liishe. Kuyapeleka mbele au kuyaendeleza haya mahusiano itakuletea hasira zaidi.

Aliwahi kuniambia mzee mmoja kuwa ''njia rahisi ya kuishi ni kukubali mambo yaliyofikia mwisho yafike mwisho bila jitihada ya kuyaendeleza''

Hii ina-apply sana kwenye mahusiano. Yakifika muda wa kuisha, yaache yaishe.
 
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.

Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.

To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.

Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)

Until now I know he’s lying for everything but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho)

And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa. Nimelia sana saana.

Nowadays nakuwa na hasira sana. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane

Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25
TANGAZO limekaa utamu ngoja tuje PM fasta!
 
Hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kumwacha mwanamke sahihi ,must be una shida ,na hata katika reply na uzi wako inaonyesha hivyo,

So badilika una shida mahali
 
Ushauri was kibabe kbs huu👍😃
Sasa unataka tukujibu kitu gan we mdada?

Umeshasema kwamba kwenye mahusiano yenu ulikuwa humsumbui kabisa, akikupigia simu we unaona poa na asipokupigia simu pia unaona poa

Unakuwa busy na mambo yako,

Sasa umetuambia kashakuchana kwamba ametafutiwa mke ila unajua kwamba kakudanganya

Sasa unashindwa nini kujiongeza.

Na kakwambia kabisa ukimpata mtu wa kukuoa uolewe sasa unataka ushaur gani hapo?

Au kwakuwa kakwambia hata ukiolewa hakuachi ndio unachanganyikiwa?

Sasa we olewa halafu m cheat uyo mwanaume aliyekuoa uendelee kugegedwa na uyo x wako

Unaona kabisa kwamba unachezeleka halafu bado unakuja kutuuliza hard shit hizo

Yeye hakuoi ila anataka akugegede kila anapokuwa na shida na ww

Hata ukiolewa aendelee kukutomb... tu sasa we amua mwenyewe uendelee kumcheat jamaa atakayekuwa amekuoa kwa sababu ya uyo boya wako au veep

Umeandika kingereza mwenyewe tunakuona msomi matokeo yake unatuuliza maswali hayana hata msingi

Jibu sasa ni hili, hata ukiolewa endelea kumpa tu na uyo x wako aendelee kukugegenda

Ukiachika rudi umu jukwaan waoaji wengine tupo
 
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.

Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.

To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.

Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)

Until now I know he’s lying for everything but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho)

And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa. Nimelia sana saana.

Nowadays nakuwa na hasira sana. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane

Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25
Achana naye.. Wewe hupendwi, huyo anayemficha ndiyo anapendwa zaidi yako na inahitaji akili ya kawaida tu kufahamu hilo. Huo ndiyo ukweli unaopaswa ukubaliane nao.

Ati anasema when he gets married na wewe ukiolewa pia hatokuacha, hapo kwa maana nyingine anakuandaa muwe mnaendelea kucheat. Huo ni ujinga, achana kabisa na hayo mahusiano. It's not worth it
 
Hello JF Family..
Need a HELP

I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.

Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.

To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.

Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.

Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)

Until now I know he’s lying for everything but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho)

And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa. Nimelia sana saana.

Nowadays nakuwa na hasira sana. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane

Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25
Watakujibu "mbwa"...kama nilivyo mbwa mwenye mkia. 👍
 
Halafu kuna mtu atakuja kukuoaa kumbe tayari ni mali ya mtu, if you choose to move on move on completely sio useme unashindwa kumuignore.
 
Back
Top Bottom