Hello JF Family..
Need a HELP
I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri ( I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years..
Mwanzo nljua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huko… siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25..
To be honest nlivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia.. ( I was busy minding my own business)and I never cheated
Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa.. pia alkua ananikwepa nisiende kwake..
Actually mm nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa( ila wanaume nyie ni mbwa[emoji81][emoji81][emoji81] mtafutage sababu zenye mashiko)
Until now I know he’s lying for everything[emoji3064][emoji3064][emoji3064] but he doesn’t know kama najua.. ( kipenda roho[emoji38][emoji119])
And I decided to cut him off But akinichek
nashindwa mu ignore kabisa[emoji22] Nimelia sana saana..
Nowadays nakuwa na hasira sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane[emoji1787]
Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha( hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU
NB: I’m 25[emoji16]