RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,861
- 129,817
Tayari from ........14hiyo ni halotel
Tayari from ........14hiyo ni halotel
asante nimepokea.naahukuru mnoTayari from ........14
Karibuasante nimepokea.naahukuru mno
asante nimepokea.naahukuru mno
labda valentina.haladu atanitumia.sina mtu wa karibu wa kumwomba akafanya hivo huku niliko.Kama kuna mtu unayemwamini nipatie jina lake ili niweze kumtumia halafu yeye atazichukua na kuiupatia.
labda valentina.haladu atanitumia.sina mtu wa karibu wa kumwomba akafanya hivo huku niliko.
asante mkuu.nashukuru700K sio pesa nyingi ya sisi humu member wa jf tukiamua kumchangia kama tukipatika watu 70 tukatoa elf 10 kila mmoja tunakuwa tumemsaidia mwenzetu.
asante piamuone gwajima au lusekelo
asante mkuuPole sana dada,
Fact700K sio pesa nyingi ya sisi humu member wa jf tukiamua kumchangia kama tukipatika watu 70 tukatoa elf 10 kila mmoja tunakuwa tumemsaidia mwenzetu.
kama una nambavya simu hata haiko online mara zote iweke, pia kama una e mail iweke ili ukiingia utazikuta txtamen..nashukuru
Aggyjay jamani, imeniuma sana mpendwa, Mungu akuponyeasante mkuu.niko tayari kwa hilo pia
Yes afanye hivyo tulichonacho tutatoaPole sana kwa maumivu unayopata, ila hongera kwa juhudi ulizochukua ili kujua tatizo liko wapi.
Nashauri uongee na jf admins/moderators, wapate uhakika wa unachosema ili waruhusu uweke contacts zako hapa, mwenye nacho kidogo akusaidie. Naamini utasaidika ili upate unachohitaji.
Again, pole sana.
Sawa Aggy nami natuma nilichonacho,nakuombea upone harakanamba zangu ni
0624 108 319 halotel
0710 078 018 tigo
nashindwa kuedit post
asante dear..nashukuruSawa Aggy nami natuma nilichonacho,nakuombea upone haraka
amina..na iwe hivyoAggyjay jamani, imeniuma sana mpendwa, Mungu akuponye
Ngabu Mungu akuzidishieKwa sasa niko mbali kidogo lakini hiyo siyo ishu.
Nikipata mtu wa uhakika naweza kumtumia kupitia MoneyGram halafu yeye akamrushia kwa kupitia local money transfer services.....