Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,831
- 43,525
MwachiluwiKwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana.
Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni mreplace na mwanamke mwingine kihisia ili nimalize. Ama sivyo tutakesha. Ye anamaliza vizuri mpaka anachoka. Mimi simalizi sababu sina hisia naye.
Tumbo. Ana tumbo kubwa shape yake nzuri imeharibika. Tumbo lipo mbele na pembeni. Yaani amepoteza mvuto kabisa though sura bado imebaki ni nzuri. Hili jambo limekuwa hivi kwa muda mrefu sana. Mpaka sasa nakwepa hata kuonana naye. Maana hanivutii kabisa.
Kuna mwingine mpaka najaribu kulala naye mara kadhaa but hamna kitu pamoja na kuwa na shape ambayo wengine wanaipenda. Mimi nashindwa sababu ya tumbo lake kubwa limeanguka na maziwa hivyo hivyo napomwona nakosa kabisa hisia naye.
Sasa sielewi hili jambo nliondoe vipi kichwani ili niwe ok napokuwa na mwanamke wa namna hiyo. Coz otherwise naona ni ngumu kabisa ku sex na mwanamke mwenye tumbo kubwa. Hata aweje nashindwa.
Halafu 'dushelele' lako linakupenda halikudhalilishi!Kwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana.
Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni mreplace na mwanamke mwingine kihisia ili nimalize. Ama sivyo tutakesha. Ye anamaliza vizuri mpaka anachoka. Mimi simalizi sababu sina hisia naye.
Tumbo. Ana tumbo kubwa shape yake nzuri imeharibika. Tumbo lipo mbele na pembeni. Yaani amepoteza mvuto kabisa though sura bado imebaki ni nzuri. Hili jambo limekuwa hivi kwa muda mrefu sana. Mpaka sasa nakwepa hata kuonana naye. Maana hanivutii kabisa.
Kuna mwingine mpaka najaribu kulala naye mara kadhaa but hamna kitu pamoja na kuwa na shape ambayo wengine wanaipenda. Mimi nashindwa sababu ya tumbo lake kubwa limeanguka na maziwa hivyo hivyo napomwona nakosa kabisa hisia naye.
Sasa sielewi hili jambo nliondoe vipi kichwani ili niwe ok napokuwa na mwanamke wa namna hiyo. Coz otherwise naona ni ngumu kabisa ku sex na mwanamke mwenye tumbo kubwa. Hata aweje nashindwa.
Bado nawaza kwenu wenzangu, inakuwaje hadi unalala na mwanamke ambaye siyo chaguo la moyo wako?Nilikuwa nimeshazoea viportable siku nimekutana na mwanamke wa hvyo tena alikuwa mfupi aiseee nilihis nimelala juu ya kifurushi aisee hisia zilikata kabisa
MBona amekutukana na hajaona?Unapewa majibu halafu unajibu Kwa nyodo!
Pambana na Demu wako huyo Mbovu,Acha kusumbua watu asubuhi asubuhi mwehu wewe
Atajua yeye na shida zakeMwachiluwi
Njoo kaka..
Alikuwa mpenz wangu wa zaman,sasa alikuja kwao hvyo jion akanywa pombe sjui zilishuka chini akafosi sana kuja kwangu hyo jioni ikabid nimkaribishe tu,akalala mpaka asubuhBado nawaza kwenu wenzangu, inakuwaje hadi unalala na mwanamke ambaye siyo chaguo la moyo wako?
Hahahahaha Maarass! Eti usionekane mnafikiSidhani kama ni tatizo, yatakuwa mapendeleo yako tu.
Tafuta mwanamke mwembamba.
Kama na wewe una kitambi lazima ukiondoe ili usionekane mnafki.
Na mliachana siku nyingi sana inaonekana!Alikuwa mpenz wangu wa zaman,sasa alikuja kwao hvyo jion akanywa pombe sjui zilishuka chini akafosi sana kuja kwangu hyo jioni ikabid nimkaribishe tu,akalala mpaka asubuh
Jukwaa la wajuaji hili, 'vigimbi kama vya tompoo' ndiyo vinini hivyo?Aisee katika vitu sivipendi kwa wanawake manyonyo.mqkubwa ,tumbo,ngozi ngumu na vigimbi kama vya tompoo bika kusahau makalio pasi
Hujakosea kabisa ndo hvyo ilivyokuwa,tulikuwa tuna muda hatujasex ila tulikuwa tukionana mara moja moja akija kwao na kuna kipind mim nilkuwa na mke hvyo tuliishia kuongea tuNa mliachana siku nyingi sana inaonekana!
Changes za kuota vitambi na manyonyo 'kutela', dah zilipendwa sana huyo itakuwa, maana hapo itakuwa ashazaa sana.
Sasa bado nawaza: ingelikuwa ni kuozeshwa kwa kuchaguliwa mchumba kisha kuletewa mke kama mila zetu zinavyotaka, ndiyo kuonekana mtu huna nguvu za kiume hapo isee na demu kutamba kabisa...'nimeolewa na mwanaume siyo ridhiki'...! πππ
Kumbe roho tu imemkinai, mapenzi yana vipengele sana.