Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,404
- 5,576
Tafuta shughuli ya kufanya
😁 😁 kwamba inabid ule ugali kwa picha samaki....ametisha sanaKwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana.
Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni mreplace na mwanamke mwingine kihisia ili nimalize. Ama sivyo tutakesha. Ye anamaliza vizuri mpaka anachoka. Mimi simalizi sababu sina hisia naye.
Tumbo. Ana tumbo kubwa shape yake nzuri imeharibika. Tumbo lipo mbele na pembeni. Yaani amepoteza mvuto kabisa though sura bado imebaki ni nzuri. Hili jambo limekuwa hivi kwa muda mrefu sana. Mpaka sasa nakwepa hata kuonana naye. Maana hanivutii kabisa.
Kuna mwingine mpaka najaribu kulala naye mara kadhaa but hamna kitu pamoja na kuwa na shape ambayo wengine wanaipenda. Mimi nashindwa sababu ya tumbo lake kubwa limeanguka na maziwa hivyo hivyo napomwona nakosa kabisa hisia naye.
Sasa sielewi hili jambo nliondoe vipi kichwani ili niwe ok napokuwa na mwanamke wa namna hiyo. Coz otherwise naona ni ngumu kabisa ku sex na mwanamke mwenye tumbo kubwa. Hata aweje nashindwa.
Atafanya na fisi shaurizake...Fanya nae usiku tu.
Unapewa majibu halafu unajibu Kwa nyodo!Njoo nikuoe basi kama wewe huna mume. Ili uondokane na shobo
Umechanganya wanawake wengi kiasi wanakuvuruga kihisia ukiwa na mmoja. Hata ukimpata huyo unayemtaka muda mfupi utakuja kulalamika hapa.
Hilo tatizo la kisaikolojia
Unapewa majibu halafu unajibu Kwa nyodo!
Pambana na Demu wako huyo Mbovu,Acha kusumbua watu asubuhi asubuhi mwehu wewe
Kwanza umeoa au unataka kuleta uwasherati hapa
Kwani mwajuma ndara ndefu na aisha chupi kubwa mtaani ujawaona huko mtaani na ulipo.Ndo natafuta mke sasa
Hilo siyo tatizo la kisaikolojia una tatizo la uvulana, siku ukiwa mwanaume litaisha
fanya yafuatayounapokuwa unafanya mapenzi kwa kuvuta hisia ya mke mwingne, hapo hautofautiani na mtu anayefanya mapenz kwa kuangalia picha za mkojani B (xxx), hvo upungufu wa nguvu za kiume waweza kuwa mlangoni mwako.