Aaaah naweza kusema nimepona sanaaaa, kwa mwaka ni mara chache sana tena kawaida tu sio kama awaliAisee, mnatakiwa mfanyie kazi anger management. Siku huzi kuna wataalamu wa kila fani. Pale MNH kuna wataalamu wazuri sana wa saikolojia na afya ya akili. Jaribuni kiwatembelea, wao wana njia nyingi za kufahamu shida iko wapi na jinsi ya kuwasaidia.
Watoto wa mama hao Mkuu.sawa wanaume wa dar. ila muache kulialia hovyo.
dada zenu wanalia na nyie kaka zao mnalia
Ninayo dawa...inaitwa "stress management"...nakuuzia 'bure'sawa tu nitapona sasa nimedhamiria
ulikuwa unam hypnotize bila kujua,nando process mojawapo inatumika kutafuta tiba ya hayo matatizo,sasa we bila kujua ndo ulikuwa ukimtibu mtu wako na akaponaNiliwahi kuwa na g/friend kipindi cha nyuma alikuwa na tatizo kama lako, akikasirika anaweza akakuua kama hauko makini na ilikuwa anakwambia kabisa kwamba natamani nikuue ili niwe na amani, nilikuja kufaulu kuondoa tatizo lake kwa kumweka karibu nami hasa pale anapokuwa kacharuka. Mwanzoni ilikuwa tabu kidogo vile nililazimika kutumia nguvu nyingi sana kumkamata na kumbembeleza kwa maneno ya kufanya hasira yake ishuke, nilikuja kugundua anapokuwa hasira zake zinamkamata kichwani~ basi ikawa nikimkamata nampet pet kichwa chake na maneno ya kumfariji haichukui muda analala usingizi. Nilifanya hivyo mara kadhaa pasi na kuchoka na Mungu ni muweza wa yote tatizo lake likapungua saana na baadae kwisha. Sasa hivi akikasirika anapuuza tu kisha anasamehe maisha yanasonga. Pole sana miss. chaga
Kwa hiyo dawa u nahisi ni dyudu jamaniJamani jamani hii tabia yenu wadada ya kukataa kutiwa dyudyu kwa kisingizio kuwa siku hizi kutafuta pesa ndo muhimu itawaumbua wengi!![emoji30] [emoji30] [emoji30]
Nakuwa kama nakuotea unaweza lazwa weweWewe bado hujapigwa vizur..siku uje uingie kwenye anga zangu na hasira zako kwanza nakufumua vya kutosha mpaka ukalazwe I.C.U tuone kama utarudia tena...
Mana utakua unakumbuka jinsi nilivyokufumua hapo nadhan ndio itakua mwisho wa hasira zako...
Dada yangu huwezi amini ila ukweli ni kwamba kuna wadada wengi wanapatwa na matatizo ya kisaikolojia kama vile hasira,ubabe,e.t.c kutokana na kubana mda mrefu bila kutiwa!Kwa hiyo dawa u nahisi ni dyudu jamani
Sasa ndiyo nini?ndio caro
Anaweza akawa amelazwa ICU huku tunaendelea na taratibu za mazishi za mwingine.Wewe bado hujapigwa vizur..siku uje uingie kwenye anga zangu na hasira zako kwanza nakufumua vya kutosha mpaka ukalazwe I.C.U tuone kama utarudia tena...
Mana utakua unakumbuka jinsi nilivyokufumua hapo nadhan ndio itakua mwisho wa hasira zako...
Acha bananadhani upo kwenye lile kundi kila watz 4 mmoja ana kichaa cha msingi tafuta na wengine 4 tuunde timu ya vichaa
Hili nalo ni janga hasa kwa mtoto wa kike! Utawaambia nini wanao mdogo wangu, anza kuchukua hatua za kujipenda wewe kwanza kuliko mtu mwingine yeyote, lakini pia ji control kwa kupuuzia jambo lolote lile we puuzia tu ukipuuzia watakuita una dharau lakini itakua tiba kwa matatizo yakohapna mkuu huwa nikiasirika naenda kununua pombe za kutosha tu naweka nakuwa nazo chumbani ... na wakati huo najifungia chumbani najidunga tu nikizima nilipozimia hapo hapo nalala... nikiwa na hasira sipendi kuchangamana na yeyote yule
duuh haya endelea kuvuta bangi
duuh nashukur sana Mkuu. kwetu umelaaniwa kabisa huo mmeo wenuHakuna mmea mzuri kama huu Duniani, tazama hata watu wakivuta utulivu unavyo wajaa
Hakika Mungu ana maajabu mengi sana mkuu, karibu jioni tujistili na msokoto mmoja tu kwa faida ya ubongo.
Haya kakaMiss u more, naomba unitafute
Sawa kaka mpenzinitafute miss chagga ....
Mdogo wangu Manka...asante kaka