Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

We call it generation or family spirit
 
miss chagga nenda kwa Yesu Kristu tu. Watu wa saikolojia watakufundisha kuishi na tatizo ila kwa Yesu tatizo lako ataliondoa!
 
Kama umefikia umri wa menopause inawezekana ndiyo sababu unapata hasira. Nenda kwa gynacologist waangalie hormonal system yako ikoje. Pole sana. Hata kama haujafikia umri wa menopause, ni vyema ukapime.
 
Its very true hiyo ni genes kuna kipind nlikua Arusha kuna msichana mmoja tulikuwa tunabishana mambo ya kawaida sana akapasua chupa akataka kunichoma karibu na moyo
 
Kuna kitu nimekiona hapo, ngoja nikifika patulivu ntakuandikia vitu uvifanyie kazi
 
Kama umefikia umri wa menopause inawezekana ndiyo sababu unapata hasira. Nenda kwa gynacologist waangalie hormonal system yako ikoje. Pole sana. Hata kama haujafikia umri wa menopause, ni vyema ukapime.
Bado aisee
 
NJOO PM UPATE USHAURI PLEASE.
 
Halafu mnalalamika wanaume wana michepuko! Kwa tabia hizi acha tuwe nayo.
 
Halafu mnalalamika wanaume wana michepuko! Kwa tabia hizi acha tuwe nayo.
Kuchepuka ni uamuzi tu wa mtu. Unadhani kuna mtu utakaye-date asiwe na udhaifu? Umeona kuna dume la mbegu hapo juu limemsaidia mchumba ake alokuwa na tatizo la hasira, hadi ametulia now? Wewe huna udhaifu unaobebewa? Ukiona huwezi kuishi na udhaifu wa mtu, muache tu, hamna haja ya kuchepuka
 
Nimekusaidia kutoa boonge la msonyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…