Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Kumbe kale kautafiti cha juzi kwamba kukosa usingizi ni dalili moja wapo ya ugonjwa wa kichaa 1:4.
 
Niwe tu mkweli nimecheka sana, eti natetemeka kama teja, nalipuka kama bomu na kupiga mateke. Btw pombe sio nzuri hasa kwa jinsia yako, na kama utaendelea hivi itakuletea matatizo makubwa sana.

Sasa bby boi umempa vip maziwa wakati ulikuwa tungi
Si kuna formula mkuu tulia
 
kunywa babu maana ni hatari. tafuta mmpenzi wa kuku fariji kwa karibu sana
 
Duuu wewe unahitaji zaidi ya maombi au ubatizo wa moto huu wa maji haitoshi
 
ukikasirika au ukiwa na hacra sana, hesabu 1 had 20 mara 2 au 3, hacra zote kwisha. tena hesab kmya kmya. jarb utafankwa
 
Duuu wewe unahitaji zaidi ya maombi au ubatizo wa moto huu wa maji haitoshi
sema ukiweza kunidhibiti ukanipa dushe bhaaas hasira inapotea ila dushe lenyewe liwe la uhakika nasahau kabisa km nilikasirika .....sema mtiti ni kunikamatia chini wakati huo
 
mbona sasa, tafuta nyumba ndogo
 
Unatakiwa uache kujishtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…