Nahitaji mbaula 682, nataka kulitumia kisiasa.

yako mawili ya home hakuna hata mnunuzi,ni mazima kbs una start na kutembea mbele

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nia tunayo uwezo tunao na sababu tunayo. Tukutane pale mnadani dom mimi nakupa ki2 cha uhakika it was formerly operated as jwtz heavy duty vehicle utaipenda. Lakini si ndio uhaini ee?
 
Itakuwa vizuri kama utapata na tnt na iwe ya kutosha. Yaani unamalia kazi pale pale tuanze upya. Kama inawezekana asitoke hata mmoja na baada ya jengo kuteketea kabisa, mimi nitakwenda kumwaga chumvi.
 
Nimecheka mpaka walio karibu yangu wananiona kama mwehu,kaka unataka kwenda kuingia na mlango bungeni,naomba siku hiyo utakayoenda urekodi tukio zima ili tumuone bi Kitoboto anavyotoka mkuku na joho lake....
 
mkuu St. Paka Mweusi, unisamehe sikujibu mapema,nilikuwa kifungoni, sijui intelijensia ya kibunge imefanya kazi!
Manake na bunge lenyewe ndio hilooooo
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa vizuri kama utapata na tnt na iwe ya kutosha. Yaani unamalia kazi pale pale tuanze upya. Kama inawezekana asitoke hata mmoja na baada ya jengo kuteketea kabisa, mimi nitakwenda kumwaga chumvi.

Nafanya maandalizi ya kutosha, ili bunge la 9 watakapowakuta hawana hatia wale wabunge wala mlungula, nifanye mambo!
 
Tupo wengi, khaaaa.

mbaula,,,ni nickname ya lori lijulikanalo kwa jina la FIAT,ni malori ya zamani sana,kwa sasa hapa dar mengi kazi yao ni kubeba cement toka wazo na kutawanya kwa distributors,,,,,jina lake halisi ni FIAT 682 WASOMAL NDO WANAPENDA SANA KUYAENDESHA
 
Back
Top Bottom