Yes nilijua tu ni wewe mkuu...Hapana
Tunamkaribisha mgeni azoee mazingira!Amekutana na mziki wa Seran kivumbi leo.
Tunamkaribisha mgeni azoee mazingira!
Mgeni anatuletea mapenzi tu hapa, atajijua mwenyewe!Polepole msije mkamkimbiza mgeni!
Mkaribisheni vizuri bwana dullah. 😊
Huyu sio mgeni wadau,huyu kabadili tu I'd
Yes nilijua tu ni wewe mkuu...
Nina mdogo angu pale mombasa karibu na meza unayouzia wewe matunda.
Yeye yupo anauza yebo yebo pale
Huwa napita sana nikitoka job
Basi leo Mbaga Jr unaoa ndio unashindw ahata kumkaribisha mgeni jamani!🙄
View: https://www.instagram.com/reel/DY7LgQ6oX5Z/?igsh=bjV6cnNjMXJzczQz
Kila mtu akale kwao aisee!Hatimaye na mie nikaichape 😎
Gharama zilikuwa kwenye usafiri kuja kanisani tuu, mana baada ya hapo kila mtu alienda makwao 🔥
Ila hizi ishu kipengele kipo kwenu wanawake, nyie ndo mnataka mambo yawe mengi, umma wajueKila mtu akale kwao aisee!
Ni wewe mkuusio mimi mzee
😂😂😂😂😂 Ngoja kidogo nataka nichanganye ma fail hapaIlaaa! 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤓🥺🥺🥺 nimekukosea nini mzee?
Comrade ulikuwa unatumikia kifungo jela!! Mbona hii dunia ya kutafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo tuliiacha miaka zaidi ya 20 iliyopita!!Nimekubali mimi ni mgeni maana kila post napewa lawama mgeni mgeni 🤔🤔 lengo ni kuondoa stress na kupotezea vitu nipo humu kukutana na watu tofauti
Nahitaji marafiki zaidi karibuni sana 😘😘
View attachment 3597064
Tatizo avatar hiyo kwa mbali inaonekana kama Mzee anayepiga visungura 😂Koma we! Mi sio mzee..