Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,587
- 102,447
Mbona hamniiti mnasubiri nikaribie kukata moto au?Wewe kataa tu uzee.Tumekuandalia kiti chako kwenye baraza la usuluhishi la kata.
Mbona hamniiti mnasubiri nikaribie kukata moto au?Wewe kataa tu uzee.Tumekuandalia kiti chako kwenye baraza la usuluhishi la kata.
Mgeni kapost soda analeta nzi na nyukiAndika vizuri! Hee nini ss, kaza!!
Shauri yakonishakaza babuu

Nakuonea huruma sana.karibu
Kanikwaza sana!Mgeni kapost soda analeta nzi na nyuki
Bora ange post hata kahawa kwa mishikaki.Mgeni kapost soda analeta nzi na nyuki
Mgeni ni kama form nyoya, namuhurumia sana! Hivi ameshalipia nyuzi alizoanzisha?Nakuonea huruma sana.
Niliwahi kuugua kifaduro.Utaweza kweli?kwanini
Kapost maji ya rangi na sukari , kidogo nitapike nyama choma na bia yanguBora ange post hata kahawa kwa mishikaki.
Mimi nimekula mapupu na komoni.Amenikata stimu kabisa.Kapost maji ya rangi na sukari , kidogo nitapike nyama choma na bia yangu
Nakuombea uishi miaka mingi kama Queen Elizabeth.Mbona hamniiti mnasubiri nikaribie kukata moto au?
oh hallelujah!☺️Nakuombea uishi miaka mingi kama Queen Elizabeth.
Aiiimeeen!🫸🫷❤️oh hallelujah!☺️
Unakaa.mombasaa huku gongo la mbotokiajwe