Nahitaji majibu kuhusu kirusi cha HIV

Nahitaji majibu kuhusu kirusi cha HIV

Virusi vya Ukimwi na Upungufu wa kinga ni vitu viwili tofauti unaweza usiwe na Virusi vya Ukimwi ilaa usiwe na Ukimwi kuna watu wana Upungufu wa kinga mwilini ila hawana Virusi vya Ukimwi, elewa hapo
Sio virusi ndio vinapunguza kinga ya mwili na kuwa Ukimwi? Em nieleweshe zaidi.
 
Sio virusi ndio vinapunguza kinga ya mwili na kuwa Ukimwi? Em nieleweshe zaidi.
Ili kinga ishuke ni Virusi vipigane na Kinga ya mwilini na kuua kinga ya Mwili hapo ndipo unapoanza kuugua magonjwa nyemelezi km TB, mafua, kikohozi kikavu, nk mpaka Kaposis Sakoma yaan Kansa ila ikitokea vimeingia na mwili haujareact basi utaishi navyo tu bila shida yaan vinakua sehemu ya mwili wako na hii ni bahati ya watu wachache sijui km na wewe ni mmoja wao
 
A

Je km virusi vipo na kinga haijashuka, inakuaje hapo?
 
Hili lilishaelezewa humu na DR Mambo Jambo na mimi ni mmoja ya hao watu au nikwambie kiufupi tu ni kwamba virus vinapoingia mwilini kuna mambo mawili yanatokea Seli Hai Nyeupe ndio zinazoulinda mwili na kitu kingine chochote kisichohusiana na mwili kwa ikitokea kuna intruders Seli Hai Nyeupe zinakua km Jeshi la Mwili wako maana yake vitashuka Vikosi kuwahi Bukoba mara moja Vikapambane na Nduli anaetaka kuichukua Ardhi ya Tanzania, sasa ikitokea Virus vimeingia kisha Seli Hali Nyeupe ikaviona km Sehemu ya Mwili basi Virus havitopigana na Seli Hai Nyeupe na hapo mtu hatougua Ukimwi ila atakua anaishi na Virusi vya Ukimwi na hatougua maana Virusi vinaishi mwilini ila havipigani na kuua Seli Hai Nyeupe na kumfanya mtu apoteze Kinga ya Mwili na hii hutokea tupo wachache sana
Umejuaje Kama wewe ni mmoja wa hao watu
 
Habari za wakati huu Ndugu zangu Wana-jamiiforums. Nina maswali kadhaa kuhusu kirusi kinachosababisha HIV.

1. Kwanini ni vigumu kirusi kinachosababisha HIV kufa hata kikiwa nje ya mfumo wa mwili wa binadamu? Mfano( Mtu mwenye maambukizi anashona viatu ila bahati mbaya sindano inamchoma, Anachukua sindano anaihifadhi sehemu, Baada ya mda kama miezi minne mtu asiyekuwa na maambukizi Anachukua ile sindano ila na yeye kwa bahati mbaya inamdunga, Baada ya muda anaanza kuonesha dalili na baada ya vipimo anaonesha yupo +tive. Hii ina maana kwamba kwa mda wa miezi minne virusi vilikuwa vina-survive kwenye sindano bila kula chochote.

2. Kwanini kuna baadhi ya watu wachache ambao kirusi cha HIV hakiwezi kuwaletea madhara.
Kuna watu hata ukiwaongezea damu yenye kirusi bado hawatapata HIV na hata vipimo haviwezi kuonesha kama wana maambukizi, Ingawa wana uwezo wa kuambukiza wengine. Kwanini hii hutokea?

3. Kwanini kirusi cha HIV kinaleta madhara kwa Wanadamu tu?
Kirusi cha HIV hakileti madhara kwa nyani, kuku, mbwa, nyoka, punda, ng'ombe, simba n.k, Kwanini wataalam?

4.Kwanini mwenye virusi vya HIV akiacha kutumia dawa virusi vinakuwa sugu?

5. Mwisho. Kirusi cha HIV kiligunduliwa na nani? Na species yake ilitolewa wapi Kwa manufaa gani?.

Wataalam karibuni tujadili hili.
Asanteni.
Huwenda condom moja tu ingeweza kuepusha Dunia/Africa kutoka kwenye hili janga 😳
 
Unaishi navyo mpaka pale vitakapoanza kuua kinga ya mwili, unakua ni HIV Carrier wewe hufi ila unaambukiza wengine
Je ikiwa vimeua kinga ya mwili na ukaugua afu baadae ukapata tiba, ukaendelea ku survive bila kufa, inakuaje hapo?
 
Hili lilishaelezewa humu na DR Mambo Jambo na mimi ni mmoja ya hao watu au nikwambie kiufupi tu ni kwamba virus vinapoingia mwilini kuna mambo mawili yanatokea Seli Hai Nyeupe ndio zinazoulinda mwili na kitu kingine chochote kisichohusiana na mwili kwa ikitokea kuna intruders Seli Hai Nyeupe zinakua km Jeshi la Mwili wako maana yake vitashuka Vikosi kuwahi Bukoba mara moja Vikapambane na Nduli anaetaka kuichukua Ardhi ya Tanzania, sasa ikitokea Virus vimeingia kisha Seli Hali Nyeupe ikaviona km Sehemu ya Mwili basi Virus havitopigana na Seli Hai Nyeupe na hapo mtu hatougua Ukimwi ila atakua anaishi na Virusi vya Ukimwi na hatougua maana Virusi vinaishi mwilini ila havipigani na kuua Seli Hai Nyeupe na kumfanya mtu apoteze Kinga ya Mwili na hii hutokea tupo wachache sana
Madhara ya kutokwenda shule
 
Inawezekanaje? Useme unaweza kuwa na HIV, ila sio UKIMWI.

UKIMWI - Upungufu wa KInga MWIlini.

Kuna vitu Vingi vinasababisha UKIMWI(Kupungua kwa Kinga Mwilini).

1.Kutokula vyakula vinavyoongeza kinga.
2.Magonjwa -kuna baadhi ya magonjwa yanashusha kinga za mwili eg Kisukari
3.Bad Mood eg Hasira ,Stress etc
4.Mwili kuvamiwa na ugeni eg HIV

Kwahiyo unaweza kinga za mwili zikapungua bila kuwa na HIV.
 
Ahsante kwa ufafanuzi. 🙏🙏
 
Hiki kirusi kiligunduliwa na madaktari, chanzo ni nyani alifanyiwa utafiti huko Misitu ya Congo DRC wanapogombea Ardhi yenye Madini sasa km unavyojua Wazungu wakafanya mapenzi na Nyani hapo balaa ndipo lilipoanzia, hakuna manufaa ni udadisi tu wa madaktari ku-test magonjwa, lakini nikwambie tu mambo mengi hususani magonjwa unayaona chanzo chake ni masuala ya ki-vita na masuala ya kijeshi zaidi hata hii HFC connection inayokuwezesha kutumia Smartphone leo ni military made, virusi vipo kibao huko maabara za duniani vinauzwa tu hata wewe ukitaka unaweza kwenda kuvinunua ila gharama yake sio ndogo
Je uenda corona na Ebola imetoka huko kwa kununuliwa?
 
Back
Top Bottom