Nahitaji kupingwa kwa hoja kwa mambo ninayo amini kuhusu watu weusi

Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane.

Huwezi kuniambia niendelee kuusifu Uafrika wakati kuna mambo ya kutumia tu akili ndogo tumeshindwa kuyafanya.

Mfano.

Taifa la Tanzania ni moja ya nchi inayopatikana kwenye hili bara la Afrika (BARA LILILOJAA NEEMA).Moja ya Rasilimali tulizonazo kama Taifa ni pamoja na Madini (DHAHABU, ALMASI, TANZANITE, MAKAA YA MAWE n.k)

Shule zetu (Msingi & Sekondari) hadi leo hakuna mtaala unaohusu madini, namna ya kuyatunza na namna ya kuyachimba. Ajabu ni kwamba Nchi zisizo kuwa na Madini ndizo ambazo zinawapatia watoto wao elimu inayohusu madini kisha wanakuja kuyachimba, kuyaandaa na kuyasafirisha ili wakatajirike.

Watoto wetu wakimaliza shule hasa Form 4 na form 6 wanaingia kuwa machinga, kuendesha bajaji na Bodaboda huku wakiwa hawana kabisa ufahamu kuhusu rasilimali zao za madini waliyobarikiwa na Mungu.

Kwakuwa sisi ni washamba kwenye rasilimali zetu, ndiyo maana wakati fulani walitokea waafrika wajinga wakawa wanapasua chupa na kuzifunga vizuri na kuingia mjini kisha kuwahadaa waafrika wenzao kwamba zile zilikuwa ni Almasi na kiukweli wajinga wale walijipatia sana fedha miaka hiyo.

Madini tumebaki kuyatazama huko YouTube na kwenye television.

Pamoja na Madini kuwa ni mali yetu sisi Waafrika lakini wanaonufaika nayo ni watu weupe.

Wao wanachimba (Sisi hatuwezi kuchimba kwasababu kuna wajaa laana huwa wanasema hatuna mitambo,sasa sijafahamu hiyo mitambo inauzwaga kiasi gani cha fedha ambacho hatuna uwezo wa kununua)

Wao wanayafanyia processes (Sisi hatuwezi kufanya processes kwakuwa wajaa laana huwa wanasema hatuna mitambo,Hiyo mitambo inauzwaje kama Taifa tushindwe?)

Wao wanasafirisha (Hapa wajaa laana huwa wanasema tukifanya sisi tutakosa masoko, watazira!)

Haya ndiyo tuyafanyayo ngozi nyeusi.

Kazi tunazoweza ni kusomesha watoto na wakimaliza waingie mitaani kuwa wachuuzi wa bidhaa(Machinga) au kuendesha Boda na Bajaji halafu tuwaminye ki kweli kweli walipe kodi wakati huo huo huku kwenye Madini ambayo tumepewa Neema na Mungu Kodi inayokatwa haiendani na kile tulichonacho na wakati mwingine hao wachimbaji wanakwambia "HATUJAPATA FAIDA, HIVYO HATUWEZI KULIPA KODI".

Kama Ndivyo!?

Kwanini nikisema AFRIKA INA NEEMA ILA WAAFRIKA WANA LAANA mnachukia na kufuta nyuzi zangu?

Hayo niliyoyaainisha ni machache sana miongoni mwa meeeeengi mnooooo ambayo ngozi nyeusi inayafanya,sasa sijui mnataka nitumie lugha gani!.

NIPINGENI KWA HOJA, KWANINI NISISEME NGOZI NYEUSI INA LAANA?

NAHITAJI KUELEWESHWA ILI NIWE NA MTAZAMO CHANYA KUHUSU NGOZI NYEUSI.
we ndio mzembe wenzako wametajirika na hayo madini we unakuja kubwabwaja huku matandaoni utapata faida gani. Nenda kachimbe wewe acha uzembe.
 
HII NI POST YA WALIOKATAA TAMAA YA MAISHA,
 
Hata kigezo cha kupima upumbavu huna.

Ni mihemko yako na hasira kwa vile huna hoja na huwezi kujenga hoja.

Naku uliza hivi,

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba Dunia iliyo na usawa kwa binadamu wote?
Ndomana nakuambia u MPUMBAVU.

Unamtaja Mungu hapohapo unasema hayupo!!!
 
Afrika:
Imejaa waroho wa madaraka kupitiliza. Wenye nia ya dhati hawataki kuongoza na walafi wanauchu wa kuongoza.

Ukisema uwachukue waafrika wote uwapeleke Ulaya na watu wa Ulaya uwalete Afrika, baada ya miaka 50 utakuta uchumi wa Ulaya unapumulia mashine na huku Afrika walipo wazungu uchumi umeimarika sana pengine kutuzidi.

Juhudi tunazozifanya katika kuzaana tungewekeza katika akili ya kuimarisha uchumi tungekuwq mbali sana.
Ningeunga mkono hoja ila kwenye miaka hapo sio kweli miaka 50 ni mingi sana hapo weka miaka 3 maximum.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane.

Huwezi kuniambia niendelee kuusifu Uafrika wakati kuna mambo ya kutumia tu akili ndogo tumeshindwa kuyafanya.

Mfano.

Taifa la Tanzania ni moja ya nchi inayopatikana kwenye hili bara la Afrika (BARA LILILOJAA NEEMA).Moja ya Rasilimali tulizonazo kama Taifa ni pamoja na Madini (DHAHABU, ALMASI, TANZANITE, MAKAA YA MAWE n.k)

Shule zetu (Msingi & Sekondari) hadi leo hakuna mtaala unaohusu madini, namna ya kuyatunza na namna ya kuyachimba. Ajabu ni kwamba Nchi zisizo kuwa na Madini ndizo ambazo zinawapatia watoto wao elimu inayohusu madini kisha wanakuja kuyachimba, kuyaandaa na kuyasafirisha ili wakatajirike.

Watoto wetu wakimaliza shule hasa Form 4 na form 6 wanaingia kuwa machinga, kuendesha bajaji na Bodaboda huku wakiwa hawana kabisa ufahamu kuhusu rasilimali zao za madini waliyobarikiwa na Mungu.

Kwakuwa sisi ni washamba kwenye rasilimali zetu, ndiyo maana wakati fulani walitokea waafrika wajinga wakawa wanapasua chupa na kuzifunga vizuri na kuingia mjini kisha kuwahadaa waafrika wenzao kwamba zile zilikuwa ni Almasi na kiukweli wajinga wale walijipatia sana fedha miaka hiyo.

Madini tumebaki kuyatazama huko YouTube na kwenye television.

Pamoja na Madini kuwa ni mali yetu sisi Waafrika lakini wanaonufaika nayo ni watu weupe.

Wao wanachimba (Sisi hatuwezi kuchimba kwasababu kuna wajaa laana huwa wanasema hatuna mitambo,sasa sijafahamu hiyo mitambo inauzwaga kiasi gani cha fedha ambacho hatuna uwezo wa kununua)

Wao wanayafanyia processes (Sisi hatuwezi kufanya processes kwakuwa wajaa laana huwa wanasema hatuna mitambo,Hiyo mitambo inauzwaje kama Taifa tushindwe?)

Wao wanasafirisha (Hapa wajaa laana huwa wanasema tukifanya sisi tutakosa masoko, watazira!)

Haya ndiyo tuyafanyayo ngozi nyeusi.

Kazi tunazoweza ni kusomesha watoto na wakimaliza waingie mitaani kuwa wachuuzi wa bidhaa(Machinga) au kuendesha Boda na Bajaji halafu tuwaminye ki kweli kweli walipe kodi wakati huo huo huku kwenye Madini ambayo tumepewa Neema na Mungu Kodi inayokatwa haiendani na kile tulichonacho na wakati mwingine hao wachimbaji wanakwambia "HATUJAPATA FAIDA, HIVYO HATUWEZI KULIPA KODI".

Kama Ndivyo!?

Kwanini nikisema AFRIKA INA NEEMA ILA WAAFRIKA WANA LAANA mnachukia na kufuta nyuzi zangu?

Hayo niliyoyaainisha ni machache sana miongoni mwa meeeeengi mnooooo ambayo ngozi nyeusi inayafanya,sasa sijui mnataka nitumie lugha gani!.

NIPINGENI KWA HOJA, KWANINI NISISEME NGOZI NYEUSI INA LAANA?

NAHITAJI KUELEWESHWA ILI NIWE NA MTAZAMO CHANYA KUHUSU NGOZI NYEUSI.
Umughaka, Wala usijidharau wewe kama wewe hata ni miongoni mwa waafrika kiasi Cha kuacha kujisifu wewe jisifu kama mwafrika anajitambua na kutambua jinsi ya kutumia nguvu yake aliyopewa na Neema yoyote unayopata jiwekee msingi imara na mambo yako yatakuwa sawa.

Twende kwenye hoja ya unyonge wa mwafrika ni kweli tumejipa wenyewe, mtu mweusi hatengenezi msingi wa jambo lolote yeye kazi yake ni kusubiri matunda yaliyokaa ili ale bila kubakisha akiba, mfano mzazi haoni umuhimu wa kuandaa maisha yake ya uzeeni inafika sehemu Hana nyumba lakini anazaa watoto wengi asioweza kuwatunza Wala yeye kujitunza anaona fahari kuvaa nguo zilizopauka na kula vibaya huku akisubiri magonjwa ya uzeeni yampate aje kuhudumiwa na mtoto bila yeye kuwa na msingi wowote, anguko letu Afrika lipo kwenye msingi wa mtu mmojamoja, hakuna proud ya kweli ya mwafrika zaidi ya uongo na sifa za uongo, imagine mtoto anaambiwa amsifu mzazi asiyejali majukumu yake au umsifu kiongozi asiyejali majukumu yake ya kuwa sterling mzuri anayeweka msingi Bora ya nchi yake na hapo ndo tumekwamia na kutoka hatuwezi maana nani wa kumlaumu mwingine wakati familia zimewashindwa Sasa utalaumu viongozi wakati na wao wanakunyooshea vidole familia yako imekushinda?

Kingine michezo au mizaha mingi ya kuchezea muda ndo imetawala, familia hazina malengo kuanzia mzazi anaishi mwaka Hadi mwaka bila plan zozote yaani anasema anaishi kwa Imani, na mtoto haambiwi Aishi katika plan zake na azisimamie mpaka zikamilike katika muda wake mfano muda wa kusoma basi asome amalize hiyo shule bila kuepaepa napo tutakuja kusingizia watu weupe wanapeleka muda haraka Sasa ona hivyo vichekesho, viongozi nao wanatengeza sera zilizo nje ya muda mfano kusoma miaka mingi ndo inakuwa ufahari ili watoto wapotezee muda shule mpaka wawe wazee bila kutumia nguvu za ujana, na mipango mikubwa ya nchi inakuwa Haina misingi imara zaidi ipo juujuu na Haina matokeo ya haraka yaani nikuchelewesha mpaka vitu vya muhimu kama barabara na hospital ili muda utumike vibaya, imagine zamani hospital kubwa ilikuwa mkoa Mmoja tu Dar na watu iliwalazimu wakabanane sehemu Moja na kupoteza mali kwa kwenda mbali lakini unaona Sasa sera ya hospital ya rufaa kila wilaya au mkoa sijui imekwama wapi? Yaani hatuoni umuhimu wa muda zaidi tunapenda kujizungusha kwenye mduara huu wa dunia Mungu aliotupa bila kuonyesha thamani Wala kutaka Mungu atukukuzwe kwaajili ya uepo wetu mpaka tunapewa majina mabaya.

Wewe ukijitambua jivunie kuwa Mwafrika unayejitambua na unayethamini muda wako yaani unayekwenda na wakati, iwe usiku au mchana ikitokea kazi basi kazi ifanywe muda wote hata kama utalala Lisaa Moja tu lakini muda kimbia nao sambamba usikuache nyuma na hapo ndo nguvu ya ushindi itakapo onekana, mfano Kuna kiongozi alifata nguvu ya muda na kazi na kuhamasisha mabarabara yajengwe usiku na mchana tunaona sauti yake Mungu alivyoipa nguvu ikiwa na maana kwamba mwendo wa kobe waachie wavivu.
 
Hapo unakuta necta swali unalizwa sababu zilizopelekea utengenezaji wa meli kukua Japan au Kipimo cha Buni kushamiri Brazil vitu ambavyo tunasoma kama History havina umuhimu katika maisha ya kawaida.
Mi naona tunasoma vitu relevant kabisa tatizo letu tumeshindwa kukopi na kupest au kuboresha zaidi sisi tunafukwe(bahari),mito mikubwa pamoja na maziwa ambavyo vyote vinaitaji meli kwa ajili ya usafiri,utalii,na huduma zinginezo.
Sasa kwa nini japani wafanikiwe sisi tusijaribu hata? ila tumebaki kusema ni history ilihali tunanunua izo meli kwao.

NB;
Kama nakubaliana na mleta mada tuna tatizo(laana) mahali maana mbinu zote tunazo tena ziko wazi ila badoo.
 
Ndomana nakuambia u MPUMBAVU.

Unamtaja Mungu hapohapo unasema hayupo!!!
Kwani kinacho tajwa lazima kiwepo?

Upumbavu ni kushindwa kujibu hoja kama wewe ulivyo.

Naku uliza hivi

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba Dunia iliyo na usawa kwa binadamu wote?

Jibu hoja acha mbambamba.
 
Nami siwezi kumjibu MPUMBAVU,

Ungekuwa mjinga ningekujibu!!!

Kwanini nipoteze muda na akili kuhangaika na MPUMBAVU ilhali najua Kato haezi badilika au kuelewa chochote?

Is it fair???

Yaani mchawi au freemason unawezaje kuwaelimisha juu ya uwepo wa Mungu wakaelewa ilhali shetani ndo muungu wao?
 
Shida ipo hapa...
Viongozi wanapatikana kupitia vyama vya siasa.
Ili kuwa mwanasiasa inahitajika ujue kusoma na kuandika tu.
Matokeo yake kwenye siasa kumejaa vilaza tupu.
Na ndio wanaofanya maamuzi makubwa ktk nchi kama kutunga sera na kuingia mikataba mbalimbali.

Km ilivyo ada hata makazini kwetu ukiwa ofisi moja na mtu ambaye hana elimu ya kazi anayoifanya kwa kawaida huwa anakuwa mnafki na mshirikina, sababu hasa ni kutojiamini.
Kwa kifupi tunaongozwa na vilaza waliojaa unafiki na ushirikina.
Wanarithishana ofisi za uma km wachawi wanavyorithisha watoto wao viringe.
 
Nami siwezi kumjibu MPUMBAVU,

Ungekuwa mjinga ningekujibu!!!

Kwanini nipoteze muda na akili kuhangaika na MPUMBAVU ilhali najua Kato haezi badilika au kuelewa chochote?

Is it fair???

Yaani mchawi au freemason unawezaje kuwaelimisha juu ya uwepo wa Mungu wakaelewa ilhali shetani ndo muungu wao?
Mungu muweza wa yote, Mkamilifu na mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, ALISHINDWAJE KUUMBA

Dunia isiyo na huyo shetani?

Dunia isiyo na hao wachawi?

Dunia isiyo na hao freemasons?

Kwa nini ALISHINDWA KUUMBA

Dunia yenye usawa kwa binadamu wote?

Dunia yenye binadamu wema na wenye upendo tu, Wasio waovu na wabaya?

Bado hujajibu hoja, una mbambamba na upumbavu wako tu.
 
Sio kwamba Mungu hakutupa akili Ila hakutuonyesha namna ya kutumia akili. Labda aliwapendelea wazungu kwa kuwaonyesha namna ya kutumia akili. Angalia wazungu walivyotuletea dini kimtindo, walituachia Biblia nao wakaondoka na madini yetu. Nani mtu mweusi aliyevumbua formula ya kisayansi hata moja? Ni kukariri tu na kufurahia kama mazuzu.
 
Afrika:
Imejaa waroho wa madaraka kupitiliza. Wenye nia ya dhati hawataki kuongoza na walafi wanauchu wa kuongoza.

Ukisema uwachukue waafrika wote uwapeleke Ulaya na watu wa Ulaya uwalete Afrika, baada ya miaka 50 utakuta uchumi wa Ulaya unapumulia mashine na huku Afrika walipo wazungu uchumi umeimarika sana pengine kutuzidi.

Juhudi tunazozifanya katika kuzaana tungewekeza katika akili ya kuimarisha uchumi tungekuwq mbali sana.
Hili ndio jibu..ubinafsi.
 
Sio kwamba Mungu hakutupa akili Ila hakutuonyesha namna ya kutumia akili. Labda aliwapendelea wazungu kwa kuwaonyesha namna ya kutumia akili. Angalia wazungu walivyotuletea dini kimtindo, walituachia Biblia nao wakaondoka na madini yetu. Nani mtu mweusi aliyevumbua formula ya kisayansi hata moja? Ni kukariri tu na kufurahia kama mazuzu.
Mtu mweusi (mwafrika) ni incomplete human being.

Labda kama Evolution ina endelea anaweza badilika na kuwa complete human being.

Ila kwa sasa mwafrika si binadamu kamili.

Ndio maana yule balozi wa Romania nchini Kenya ali waita wakenya na waafrika kwa ujumla Tumbili.
 
Mi naona tunasoma vitu relevant kabisa tatizo letu tumeshindwa kukopi na kupest au kuboresha zaidi sisi tunafukwe(bahari),mito mikubwa pamoja na maziwa ambavyo vyote vinaitaji meli kwa ajili ya usafiri,utalii,na huduma zinginezo.
Sasa kwa nini japani wafanikiwe sisi tusijaribu hata? ila tumebaki kusema ni history ilihali tunanunua izo meli kwao.

NB;
Kama nakubaliana na mleta mada tuna tatizo(laana) mahali maana mbinu zote tunazo tena ziko wazi ila badoo.
Hakuna laana Bali tangu mwanzo msingi uliwekwa kwenye uvivu, utegemezi yaani waliopaswa kujenga watu kwenye msingi wa nguvu ya mtu wao waliwajenga kwenye utegemezi ili nawao waje kunufaika na utegemezi huo, mfano jinsia ya kike isisome ili ikatumike kuleta mali kwenye familia kiasi Cha jamii ya kike kuwa dhaifu wa uchumi lakini wangepewa maarifa na kupata nguvu au energy ya kutoa maamuzi ya maana na kuwa na uchumi mambo yangejengeka vizuri, haya jinsia ya kiume ikapewa mfumo wa uvivu yaani utanwa wa kufanyiwa kila kitu hata mtoto mdogo akiwa wa kiume asijiweze kwa chochote katika ngazi ya familia kitu kilichopeleka uvivu ofisini na kwenye kazi kiasi Cha kuchagua kazi za kukaa tu ndo zinapendwa wakati wenzetu hawalali yaani kazi zinafanywa saa 24 kama ni shift basi zitapangwa, imagine mpaka kijana wa kiume kutamani kuwa wa kike ili awe mvivu na asiwe na uwezo wa kujenga Bali asubiri kujengewa, wenzetu miaka kumi na nane ni mtu mzima mwenye maamuzi maana amejengwa katika ability ya kufanya mambo na siyo kufanyiwa lakini sisi baba wa miaka 50 Bado anajidekeza eti jamani wazazi hawanisaidii au watoto hawanipi hela na ukiangalia Nini kilimkwamisha ni ujinga tu aliyokuwa anafanya hasa kuchezea muda wa shule au starehe kwa sana au kuishi bila mipango ya baadaye, Uvivu, Uvivu, Uvivu ndo tatizo la Afrika.
 
Sio kwamba Mungu hakutupa akili Ila hakutuonyesha namna ya kutumia akili. Labda aliwapendelea wazungu kwa kuwaonyesha namna ya kutumia akili. Angalia wazungu walivyotuletea dini kimtindo, walituachia Biblia nao wakaondoka na madini yetu. Nani mtu mweusi aliyevumbua formula ya kisayansi hata moja? Ni kukariri tu na kufurahia kama mazuzu.
umeitaja Biblia negatively, unakosea sana. Biblia ni Neno la MUNGU. na hili Neno la MUNGU ndilo linaotuongoza hapa duniani, na kutuelekeza kule tutakapoyapata maisha ya milele na MUNGU wetu. Kama wazungu walichukua almasi wakatuachia Biblia, wenye faida ni sisi. mali za dunia hii tutaziacha hapa hapa duniani. la msingi ni lile la milele.

YESU ni NJIA, KWELI na UZIMA.
 
Shule zetu (Msingi & Sekondari) hadi leo hakuna mtaala unaohusu madini, namna ya kuyatunza
Njia pekee ya kutunza rasilimani za nchi kama vile madini ni kumiliki silaha kali kama Russia na North Korea zaidi ya hapo hizo ni ndoto tu za mchana kweupe.

The only factor that could deter foreign incursion is having a strong army.
 
Back
Top Bottom