Nahitaji kupingwa kwa hoja kwa mambo ninayo amini kuhusu watu weusi

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane.

Huwezi kuniambia niendelee kuusifu Uafrika wakati kuna mambo ya kutumia tu akili ndogo tumeshindwa kuyafanya.

Mfano.

Taifa la Tanzania ni moja ya nchi inayopatikana kwenye hili bara la Afrika (BARA LILILOJAA NEEMA).Moja ya Rasilimali tulizonazo kama Taifa ni pamoja na Madini (DHAHABU, ALMASI, TANZANITE, MAKAA YA MAWE n.k)

Shule zetu (Msingi & Sekondari) hadi leo hakuna mtaala unaohusu madini, namna ya kuyatunza na namna ya kuyachimba. Ajabu ni kwamba Nchi zisizo kuwa na Madini ndizo ambazo zinawapatia watoto wao elimu inayohusu madini kisha wanakuja kuyachimba, kuyaandaa na kuyasafirisha ili wakatajirike.

Watoto wetu wakimaliza shule hasa Form 4 na form 6 wanaingia kuwa machinga, kuendesha bajaji na Bodaboda huku wakiwa hawana kabisa ufahamu kuhusu rasilimali zao za madini waliyobarikiwa na Mungu.

Kwakuwa sisi ni washamba kwenye rasilimali zetu, ndiyo maana wakati fulani walitokea waafrika wajinga wakawa wanapasua chupa na kuzifunga vizuri na kuingia mjini kisha kuwahadaa waafrika wenzao kwamba zile zilikuwa ni Almasi na kiukweli wajinga wale walijipatia sana fedha miaka hiyo.

Madini tumebaki kuyatazama huko YouTube na kwenye television.

Pamoja na Madini kuwa ni mali yetu sisi Waafrika lakini wanaonufaika nayo ni watu weupe.

Wao wanachimba (Sisi hatuwezi kuchimba kwasababu kuna wajaa laana huwa wanasema hatuna mitambo,sasa sijafahamu hiyo mitambo inauzwaga kiasi gani cha fedha ambacho hatuna uwezo wa kununua)

Wao wanayafanyia processes (Sisi hatuwezi kufanya processes kwakuwa wajaa laana huwa wanasema hatuna mitambo,Hiyo mitambo inauzwaje kama Taifa tushindwe?)

Wao wanasafirisha (Hapa wajaa laana huwa wanasema tukifanya sisi tutakosa masoko, watazira!)

Haya ndiyo tuyafanyayo ngozi nyeusi.

Kazi tunazoweza ni kusomesha watoto na wakimaliza waingie mitaani kuwa wachuuzi wa bidhaa(Machinga) au kuendesha Boda na Bajaji halafu tuwaminye ki kweli kweli walipe kodi wakati huo huo huku kwenye Madini ambayo tumepewa Neema na Mungu Kodi inayokatwa haiendani na kile tulichonacho na wakati mwingine hao wachimbaji wanakwambia "HATUJAPATA FAIDA, HIVYO HATUWEZI KULIPA KODI".

Kama Ndivyo!?

Kwanini nikisema AFRIKA INA NEEMA ILA WAAFRIKA WANA LAANA mnachukia na kufuta nyuzi zangu?

Hayo niliyoyaainisha ni machache sana miongoni mwa meeeeengi mnooooo ambayo ngozi nyeusi inayafanya,sasa sijui mnataka nitumie lugha gani!.

NIPINGENI KWA HOJA, KWANINI NISISEME NGOZI NYEUSI INA LAANA?

NAHITAJI KUELEWESHWA ILI NIWE NA MTAZAMO CHANYA KUHUSU NGOZI NYEUSI.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane.

Taifa la Tanzania ni moja ya nchi inayopatikana kwenye hili bara la Afrika(BARA LILILOJAA NEEMA).Moja ya Rasilimali tulizonazo kama Taifa ni pamoja na Madini(DHAHABU,ALMASI,TANZANITE,MAKAA YA MAWE n.k)

Shule zetu(Msingi & Sekondari) hadi leo hakuna mtaala unaohusu madini,namna ya kuyatunza na namna ya kuyachimba.Ajabu ni kwamba Nchi zisizo kuwa na Madini ndizo ambazo zinawapatia watoto wao elimu inayohusu madini kisha wanakuja kuyachimba,kuyaandaa na kuyasafirisha ili wakatajirike.

Watoto wetu wakimaliza shule hasa Form 4 na form 6 wanaingia kuwa machinga,kuendesha bajaji na Bodaboda huku wakiwa hawana kabisa ufahamu kuhusu rasilimali zao za madini waliyobarikiwa na Mungu.

Kwakuwa sisi ni washamba kwenye rasilimali zetu,ndiyo maana wakati fulani walitokea waafrika wajinga wakawa wanapasua chupa na kuzifunga vizuri na kuingia mjini kisha kuwahadaa waafrika wenzao kwamba zile zilikuwa ni Almasi na kiukweli wajinga wale walijipatia sana fedha miaka hiyo.

Wao wanasafirisha (Hapa wajaa laana huwa wanasema tukifanya sisi tutakosa masoko,watazira!)

Haya ndiyo tuyafanyayo ngozi nyeusi.

Kazi tunazoweza ni kusomesha watoto na wakimaliza waingie mitaani kuwa wachuuzi wa bidhaa(Machinga) au kuendesha Boda na Bajaji halafu tuwaminye ki kweli kweli walipe kodi wakati huo huo huku kwenye Madini ambayo tumepewa Neema na Mungu Kodi inayokatwa haiendani na kile tulichonacho na wakati mwingine hao wachimbaji wanakwambia "HATUJAPATA FAIDA,HIVYO HATUWEZI KULIPA KODI".

NIPINGENI KWA HOJA,KWANINI NISISEME NGOZI NYEUSI INA LAANA?

Tatizo wenye akili walijitoa kwenye siasa matokeo yake wakatawaliwa na wasio na akili!
 
Elimu ya Shuleni haiendani na Maisha ya Mtaani. Nyumbani Mzazi anataka mtoto amiliki simu ila shuleni hawataki watoto wamiliki simu. Mwanachuo hajui kutuma wala kupokea email.. Mwalimu hajawaji kufanya practical au field ya anachokifundisha... na aliyefundishwa anatakiwa ajiajiri kwa elimu aliyoipata.. TUMELAANIKA HASWAA.!!
 
Tazama
img_1_1689669326349.jpg
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane.

Huwezi kuniambia niendelee kuusifu Uafrika wakati kuna mambo ya kutumia tu akili ndogo tumeshindwa kuyafanya.

Mfano.

Taifa la Tanzania ni moja ya nchi inayopatikana kwenye hili bara la Afrika(BARA LILILOJAA NEEMA).Moja ya Rasilimali tulizonazo kama Taifa ni pamoja na Madini(DHAHABU,ALMASI,TANZANITE,MAKAA YA MAWE n.k)

Shule zetu(Msingi & Sekondari) hadi leo hakuna mtaala unaohusu madini,namna ya kuyatunza na namna ya kuyachimba.Ajabu ni kwamba Nchi zisizo kuwa na Madini ndizo ambazo zinawapatia watoto wao elimu inayohusu madini kisha wanakuja kuyachimba,kuyaandaa na kuyasafirisha ili wakatajirike.

Watoto wetu wakimaliza shule hasa Form 4 na form 6 wanaingia kuwa machinga,kuendesha bajaji na Bodaboda huku wakiwa hawana kabisa ufahamu kuhusu rasilimali zao za madini waliyobarikiwa na Mungu.

Kwakuwa sisi ni washamba kwenye rasilimali zetu,ndiyo maana wakati fulani walitokea waafrika wajinga wakawa wanapasua chupa na kuzifunga vizuri na kuingia mjini kisha kuwahadaa waafrika wenzao kwamba zile zilikuwa ni Almasi na kiukweli wajinga wale walijipatia sana fedha miaka hiyo.

Madini tumebaki kuyatazama huko YouTube na kwenye television.

Pamoja na Madini kuwa ni mali yetu sisi Waafrika lakini wanaonufaika nayo ni watu weupe.

Wao wanachimba (Sisi hatuwezi kuchimba kwasababu kuna wajaa laana huwa wanasema hatuna mitambo,sasa sijafahamu hiyo mitambo inauzwaga kiasi gani cha fedha ambacho hatuna uwezo wa kununua)

Wao wanayafanyia processes (Sisi hatuwezi kufanya processes kwakuwa wajaa laana huwa wanasema hatuna mitambo,Hiyo mitambo inauzwaje kama Taifa tushindwe?)

Wao wanasafirisha (Hapa wajaa laana huwa wanasema tukifanya sisi tutakosa masoko,watazira!)

Haya ndiyo tuyafanyayo ngozi nyeusi.

Kazi tunazoweza ni kusomesha watoto na wakimaliza waingie mitaani kuwa wachuuzi wa bidhaa(Machinga) au kuendesha Boda na Bajaji halafu tuwaminye ki kweli kweli walipe kodi wakati huo huo huku kwenye Madini ambayo tumepewa Neema na Mungu Kodi inayokatwa haiendani na kile tulichonacho na wakati mwingine hao wachimbaji wanakwambia "HATUJAPATA FAIDA,HIVYO HATUWEZI KULIPA KODI".

Kama Ndivyo!?

Kwanini nikisema AFRIKA INA NEEMA ILA WAAFRIKA WANA LAANA mnachukia na kufuta nyuzi zangu?

Hayo niliyoyaainisha ni machache sana miongoni mwa meeeeengi mnooooo ambayo ngozi nyeusi inayafanya,sasa sijui mnataka nitumie lugha gani!.

NIPINGENI KWA HOJA,KWANINI NISISEME NGOZI NYEUSI INA LAANA?

NAHITAJI KUELEWESHWA ILI NIWE NA MTAZAMO CHANYA KUHUSU NGOZI NYEUSI.
Yawekana ukawa na mantiki kwenye content ya unachokiongelea, lakini napingana na wewe hapo kwenye kusema "Waafrika wana laana"

Nchi yoyote unayoiona imepiga hatua kwenye jambo lolote, basi siasa ina mchango mkubwa sana. Kinachotukwamisha Waafrika na Watanzania (to be specific) ni ubinafsi, sio elimu.

By nature, binadamz ni mbinafsi, lakini kiwango Cha ubinafsi kinapozidi Jamii lazima irudi nyuma maana kitakachofatia ni "Every man for himself". Mfumo wa elimu yetu inawezekana haupo vizuri, lakini ukirudi miaka mingi nyuma, mababu zetu hawakusoma, ila Kuna mambo waliweza kuyamudu maana hawakuwa wabinafsi. Kinachofanya niseme elimu sio tatizo kuu, angalia kwenye list ya viongozi wa sekta mbali mbali, wengi wao wamesoma nje ya nchi, tena katika mazingira Bora kabisa. Elimu ya hapa nnchini haijawaathiri, isipokuwa ubinafsi ndio unaziba utashi wao.

Kingine, Watanzania wengi tunajifanya hatupendi siasa, tunaamini kuwa inabidi tuwe busy na utafutaji hela na sio maswala ya siasa. Bila kujua hizo hela tunazoenda kutafuta, zinategemea siasa pia. Matokeo yake wafanya maamuzi watafanya hayo maamuzi bila kuangalia maslahi mapana ya nchi, mwisho wa siku impacts zinawarudia wale wanaosema wako busy na utafutaji hela, hawana muda na siasa.

Mimi nadhani, badala ya mfumo wetu wa elimu ungejikita kwanza kutoa elimu ya uraia na maswala ya uzalendo tangia tukiwa shule za msingi. Kwanini nasema hivi, sababu ni kwamba raia wengi wanajua maana ya neno uzalendo lakini hawawezi kuuishi uzalendo kwa vitendo. Mpaka sasa wapo wanaoamini uzalendo ni kuunga mkono serikali au chama tawala.

Kingine ambacho naweza kukukumbusha, mada yako imeongelea madini, Mimi nitazungumzia maliasili zote (madini yakiwepo). Hizi maliasili zimegawanyika ki Kanda. Kuna Kanda zina madini, zingine mbuga au vyanzo vya utalii. Na hata interest za watu zimejigawa hivyo hivyo kikanda, ndio maana leo ukienda Kanda ya ziwa au sehemu zenye madini, vijana/watu wa maeneo hayo wanapenda sana habari za madini, na hata utafutaji wao umejikita kwenye madini ( bila kujalisha elimu yao), na na unaweza ukakutana na Mzee ambae hana elimu yoyote, ila anauwezo wa kutrace vein na kuipata miamba iliyokuwa na madini, kitu ambacho wataalam wanakaa darasani miaka mingi kupata huo uwezo.

Au nenda Arusha, Kilimanjaro, Saadan,Ngorongoro uone jinsi wakati wa maeneo yale walivyo interested na utalii. Kuna wamasai hawajawahi kuingia darasani, ila wanaongea Kiingereza kilichonyooka kuzidi hata wasomi wengi. Nenda Mtwara uone vijana walivyo interested na kilimo Cha zao la korosho n.k

Kwa mantiki hiyo, serikali ikisema iingize mtaalam wa madini, wapenda kilimo na ufugaji hawatopendezwa sana, wapenda utalii hawatopendezwa sana. Badala yake nadhani elimu yetu ingejikita kwenye somo la kujitambua, uraia na maana halisi ya uzalendo na mzalendo mwenyewe. Kuhusu maliasili imeziongelea sana, tumeimbishwa hadi nyimbo kuhusu mbuga zetu, tumeshaambiwa sana tafsiri ya rangi za bendera zetu, lakini angalia tulipo.

Huwezi kumfundisha mtu uzalendo akiwa chuo au sekondari. Shule ya msingi ni msingi wa kila jambo. Somo la uzalendo lianzie kule.

Waafrika hatujalaaniwa mkuu
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane.

Huwezi kuniambia niendelee kuusifu Uafrika wakati kuna mambo ya kutumia tu akili ndogo tumeshindwa kuyafanya.

Mfano.

Taifa la Tanzania ni moja ya nchi inayopatikana kwenye hili bara la Afrika (BARA LILILOJAA NEEMA).Moja ya Rasilimali tulizonazo kama Taifa ni pamoja na Madini (DHAHABU, ALMASI, TANZANITE, MAKAA YA MAWE n.k)

Shule zetu (Msingi & Sekondari) hadi leo hakuna mtaala unaohusu madini, namna ya kuyatunza na namna ya kuyachimba. Ajabu ni kwamba Nchi zisizo kuwa na Madini ndizo ambazo zinawapatia watoto wao elimu inayohusu madini kisha wanakuja kuyachimba, kuyaandaa na kuyasafirisha ili wakatajirike.

Watoto wetu wakimaliza shule hasa Form 4 na form 6 wanaingia kuwa machinga, kuendesha bajaji na Bodaboda huku wakiwa hawana kabisa ufahamu kuhusu rasilimali zao za madini waliyobarikiwa na Mungu.

Kwakuwa sisi ni washamba kwenye rasilimali zetu, ndiyo maana wakati fulani walitokea waafrika wajinga wakawa wanapasua chupa na kuzifunga vizuri na kuingia mjini kisha kuwahadaa waafrika wenzao kwamba zile zilikuwa ni Almasi na kiukweli wajinga wale walijipatia sana fedha miaka hiyo.

Madini tumebaki kuyatazama huko YouTube na kwenye television.

Pamoja na Madini kuwa ni mali yetu sisi Waafrika lakini wanaonufaika nayo ni watu weupe.

Wao wanachimba (Sisi hatuwezi kuchimba kwasababu kuna wajaa laana huwa wanasema hatuna mitambo,sasa sijafahamu hiyo mitambo inauzwaga kiasi gani cha fedha ambacho hatuna uwezo wa kununua)

Wao wanayafanyia processes (Sisi hatuwezi kufanya processes kwakuwa wajaa laana huwa wanasema hatuna mitambo,Hiyo mitambo inauzwaje kama Taifa tushindwe?)

Wao wanasafirisha (Hapa wajaa laana huwa wanasema tukifanya sisi tutakosa masoko, watazira!)

Haya ndiyo tuyafanyayo ngozi nyeusi.

Kazi tunazoweza ni kusomesha watoto na wakimaliza waingie mitaani kuwa wachuuzi wa bidhaa(Machinga) au kuendesha Boda na Bajaji halafu tuwaminye ki kweli kweli walipe kodi wakati huo huo huku kwenye Madini ambayo tumepewa Neema na Mungu Kodi inayokatwa haiendani na kile tulichonacho na wakati mwingine hao wachimbaji wanakwambia "HATUJAPATA FAIDA, HIVYO HATUWEZI KULIPA KODI".

Kama Ndivyo!?

Kwanini nikisema AFRIKA INA NEEMA ILA WAAFRIKA WANA LAANA mnachukia na kufuta nyuzi zangu?

Hayo niliyoyaainisha ni machache sana miongoni mwa meeeeengi mnooooo ambayo ngozi nyeusi inayafanya,sasa sijui mnataka nitumie lugha gani!.

NIPINGENI KWA HOJA, KWANINI NISISEME NGOZI NYEUSI INA LAANA?

NAHITAJI KUELEWESHWA ILI NIWE NA MTAZAMO CHANYA KUHUSU NGOZI NYEUSI.

Nina swali:

- Hii inajumuisha watu weusi waliochukuliwa kama watumwa ambao sasa wapo nchi za nje? Au ni sisi tu huku Africa ndani?
 
Yawekana ukawa na mantiki kwenye content ya unachokiongelea, lakini napingana na wewe hapo kwenye kusema "Waafrika wana laana"

Nchi yoyote unayoiona imepiga hatua kwenye jambo lolote, basi siasa ina mchango mkubwa sana. Kinachotukwamisha Waafrika na Watanzania (to be specific) ni ubinafsi, sio elimu.

By nature, binadamz ni mbinafsi, lakini kiwango Cha ubinafsi kinapozidi Jamii lazima irudi nyuma maana kitakachofatia ni "Every man for himself". Mfumo wa elimu yetu inawezekana haupo vizuri, lakini ukirudi miaka mingi nyuma, mababu zetu hawakusoma, ila Kuna mambo waliweza kuyamudu maana hawakuwa wabinafsi. Kinachofanya niseme elimu sio tatizo kuu, angalia kwenye list ya viongozi wa sekta mbali mbali, wengi wao wamesoma nje ya nchi, tena katika mazingira Bora kabisa. Elimu ya hapa nnchini haijawaathiri, isipokuwa ubinafsi ndio unaziba utashi wao.

Kingine, Watanzania wengi tunajifanya hatupendi siasa, tunaamini kuwa inabidi tuwe busy na utafutaji hela na sio maswala ya siasa. Bila kujua hizo hela tunazoenda kutafuta, zinategemea siasa pia. Matokeo yake wafanya maamuzi watafanya hayo maamuzi bila kuangalia maslahi mapana ya nchi, mwisho wa siku impacts zinawarudia wale wanaosema wako busy na utafutaji hela, hawana muda na siasa.

Mimi nadhani, badala ya mfumo wetu wa elimu ungejikita kwanza kutoa elimu ya uraia na maswala ya uzalendo tangia tukiwa shule za msingi. Kwanini nasema hivi, sababu ni kwamba raia wengi wanajua maana ya neno uzalendo lakini hawawezi kuuishi uzalendo kwa vitendo. Mpaka sasa wapo wanaoamini uzalendo ni kuunga mkono serikali au chama tawala.

Kingine ambacho naweza kukukumbusha, mada yako imeongelea madini, Mimi nitazungumzia maliasili zote (madini yakiwepo). Hizi maliasili zimegawanyika ki Kanda. Kuna Kanda zina madini, zingine mbuga au vyanzo vya utalii. Na hata interest za watu zimejigawa hivyo hivyo kikanda, ndio maana leo ukienda Kanda ya ziwa au sehemu zenye madini, vijana/watu wa maeneo hayo wanapenda sana habari za madini, na hata utafutaji wao umejikita kwenye madini ( bila kujalisha elimu yao), na na unaweza ukakutana na Mzee ambae hana elimu yoyote, ila anauwezo wa kutrace vein na kuipata miamba iliyokuwa na madini, kitu ambacho wataalam wanakaa darasani miaka mingi kupata huo uwezo.

Au nenda Arusha, Kilimanjaro, Saadan,Ngorongoro uone jinsi wakati wa maeneo yale walivyo interested na utalii. Kuna wamasai hawajawahi kuingia darasani, ila wanaongea Kiingereza kilichonyooka kuzidi hata wasomi wengi. Nenda Mtwara uone vijana walivyo interested na kilimo Cha zao la korosho n.k

Kwa mantiki hiyo, serikali ikisema iingize mtaalam wa madini, wapenda kilimo na ufugaji hawatopendezwa sana, wapenda utalii hawatopendezwa sana. Badala yake nadhani elimu yetu ingejikita kwenye somo la kujitambua, uraia na maana halisi ya uzalendo na mzalendo mwenyewe. Kuhusu maliasili imeziongelea sana, tumeimbishwa hadi nyimbo kuhusu mbuga zetu, tumeshaambiwa sana tafsiri ya rangi za bendera zetu, lakini angalia tulipo.

Huwezi kumfundisha mtu uzalendo akiwa chuo au sekondari. Shule ya msingi ni msingi wa kila jambo. Somo la uzalendo lianzie kule.

Waafrika hatujalaaniwa mkuu
Mkuu usiogope kuambiwa ukweli, Mwafrika ana LAANA, mfano rahisi waulize Wacongo wanapigania nini miaka yote hii,wakati Mungu kawapa utajiri mkubwa, elimu bora but why are fighting themselves?,ni upumbavu na LAANA, Tanzania kiuchumi in 70s tulilingana na Malaysia 🇲🇾, sasa jilinganishe nao, tumewazidi kitu kimoja tu,sisi tumezaana kama simbilisi, Botswana 🇧🇼 wapo under 3M sisi over 60M, tunaongezeka kwa more than 3%na uchumi kwa 4%to 5%,sasa hii ni craze mkuu
 
Mkuu tatizo ni chakula, wewe jiulize tofauti na mtu mweusi ni jamii gani nyingine watu wanakula ugali. Ugali sio chakula ile ni laana zunguka kote bara la Afrika watu weusi ndiyo wanakula ugali. Tukisema kama tuna laana siyo kweli bali sisi ni wajinga na akitokea mtu mweusi mwenye akili daima atashambuliwa na kupingwa kila kona na weusi wenzake

Ili mtu mweusi ajikomboe ni lazima aache kula ugali kwanza.
 
Mkuu usiogope kuambiwa ukweli, Mwafrika ana LAANA, mfano rahisi waulize Wacongo wanapigania nini miaka yote hii,wakati Mungu kawapa utajiri mkubwa, elimu bora but why are fighting themselves?,ni upumbavu na LAANA, Tanzania kiuchumi in 70s tulilingana na Malaysia 🇲🇾, sasa jilinganishe nao, tumewazidi kitu kimoja tu,sisi tumezaana kama simbilisi, Botswana 🇧🇼 wapo under 3M sisi over 60M, tunaongezeka kwa more than 3%na uchumi kwa 4%to 5%,sasa hii ni craze mkuu
Kwani mpaka sasa haufahamu kwanini wacongo wanapigana?

Lakini pia, ungekuwa umeelewa nilichoandika walau usingeandika hivi.
 
Afrika:
Imejaa waroho wa madaraka kupitiliza. Wenye nia ya dhati hawataki kuongoza na walafi wanauchu wa kuongoza.

Ukisema uwachukue waafrika wote uwapeleke Ulaya na watu wa Ulaya uwalete Afrika, baada ya miaka 50 utakuta uchumi wa Ulaya unapumulia mashine na huku Afrika walipo wazungu uchumi umeimarika sana pengine kutuzidi.

Juhudi tunazozifanya katika kuzaana tungewekeza katika akili ya kuimarisha uchumi tungekuwq mbali sana.
 
Back
Top Bottom