Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,964
Yah
Yah
mimi natumia bundle la elf 50/50 gb hapo pia kuna bundle zingine za juu ya hapoBei zikoje mkuu
Naitaji na mimiOfa ofa!!!!Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]ikikupendeza pm
Na ulianua kambi bila hata kuipata....😀😀Nimepiga kambi kusubiri internet ya bure!!!
Ipo namna kwani?Ingia google jifunze jinsi ya kupata internet free
Najiungaje sasa?Vodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month Pre-paid
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mkuu na vifurushi vya airtel post paid vinaendaje ?Vodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month Pre-paid
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapna mkuumkuu na vifurushi vya airtel post paid vinaendaje ?
Watakuja kukujibu waliopata hudumaHuu ni uongo kamwe usidanganye watu
Huu ni uongo kamwe usidanganye watu
Ongea kwa fact mkuu Sina Tabia hyoTaPeli mkubwa wewe!
Zipo 6 kila mwez kwa siku 14 mtandao tgoNahitaji GB 8 Kila mwezi.
Mtandao Vodacom (au tigo)
Bajeti 5000/= kila mwezi.
Naweza pata?
Labda facebook ya bureNdio unaweza kutumia free internet .... Bila kulipia ...