Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

Ofa ofa!!!!Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]ikikupendeza pm
 
mkuu nenda vodashop iliyokaribu nawe wakupe lain ambayo ni unlimited kwa ajili ya internet tu,bando zake zina vary kutoka 50GB/50K,100GB/80K n.k kwa mwezi achana na hiyo miserereko unayofundishwa huko mwisho wa siku utakuja ukamatwe ufunguliwe kesi ya uhujumu uchumi.speed yake inakaribia 5G sasa sio 4G ya kawaida.
Mkuu hizi line wanaziitaje??? Bila shaka hata vifurushi vyake vimepanda bei pia.
 
mkuu nenda vodashop iliyokaribu nawe wakupe lain ambayo ni unlimited kwa ajili ya internet tu,bando zake zina vary kutoka 50GB/50K,100GB/80K n.k kwa mwezi achana na hiyo miserereko unayofundishwa huko mwisho wa siku utakuja ukamatwe ufunguliwe kesi ya uhujumu uchumi.speed yake inakaribia 5G sasa sio 4G ya kawaida.
Bei zikoje mkuu
 
Ofa ofa!!!!Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]ikikupendeza pm
 
mkuu nenda vodashop iliyokaribu nawe wakupe lain ambayo ni unlimited kwa ajili ya internet tu,bando zake zina vary kutoka 50GB/50K,100GB/80K n.k kwa mwezi achana na hiyo miserereko unayofundishwa huko mwisho wa siku utakuja ukamatwe ufunguliwe kesi ya uhujumu uchumi.speed yake inakaribia 5G sasa sio 4G ya kawaida.
Siku hizi sio lazima aende vodashop, hapohapo ulipo kama una smartphone wewe watumie email voda wataomba namba yako, nao watakuunga mapema tu na huduma ya unlimited
 
Hiyo ya TTCL network full?kwa mwezi inakuweje
Hawa TTCL wehu...

Yaani ukichukua cha mwezi, you pay MORE but with lesser bundle, na ndo maana huwa nachukua cha wiki...

Kwa mfano, equivalent bundle size, ni GB 20 kwa TZS 40K kwa mwezi, wakati kama utaweza ku-maintain 7.5GB per week, kwa mwezi utakuwa umetumia GB 30 kwa TZS 40K! Pia, kuna cha GB 50 kwa 85K kwa mwezi, wakati hicho cha 7.5GB/week, utakuwa na 60GB kwa 80K kwa mwezi!
 
Kuna jamaa hapa karume sokon anatuunganisha WiFi kwa sh3000 kwa wiki na unatumia ukiwa sokon tu
 
Back
Top Bottom