Nahitaji kumuacha ila najikuta siwezi

Nahitaji kumuacha ila najikuta siwezi

Next time unapokuwa unaandika uzi mrefu, jaribu kutumia vizuri kanuni za uandishi, yaani kuweka alama, vituo, na muhimu kabisa ni kuweka Aya au paragraph. Maana bila hizo habari yako inakuwa imekaa kitata.
 
Mmmh hyu polisi alisha pelekwa na sikumpeleka mimi alipelekwa na wajumbe wa mtaa baada ya kunipga panga mbele za watu ilibidi waingilie Kati ndo kumpeleka mpk polisi lkin hasikii
Wanawake watu wa ajabu sana,yaani mtu anakupiga mpaka panga bado tu unajiweka kwake! Kisa uchumba.Tatizo ni wewe mwenyewe,ushajiwekea kuwa huyo jamaa ndo boss wako.Kama kweli anakupenda hawezi kuishi na wewe kama mtumwa wake,huyo no 'control freak' na wewe unapenda upunda wa kupigwa ndo maana umejiwekesha tu kwa huyo jamaa.
Inabidi ujue thamani yako kama mwanamke na kama binaadamu,maisha ni yake na ni juu yako kufanya yawe na furaha.Mwache,ondoka ishi maisha yako,jipange tena.
 
Asante kwa ushauri kaka
 
Waswahili wanasema ukimuacha mtu bila sababu hutabaki salama.

Asante nawasilisha.
 
Katika kitu huwa nachukia ni ile hali ya mtu kukubali kuwa victim wa manyanyaso ya wazi wazi ya kimahusiano.

Sasa mtu anakupiga (physical abuse), anakutukana (emotional abuse), still upo nae in the name of love..... What kind of love is that?!

Unataka hadi siku akujeruhi ndipo utambue kuwa haupo eneo sahihi?!

Ngoja nikwambie kitu. Wanaume wenye matatizo ya utotoni wapo wengi sana, and hawajaheal from their childhood trauma.....

Wewe sasa unataka kujikuta ni mtabibu wa nafsi a.k.a unae jua kupenda but unafail kujua kuwa upo na mtu mwenye matatizo kisa alikuwa anakuchanganya na big boom.

Mahusiano yanataka watu wawili wanaosikilizana na kuelewana na sio watu wawili au m'moja mjuaji anaependa kushindana. Huyo jamaa its obvious ana matatizo ya kisaikolojia ambayo hayajawa attended. Mimi hadi katika umri huu sijawahi hata mtukana matusi mwanamke ninae kuwa nae hata aniudhi vipi, nitaishia kupiga biti kwa sauti ya ukali endapo atafanya jambo la kitoto kama kukuta anaflirt na mwanaume mwingine au kuleta mazoea ya kimzaha na mtu mwingine, ila makosa madogo madogo kama uzembe, uvivu, kutokuwa msafi hayo nina muelekeza kama vile mwanafunzi na hatukwaruzani.

Ila balaa linakuja ni pale mtu kila jambo dogo anakuwakia balaa na muda mwingine kutumia lugha chafu na kutoa kipigo. Hiyo hairusiwi na ni kumkosea heshima mtu unaesema unampenda.

Upendo huja na heshima, kama hawezi kukuheshimu jua no doubt kuwa hakupendi.....

Hizo big boom ilikuwa ni namna yake ya kukuzoea ila si muhimu hata kidogo so mpotezee..... Mahari sio dau la manunuzi kwasababu biashara ya binadamu ilishakuwa abolished kimataifa tokea karne za nyuma. So kama ni mahari yake mwambie akawadai aliowapatia...... Na hebu utoke hapo unapoishi nae haraka, huku nje kuna wanaume kibao ambao wanakutaka wanahitaji kupata penzi lako na wao wakupe mapenzi yao.

Achana na hayo mapenzi ya kipuuzi ya kuvumilia manyanyaso in the name of "it might be you". Face the music, toka hapo ndani, njoo huku nje tufanye yetu......
 
Wanawake watu wa ajabu sana,yaani mtu anakupiga mpaka panga bado tu unajiweka kwake! Kisa uchumba.Tatizo ni wewe mwenyewe,ushajiwekea kuwa huyo jamaa ndo boss wako.Kama kweli anakupenda hawezi kuishi na wewe kama mtumwa wake,huyo no 'control freak' na wewe unapenda upunda wa kupigwa ndo maana umejiwekesha tu kwa huyo jamaa.
Inabidi ujue thamani yako kama mwanamke na kama binaadamu,maisha ni yake na ni juu yako kufanya yawe na furaha.Mwache,ondoka ishi maisha yako,jipange tena.
Hawa ndio wale wanavumilia ujinga halafu wakitoka wanasema wanaume ni wanyanyasaji kumbe ukweli ni kuwa yeye amechagua kuwa hapo kwenye manyanyaso na wanaume hawana hizo tabia za kunyanyasa....
 
Yaani unajiweza halafu unataka mwanaume wa kukuhudumia nyinyi wanawake shwaini sanaa na mtakuwa mnaumizwa kila siku
Itakuwa ulielewa vibaya nilikuwa najiweza kbla ya kuwa nae
 
Katika kitu huwa nachukia ni ile hali ya mtu kukubali kuwa victim wa manyanyaso ya wazi wazi ya kimahusiano.

Sasa mtu anakupiga (physical abuse), anakutukana (emotional abuse), still upo nae in the name of love..... What kind of love is that?!

Unataka hadi siku akujeruhi ndipo utambue kuwa haupo eneo sahihi?!

Ngoja nikwambie kitu. Wanaume wenye matatizo ya utotoni wapo wengi sana, and hawajaheal from their childhood trauma.....

Wewe sasa unataka kujikuta ni mtabibu wa nafsi a.k.a unae jua kupenda but unafail kujua kuwa upo na mtu mwenye matatizo kisa alikuwa anakuchanganya na big boom.

Mahusiano yanataka watu wawili wanaosikilizana na kuelewana na sio watu wawili au m'moja mjuaji anaependa kushindana. Huyo jamaa its obvious ana matatizo ya kisaikolojia ambayo hayajawa attended. Mimi hadi katika umri huu sijawahi hata mtukana matusi mwanamke ninae kuwa nae hata aniudhi vipi, nitaishia kupiga biti kwa sauti ya ukali endapo atafanya jambo la kitoto kama kukuta anaflirt na mwanaume mwingine au kuleta mazoea ya kimzaha na mtu mwingine, ila makosa madogo madogo kama uzembe, uvivu, kutokuwa msafi hayo nina muelekeza kama vile mwanafunzi na hatukwaruzani.

Ila balaa linakuja ni pale mtu kila jambo dogo anakuwakia balaa na muda mwingine kutumia lugha chafu na kutoa kipigo. Hiyo hairusiwi na ni kumkosea heshima mtu unaesema unampenda.

Upendo huja na heshima, kama hawezi kukuheshimu jua no doubt kuwa hakupendi.....

Hizo big boom ilikuwa ni namna yake ya kukuzoea ila si muhimu hata kidogo so mpotezee..... Mahari sio dau la manunuzi kwasababu biashara ya binadamu ilishakuwa abolished kimataifa tokea karne za nyuma. So kama ni mahari yake mwambie akawadai aliowapatia...... Na hebu utoke hapo unapoishi nae haraka, huku nje kuna wanaume kibao ambao wanakutaka wanahitaji kupata penzi lako na wao wakupe mapenzi yao.

Achana na hayo mapenzi ya kipuuzi ya kuvumilia manyanyaso in the name of "it might be you". Face the music, toka hapo ndani, njoo huku nje tufanye yetu......
Dah uminifaa sana I wish kila mwanaume angukuwa na uelewa kama wako mungu akuongee maarifa kaka Asante kwa kunishauri
 
Back
Top Bottom