Hata ndio madhara ya waTanzania wengi walivyo weka tamaa kwenye pesa na kujikuta wanawauza watoto wao bila kujuwa kwa kupokea posa nyingi kuliko utu wa mtu, nimekuwa mwanaharakati wa kuwaelimisha wazazi juu ya upokeaji wa posa(mahari, lakini Sasa naona tatizo linaenda kuwa kubwa
part time mkuuHahahaha tuanze na wewe mkuu
Mkuu wengine tunajua tunachotaka banah!...pipi na yoghurt sio ishu sema bibie anampenda sana huyo jamaa,haya ni matokeo yakupenda mtu asiye sahihi(ukiskia kifungo cha mapenzi #toxic love ndo haya).Hapa tunaweza shauri sana ila km nafsi yake haijasema ss imefika kikomo basi ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.Halafu mtu huyu ataolewa nakuja kusema ndoa ngumu Sasa unataka iweje wakati ulishaona Toka mwanzo na umeshindwa kutoka kabla hata hujaolewa rasmi.
Shida ni kwamba huwezi kumiliki mtu kisa unampenda yeye anataka kumiliki sababu anahofia atakupoteza,hajiamini na hapo hizi nitabia za wanaume wasiojua kutongoza,wasio na Future na wenye mwanamke mmoja.
Mwanaume anayejua Nini anataka mwenye maisha yake na Ana plan za kufika pale hawezi kupoteza mda kutaka kumiliki mwanamke km bidhaa, Kwanza future yake inamelemeta.Huyo muache sababu Hana hela na hilo sio kosa Ila muache sababu Hana Future na hilo ni kosa kubwa kbs.
Mwanzo ulihisi sio hadhi yako!!!na ulikuwa na mwenye hadhi yako ukamuacha kisa pipi na yoghurt Sasa tukisema hamjui mnataka nini msiwe mnatoka povu..
Aiseee na mkapotezeana kabisa!Usisubiri nasisitiza, mimi pia nillikuw na mtu tulikuwa kwenye situation kama hiyo we kept holding on tukihisi mambo yatakuwa sawa lakini hayakuwahi kuwa sawa na mahusiano yetu yalikuwa na miaka mitano. Tuliachana mwaka jana, ukisikiliza version yangu ya story utaona yeye hafai, naye akikupa version yake utaona mimi sifai. Ila jambo la msingi ni kwamba tulikuwa tumefikia mwisho wa safari hatukuwa tumefunga ndoa zaidi ya kumtolea mahari.
We jifanye hujaelewa.Nisisubutu kuzaa naye sio?
Ilikuwa ngumu, ilibidi nichange namba zangu na kila kitu, baada ya muda akaanza nitafuta kwenye email, nikawa simjibu akanitafuta insta nikamjibu tukachat chat then nikampotezea. No sikwenda kudai mahari wala nini ya kazi gani Mkuu ela ngapi nimepoteza hata kwa wadeni mbona nilisahau, ije kuwa mahari.Aiseee na mkapotezeana kabisa!
Mahari yako je ilirudi?
Daah uliweza shinda moyo japo ni ngum sanaaaIlikuwa ngumu, ilibidi nichange namba zangu na kila kitu, baada ya muda akaanza nitafuta kwenye email, nikawa simjibu akanitafuta insta nikamjibu tukachat chat then nikampotezea. No sikwenda kudai mahari wala nini ya kazi gani Mkuu ela ngapi nimepoteza hata kwa wadeni mbona nilisahau, ije kuwa mahari.
No siwezi, I decide to move on na ilikuwa ni lazima ni move on . . . mahusiano yetu ilifika muda yakawa so toxic. Kwa upande wake anapenda jua nafanya nini niko na nani, ila mimi uwa sifuatilii.Daah uliweza shinda moyo japo ni ngum sanaaa
Mwishowe tena unakuta anaanza lalamika.
Kama hajaoleea mkuu uwe unapooza maana tayar ulishamuharibu kiakili ujue hilo.
Sio kama nakuchimba bali kuna elimu napata.No siwezi, I decide to move on na ilikuwa ni lazima ni move on . . . mahusiano yetu ilifika muda yakawa so toxic. Kwa upande wake anapenda jua nafanya nini niko na nani, ila mimi uwa sifuatilii.
Ni kuchokana tu, uwa inafika muda unaweza mchoka mtu na mara nyingi ukiwa una mtu pembeni unayemwona ni bora zaidi yake, that is what happened. Na ikifka muda huo iwe kwa mwanaume au mwanamke, chochote utakachofanya atakuwa anaona takataka tu, the more unavyojaribu kuokoa jahazi ndo unazidi mkera tu. utapewa kila aina ya jibu la kukukera, kama siyo mwangalifu ndo utasikia flani kamuua mke wake.Sio kama nakuchimba bali kuna elimu napata.
Sababu kubwa hasa ya kutoelewana ni makelele,kutojishusha au ile kuona yeye mzur hata ukimwacha anakwambia ntapata mwanaume zaidi yako.
HahahahA kuua hapana bora nipige moyo konde niumie kwa muda.Ni kuchokana tu, uwa inafika muda unaweza mchoka mtu na mara nyingi ukiwa una mtu pembeni unayemwona ni bora zaidi yake, that is what happened. Na ikifka muda huo iwe kwa mwanaume au mwanamke, chochote utakachofanya atakuwa anaona takataka tu, the more unavyojaribu kuokoa jahazi ndo unazidi mkera tu. utapewa kila aina ya jibu la kukukera, kama siyo mwangalifu ndo utasikia flani kamuua mke wake.
Huui wa kukusudia, ila kwa matendo na majibu anayokupa. Hakuna picha utakosa kuona na jeuri yake utashangaa hadi ujiulize hivi huyu ndo flani ninayemjua kwa miaka yote? Mkuu watu wanabadilika mpaka unaweza jikuta unakubariana na Darwin kuwa binadamu alitokaa na nyani akabadilika kuwa mtu.HahahahA kuua hapana bora nipige moyo konde niumie kwa muda.
Vile mungu ameumba viumbe vizuri hivi bora kufanya maamuzi magumu.
Umenifunza jambo.
Sasa kama alibadilika kisa kiti cha pembeni now anataka kujua uko wap ili iweje!Huui wa kukusudia, ila kwa matendo na majibu anayokupa. Hakuna picha utakosa kuona na jeuri yake utashangaa hadi ujiulize hivi huyu ndo flani ninayemjua kwa miaka yote? Mkuu watu wanabadilika mpaka unaweza jikuta unakubariana na Darwin kuwa binadamu alitokaa na nyani akabadilika kuwa mtu.
Haa, ni sawa uwe wampenda mke wa mtu ukisikia mume wake kamwacha huenda nawe ukamkimbia...Sasa kama alibadilika kisa kiti cha pembeni now anataka kujua uko wap ili iweje!