Not every venture ends in climax. A fact that is well known to many women.Nishauri tu
Asante kwa ushauri nauganyia kaziNot every venture ends in climax. A fact that is well known to many women.
Ukiona ndoa imekuwa chungu, hiyo ni ndoano usisubiri ufe au uzalishwe ndipo uchukue hatua.
Haijalishi kama ulichokiandika hapa ni ukweli ama uongo, ila hata kama wewe ndiye mkosaji au yeye, hapa hakuna ndoa ya amani kutengana ndilo jambo la msingi.
Usisubiri nasisitiza, mimi pia nillikuw na mtu tulikuwa kwenye situation kama hiyo we kept holding on tukihisi mambo yatakuwa sawa lakini hayakuwahi kuwa sawa na mahusiano yetu yalikuwa na miaka mitano. Tuliachana mwaka jana, ukisikiliza version yangu ya story utaona yeye hafai, naye akikupa version yake utaona mimi sifai. Ila jambo la msingi ni kwamba tulikuwa tumefikia mwisho wa safari hatukuwa tumefunga ndoa zaidi ya kumtolea mahari.Asante kwa ushauri nauganyia kazi
Huyo anakuja kukuua kabisa Ni kichaa na ana matatizo ya akili, Ila wanaume wasio na mbele Wala nyuma Ni waonevu Sana na wazalilishaji kwenye mahusianoMmmh hyu polisi alisha pelekwa na sikumpeleka mimi alipelekwa na wajumbe wa mtaa baada ya kunipga panga mbele za watu ilibidi waingilie Kati ndo kumpeleka mpk polisi lkin hasikii
Bado hujachoka siku akikuaccha mlemavu wa kudumu automatic utamuacha, na hapo sio unakosa maamuzi Ni vile anakutesa Sana na kashaharibu akili yako tayari that's why, kutoka kwenye mahusiano abusive ka hayo yahitaji maamuzi magumu, Mimi Kuna vitu nilishajiwekea msimamo mtu aki cross hyo line sirudi nyumaHpn wala sio hvo me ata sielewi kwa nn nakosa uhamzi
Acha kumsingizia shetani kwa huo upuuzi wa huyo mwanaume na kutoa mahari sio kigezo Cha kumtukana mtu na kumpiga hovyo, Ina maana shetani ndio humshushia kipondo huyo dada, I think uzembe wetu shetani asihusishwe kabisashetani hua hapendi kuona amani na furaha vinatawala kwa mwanadam, kila aonapo hivo hughadhibika nakuingia kati ajil ya kuleta magomvi...
ukiona ndoa inafuraha daily ujue wahusika wamemshhrikisha mungu, mumeo anakupenda na ndo maana alithubutu kutoa mahari bt changamoto kubwa kwenu ni shetani kashaingia kati yenu hivo nakushauri ujikite katika maombi mambo yatarejea katika sawia.
ndoa hudumu kwa maombi au mmoja wenu kuvumilia mateso kama hayo ikiwa hamjawa tayari kumkaribisha mungu maishani mwenu.
Mimi siwezi huo ujinga wallah eti mapenzi ya kudundana hell noMkuu wapo yani unakuta mtu anatuuliza kabisa wanawake wenzie utasikia"Hivi wanaume zenu wana wivu kama huyu wakwangu?...maana huwa ananizabaga mibao alaf baadae ananibembeleza na kunipa hot sex!jaman mapenz matamu shoga zangu"huku anacheka na ngeo yake usoni.Hapo wiki ijayo tukasikia kalazwa kisa kipigo!
Sent from my LG-H870 using JamiiForums mobile app
Ms*nge wewe kumbe na mapanga ulipigwa aiseeeee na Bado upo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mmmh hyu polisi alisha pelekwa na sikumpeleka mimi alipelekwa na wajumbe wa mtaa baada ya kunipga panga mbele za watu ilibidi waingilie Kati ndo kumpeleka mpk polisi lkin hasikii
Nikweli dya me nakuelewa sanaUsisubiri nasisitiza, mimi pia nillikuw na mtu tulikuwa kwenye situation kama hiyo we kept holding on tukihisi mambo yatakuwa sawa lakini hayakuwahi kuwa sawa na mahusiano yetu yalikuwa na miaka mitano. Tuliachana mwaka jana, ukisikiliza version yangu ya story utaona yeye hafai, naye akikupa version yake utaona mimi sifai. Ila jambo la msingi ni kwamba tulikuwa tumefikia mwisho wa safari hatukuwa tumefunga ndoa zaidi ya kumtolea mahari.
Tunatamani kama tungepata pia story toka upande wa pili.......Ndoa mapenz ya nachangamoto zake Ila kwa anachokifanya uyo jamaa sio uonevu bali udhalilishaji kwako utumwa hakuna budi kuachana nae mpige tukio moja litakalo mfanya ajieke mbali na ww siku zote wanasema kheri ukosee kujenga Ila sio kukosea ndoa utajuta Sana