Nahitaji kumuacha ila najikuta siwezi

Nahitaji kumuacha ila najikuta siwezi

Haa, ni sawa uwe wampenda mke wa mtu ukisikia mume wake kamwacha huenda nawe ukamkimbia...
Ebu tuishie hapa maana utanifunza ujinga mwisho kesho ukasikia nimemliza mtu.
Sema nini hata huko ulipo ishi nae kea akili maana hawa viumbe mungu ndo anasajulia.
 
Aah now niko dakika mbili mbele na nilikuwa dakika mbili mbele ila niliamua tulia tu nikakutana na aliyetulia katikati ya safari akawa dakika mbili mbele. Hauna jipya yote nishashuhudia tayari kwahiyo hakuna la kunipa tabu
 
Haha haha haha saluti chief.
 
Sijui kwa nini,Uwa sishauli watu walio yataka wenyewe
 
Back
Top Bottom