Nahitaji kumuacha ila najikuta siwezi

Nahitaji kumuacha ila najikuta siwezi

Usikubali kupigwa dear hayo ni mateso yasiyoelezeka cha msingi tafuta suluhisho la hilo tatizo .
 
Daa kuna watu wasengerema sana,hv unakuaje na ujasiri wa kumpiga mwanamke mangumi,mara mapanga hv wana akili kwel,mwanamke unamshitua na vibao viwil basi,,yaan mwanamke unamkunjia ngumi kabsa aisee[emoji1]

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hata ndio madhara ya waTanzania wengi walivyo weka tamaa kwenye pesa na kujikuta wanawauza watoto wao bila kujuwa kwa kupokea posa nyingi kuliko utu wa mtu, nimekuwa mwanaharakati wa kuwaelimisha wazazi juu ya upokeaji wa posa(mahari, lakini Sasa naona tatizo linaenda kuwa kubwa
 
shetani hua hapendi kuona amani na furaha vinatawala kwa mwanadam, kila aonapo hivo hughadhibika nakuingia kati ajil ya kuleta magomvi...

ukiona ndoa inafuraha daily ujue wahusika wamemshhrikisha mungu, mumeo anakupenda na ndo maana alithubutu kutoa mahari bt changamoto kubwa kwenu ni shetani kashaingia kati yenu hivo nakushauri ujikite katika maombi mambo yatarejea katika sawia.

ndoa hudumu kwa maombi au mmoja wenu kuvumilia mateso kama hayo ikiwa hamjawa tayari kumkaribisha mungu maishani mwenu.
 
Asante sana day
 
Asante sana day
ukifanya hivo suluhu ya tatizo lako itakua imepatikana mkuu, pia maombi yafanye sehem ya maisha yako means unaomba ajil yako, mumeo, na mahtaji yenu yoote, mungu ni msikivu sana atairejesha furaha yenu ilopotea
 
Asante sana
 
Hiyo inawezekana kweli?, Yaani upigwe mapanga lkn unang'ang'ania tu kisa mgegedo!
Mkuu wapo yani unakuta mtu anatuuliza kabisa wanawake wenzie utasikia"Hivi wanaume zenu wana wivu kama huyu wakwangu?...maana huwa ananizabaga mibao alaf baadae ananibembeleza na kunipa hot sex!jaman mapenz matamu shoga zangu"huku anacheka na ngeo yake usoni.Hapo wiki ijayo tukasikia kalazwa kisa kipigo!

Sent from my LG-H870 using JamiiForums mobile app
 
Wakishua kuandika vinzuri hujui??
Najua ila time ya kukagua wap nimepatia wapi nimekosea sikuwa nayo coz sijafocus katka uandishi sana ili mradi umeelewa
Sorry kama ukuelewa nilicho kiandika
 
Aiseee siku nyingine akikutishia mrekodi kisiri, then ondoka hata akikusumbua mpeleke polisi tena uwe na ushahidi na kingne vitu vdogo kama hivi watu wanapuuzia mwisho wa siku anakusababishia ulemavu au hata kifo kwasababu hata kwa maelezo yako inaonekana jamaa yako anamattzo mahali flani anahitaji service.
 
shetani hua hapendi kuona amani na furaha vinatawala kwa mwanadam, kila aonapo hivo hughadhibika nakuingia kati ajil ya kuleta magomvi...

ukiona ndoa inafuraha daily ujue wahusika wamemshhrikisha mungu, mumeo anakupenda na ndo maana alithubutu kutoa mahari bt changamoto kubwa kwenu ni shetani kashaingia kati yenu hivo nakushauri ujikite katika maombi mambo yatarejea katika sawia.

ndoa hudumu kwa maombi au mmoja wenu kuvumilia mateso kama hayo ikiwa hamjawa tayari kumkaribisha mungu maishani mwenu.
Sio kila kitu kumsingizia shetani,Mungu yupo na maombi muhimu, lakini 'common sense' inasaidia.Kuna wakati mwengine baadhi ya watu wanahitaji msaada wa kisaikilojia.Huyo mwanaume inawezekana ana history ya violence tokea utotoni,kumtolea mwanamke mahali haina maana ana mapenzi ya kweli,mwanamme anaweza kuhongo mchepuko miaka hata 4 ili awe wake siku chache za week.Wakati mwengine inabidi kutumia akili ulopewa na Mungu kuangalia uhalisia wa maisha yako,kama mtu unamuona ana matatizo epukana nae,sio kuvumilia upuuzi ukitegemea atabadirika kwa maombi,kama hataki kujibadirisha mwenyewe maombi ni kazi bure.Namjua mtu alikuwa na mke lakini jamaa malaya anatembea mpaka na ma house girls,na akapata ukimwi,kila siku anaenda kuombewa, sababu yake kubwa eti ana pepo la ngono..jisaidie Mungu atakusaidia.
 
Back
Top Bottom