Nahitaji kumuacha ila najikuta siwezi

Ndoa mapenz ya nachangamoto zake Ila kwa anachokifanya uyo jamaa sio uonevu bali udhalilishaji kwako utumwa hakuna budi kuachana nae mpige tukio moja litakalo mfanya ajieke mbali na ww siku zote wanasema kheri ukosee kujenga Ila sio kukosea ndoa utajuta Sana
 
Habari za asubuhi nipo hapa kuitaji ushauri wenu kwa heshima niwatake radhi kwa wote nitakao wakwanza husika na kichwa cha habri hapo juu.

Nipo kwenye mausiano ni mwaka wa tatu sasa nimechumbiwa na nimetolewa mahari bado hatuja funga ndoa lkn nahisi kumchoka mpenzi wangu sababu ni

Kbla sijawa naye nilikuwa kwenye level furani hv za mtoto wa kishua pia nilikuwa nafanya kazi vodashop mbali na uwezo wa family yangu kunitunza vzuri lakn nilijitegemea.. Pia nilikuwa kwenye mausiano na mwenye hadhi kidgo na alinipenda sana, lakin ghafla alitokea kijana ambaye kwa kipindi iko nilikuwa namuona kma mtu furan hv asiye kuwa na hadhi ya kuwa na mimi ilipelekea ata yeye mwenyewe kushindwa kunitongoza kumtumia rafiki yake kiufupi hakuwa na uwezo wa kunihumia kwa kile nacho itaji kwa muda muhafaka basi ilimchukua muda sana kunifatilia mbali na kumkatalia hakukata tamaa kiasi kwamba ata mtu ni liye kuwa naye kwenye mausiano alikuwa anamjua coz mara nyingi alikuwa akifata na gari kwangu kunipeleka job na kunirudisha na hyu jamaa alikuwa jiran yangu mara nyingi alikuwa akinitumia pipi za big bomb, biscut, na maziwa ya yoghurt hzo ndo zilikuwa zawadi zake kwangu alifanya mazoea kila akitoka kazin kama hana hela basi unichukulia pipi ata kama sipo kwangu ataitunza mpk nirudi anipe taratibu nilianza kumuelewa maan nilijua kuwa ana mapenzi ya dhati ila nikukosa hela tu ndo anakosa siku za weekend alikuwa anakuja kwangu nakuniomba tukatembee hvo sikuwa namkatalia ilitokea kumzoa sana kujikuta kuingia kwenye mapenzi naye siku ya kwanza niliyo lala naye aliniomba kunioa kbsa na kudai ataki kuniona na yule jamaa tena nilimwambia ngoja nilifikilie ombi lako basi tulikaa kwenye mausiano mwaka mmoja na yule jmaa nilimuacha bila ata sababu baadae alienda kwetu kujitambulisha ambapo ilikuwa mwaka jana mwezi wa 7 na aliambiwa mahali na kaadi kupeleka mwezi wa 10 kweli baada ya miezi mitatu alipeleka mahali tena yote million 1na laki 5 kwa vile alitoa mahali kikwetu tyr niliitwa mke wake hvo sikuwa na budi kuishi naye uku tukipanga mipngo ya ndoa cha ajabu jmaa ata ndoa bado kaanza mambo ya ajbu ajbu hajali, anithamini tena, kila nacho kifanya kwake ni nothing tu, kibaya zaidi ananisati na anao nisaliti nao wananipgia simu wananitukana nikimwambia ananipiga na mikanda kea kwa kweli ilo la kupigwa ndo kikwazo san kwangu kwan kila akinipga aangalii kuwa anaye mpga ni nan kibaya zaidi amekuwa akinitishia mpka maisha nisha jaribu kuwaambia kwao lkn kwao hawapokeagi Malala Miko kwa mtu aliye olewa nashindwa nifanye nini kibaya zaidi mimi niitwe mrembo au mtu anisifie tu ni kesi hataki kuniaudumia kwa madai ya kwamba nikipendeza nitatongozwa anytime anataka niwe nyumbn tu hataki nitoke kiukweli nimechoka nilimvulia sana na hali yake nilikubali kuacha kila kitu na kuwa mtu wa kawaida kwa ajili yake nilimpenda na hali yake aliyo kuwa nayo nilikuta na kitanda tu chumba kimoja mpka hapa tulipo leo mengi tumevuna kwa hakiri zangu lkn ilo halioni nikama niko vvitani anadiliki mpk kuniita me mtumwa wake inaniuma sana
Namwambia kama unipendi tuachane hataki tu nacheka siku moja katika week

Nimechoka naitaji kumuacha ila njia ya kumuacha sina najitaidi kuvumilia ila kila siku ni afdhali ya jana nimejikaza sana
Nishaurini nifanye nini nmtoe moyoni

Nisaidien tafdhali
RUN.
 
Hahahaha hzo million za nin yeye at nilipa nn siku zote hzo napkia nmfulia alfu tena nitudishe mmh
Kwa jinsi ulivyoeleza huyo jamaa anaweza akadai million zake tena kwa vitisho vya mapanga,na siku akikutishia ww wahi polisi tu ili kwa kujuhami ili ajue akikufanyia baya lolote polisi watamkamata.Au ushasahau ile kesi ya yule mmama kukatwa mguu licha ya kumzalia mmewe watoto wanne

Sent from my LG-H870 using JamiiForums mobile app
 
Kwa jinsi ulivyoeleza huyo jamaa anaweza akadai million zake tena kwa vitisho vya mapanga,na siku akikutishia ww wahi polisi tu ili kwa kujuhami ili ajue akikufanyia baya lolote polisi watamkamata.Au ushasahau ile kesi ya yule mmama kukatwa mguu licha ya kumzalia mmewe watoto wanne

Sent from my LG-H870 using JamiiForums mobile app
Mmmh hyu polisi alisha pelekwa na sikumpeleka mimi alipelekwa na wajumbe wa mtaa baada ya kunipga panga mbele za watu ilibidi waingilie Kati ndo kumpeleka mpk polisi lkin hasikii
 
Ndoa mapenz ya nachangamoto zake Ila kwa anachokifanya uyo jamaa sio uonevu bali udhalilishaji kwako utumwa hakuna budi kuachana nae mpige tukio moja litakalo mfanya ajieke mbali na ww siku zote wanasema kheri ukosee kujenga Ila sio kukosea ndoa utajuta Sana
Ampige tukio gani mkuu?

Naona unamtafutia mwenzako balaa la gunia za mkaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom