Nahitaji kujua bei


situmai

situmai

Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
85
Likes
3
Points
15
situmai

situmai

Member
Joined Jun 29, 2012
85 3 15
Nokia Asha jamani ni shs ngapi huko madukani? anyone anayejua?
 
Madame B

Madame B

Verified Member
Joined
Apr 9, 2012
Messages
27,380
Likes
11,126
Points
280
Madame B

Madame B

Verified Member
Joined Apr 9, 2012
27,380 11,126 280
mie naijua bei ya Nokia Kongosho, Nokia King'asti na Nokia Madame B....ukiipata hiyo ya mwisho ndio nzuri ina ringtone za misuto yote....
Shem shem shem.
We nichokoze tu.
Utakipata unachokitaka soon.
 
Last edited by a moderator:
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,022
Likes
11,966
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,022 11,966 280
Pia wekeni bei ya Nokia mwaJuma
 
Last edited by a moderator:
majany

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Messages
1,213
Likes
64
Points
145
majany

majany

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2008
1,213 64 145
Hivi siwezi kupata Nokia Kongosho yenye browser ya Mtambuzi explorer ???Itakua nzuri sana!!!Naomba quotation yake kwa mtu anyeijua.
 
Last edited by a moderator:
majany

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Messages
1,213
Likes
64
Points
145
majany

majany

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2008
1,213 64 145
Hii utaiweza kweli

Kumbua hii ni toleo jipya kabisa
Unajua niko huku IBISABAGENI,kuna ng'ombe wa urithi nimepewa nataka kuwauza,sasa lisimu la kununua silijui.....Lakini kama ni la mahela meengi sitaweza!!!ishii....!!!
 
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
10,752
Likes
46
Points
0
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
10,752 46 0
Jamani hii thread inamaanisha zile simu za Nokia . . . au kitu kingine?
 
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
11,566
Likes
116
Points
160
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
11,566 116 160
Mi nataka kujua bei ya Nokia Zinduna. Hiyo Kongosho si ndo imemuua msanii wa Bongo movie juzi?
 
Last edited by a moderator:
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,022
Likes
11,966
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,022 11,966 280
king kong unatafuta kudhurika na kitu chenye ncha kali.
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chezeiya king enheeeeeeee!!!
 
Last edited by a moderator:
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
6,989
Likes
1,299
Points
280
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
6,989 1,299 280
Afu wewe.
Viuno vitakuua.
Unapenda down kama Masai na Ugolo.


Ndo maisha hayo,Rangi ya chungwa tu...
Hapa saa hii naomba usiku na mchana na mimi
nilipate li Madame B langu nihangaike nalo...
 
Last edited by a moderator:
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,343
Likes
86
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,343 86 0
mie naijua bei ya Nokia Kongosho, Nokia King'asti na Nokia Madame B....ukiipata hiyo ya mwisho ndio nzuri ina ringtone za misuto yote....
mkuu umesahau nokia cacico ukipiipigia simu inalia utadhani ng'ombe kaingizwa machinjioni,bei sh 15,000.- kariakoo.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,236,475
Members 475,125
Posts 29,259,206