Nimekupata mkuuBati za kuagiza china ni Kama kubeti, ukipata supllier mwaminifu, ni nzuri, Ila ukipata kanjanja, imekula kwako
Pamoja mkuuNimekupata mkuu
Ahsante Mkuu,Unaponunua mbao za fisherbodi
pia jitahidi uchague fisherbodi Pana (width) Kama utazipiga kabla ya kupangisha bati.
(Standard ni nchi 12, zimefeli Sana ni nchi 10)
Nb: zikiwa fupi Sana (chini ya nchi 10), Huwa zinatabia ya kufunikwa na bati, hazionekani, hasa Kwa wenye mapaa yenye slope kubwa sana.
Inaweza kukusabishia ukalazimika kuunganisha fisherbodi mbili mbili
Ili kufosi fisherbodi zako zionekane zipendezeshe nyumba.
ukigawanya kingpost kwa 1.8 je?Ili kuifanya nyumba Yako iwe na mwonekano mzuri wa slope.
YAANI isiwe na slope kubwa sana au isiwe na slope ndogo Sana.
Chukua eneo lote la nyumba Yako, ligawanye Katika skwea (mistatiri na miraba) mbalimbali mikubwa Kadri iwezekanavyo.
Chukua skwea kubwa (mraba mkubwa) kuliko yote.
Huo ndo utaamua kingPOST Yako (paa kuu) liwe na urefu kiasi gani.
Chukua upana WA huo mraba wako, ugawanye Mara 2, urefu utakapotikana ndio utakua urefu WA king post Yako.
Mfano:
Nyumba yenye paa kuu lenye urefu WA MITA 16 na upana wa MITA 8
kingPOST yake inapaswa kua MITA 4 kwenda juu.
Zingatia: kingPOST ikiwa mbaya, itaathiri mwonekano wote wa mapaa yanayofuata, maana mapaa yote madogo lazima yatakua yanamegwa kutoka kwenye kingpost
Slope ya bati itakua Kali kdg,ukigawanya kingpost kwa 1.8 je?
Ndo leo nazisikia hizo bati!1. Sun shere au Arafu Bati Uwakika.
Kama pesa Iko chini kidogo chukua za
Alafu nyeupe 30G Uwakika usichuke za kichina z Rangi sio mabat ni Takataka hizo.
Karibu sana kwenye chama chetu cha kufukia pesa ardhini😀Ahsante Deepond kwa taarifa hizi, umenifungua macho.
mamaJ kahamishiwa moro kikazi,naishi kinyonge sanaNiko poaa kabisaa, sijui wee na mama J.
😂😂😂😂