tarehe ya kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  2. M

    Msaada: Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  3. Swahili AI

    Tarehe ya harusi na tarehe ya kuzaliwa: imedhamiriwa kwa kutumia hesabu

    Wasichana wengi hawawezi kubaki gizani kwa muda mrefu na wanataka kujua haraka iwezekanavyo wakati sherehe ya harusi iliyosubiriwa kwa muda mrefu itafanyika. Sayansi ya hesabu inaweza kusaidia na hili, ambayo inakuwezesha kujua tarehe ya harusi ya baadaye kwa tarehe ya kuzaliwa. Wasichana...
  4. M

    Tarehe ya kuzaliwa Freeman Mbowe ni siasa pia?

    Muda wote tulisheherekea Uhuru wa Tanganyika tarehe sawa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa ndiyo huwa siku ya kuzaliwa. Naona leo Familia imemuwish mapema sana kabla ya 9 December kufika kupita kipande cha Gazeti? Nani aliudanganya UMMA kuwa freeman kazaliwa 9 December na Si tarehe 14 September ya...
  5. N

    Tarehe ya kuzaliwa inahusika vipi na kununua king'amuzi?

    Kwasasa mteja anaetaka kununua King'amuzi cha Azam anatakiwa kutaja tarehe yake ya kuzaliwa, ingawa sijafahamu kuna uhusiano gani kati ya tarehe ya kuzaliwa na kununua King'amuzi. Kama Azam Media Ltd wanahitaji taarifa kamili za mteja kwanini wasimuombe mteja kitambulisho cha taifa au kama...
  6. T

    Nimekutana na Wanandoa wenye tarehe ya kuzaliwa inayofanana

    Siku kadhaa zilizopita, kuna wanandoa wawili walikuja kupata huduma ofisi ninayofanyia kazi. Katika huduma hiyo kuna fomu walitakiwa kujaza kila mmoja, na kulikuwa na k kipengele cha kuzaja tarehe ya kuzaliwa. Baada ya kuzipitia fomu hizo, nilipofika kwenye kipengele cha tarehe ya kuzaliwa...
Back
Top Bottom