miss gisenyi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 699
- 498
Mmmh unaweza ukawa sahihiNahisi huu ni mtego tu wa mabishano ya ki-imani. Hakuna cha ziada.
Mmmh unaweza ukawa sahihiNahisi huu ni mtego tu wa mabishano ya ki-imani. Hakuna cha ziada.
Dini ilikuharibu, 23yrs unafikiri kubeba majukumu ya Mtu 30yrs.
Unajua nini kutunza familia?
Unajua kulea watoto?
Unajua kulea mimba?
Je, uchumi wa familia yako unayotaka kuanzisha ni tegemezi kwa asilimia ngapi?
Dini yako imekufundisha kukwepa Zinaa....!!!
Ngono kwa sana,
Usisahau kuuliza, nini baada ya kukwepa xxx?
Kijana Amka
Maisha yako yako mikononi mwa MAAMUZI yako na sio DINI AMA WAZAZI.....!!!
Wazazi watakufa na kukuacha...!!
DINI itakuacha.....!!
DINI itakuhukumu kwa sababu imekuacha...!!!
LAKINI , Dhamiri yako na Roho yako itabaki MUNGU WAKO ATAKUWA NA WEWE MILELE.
Wako wengi watakutisha na Dini zao Wazazi, Ndugu.
Lakini, niviumbe kama ulivyo wewe
Watakuangamiza ufanane na wao.
Wewe ni Kiumbe sahihi na chenye MAAMUZI kamili. FULL STOP
yeye mwenyewe pia ni mtu ambaye ameshka sana dini pia namimi mwenyewe nmepata mafunzo ya kidini
mkuu unapotea,kisa demu unabadili dini??
sina maana kwamba ndio nimefikia muda wa kuwa na familia, ninachojaribu mimi ni kuweka mtazamo wa mbele hata itakapofika siku nafanya maamuzi nisijiulize mara mbili mbili
nahtaj kuwa nae katika maisha yangu, yeye kubadili dini wazaz wake hawataki kabisa hata kidogo, ila mimi nahtaj kuwa nae katika maisha yangu
miaka ishirn na tatu
yeye anaongea na wazazi wake, ambao msimamo wao hawataki abadili dini, ila bado anazid kuwashawish
Sasa miaka 23 na wewe unataka kuoa? Huyo binti naye ana umri gani? Inshort watoto mmekutana nyege zunawasumbuwa, kuowa/ na zaidi ya kupigana dyudyu.
Dini zote ni magumashi tu ila tumezaliwa na tumerithi, Mwanaume kubadili dini ni kwa ajili ua mwanamke ni uzuzu usiokuwa na maelezo, badili dini kwa kuvutiwa nayo kiimani na si vinginevyo.
Kama umekolea sana kila mtu atoke half way mfunge ndoa serikalini cheti ni kilekile kwa familis ambazo hazijalewa mvinyo wa udini hili wala halina shida, kila mtu abaki na dini yake aliyorithi.