sawa nitamkazania abadili but nahtaj maombi haswa, kutokana na hali ya wazazi wake
miaka ishirn na tatu
wewe duniani hamna mke bora wala mume bora, acha habari zako... utaumia.hapana si lipwata hata kdogo, nmempenda kutokana na sifa alizonazo za kuwa mke bora mbele ya mume, na miongoni mwa wanawake wachache sana wa aina hyo
Na iyo ndoa unatarajia uifunge lini? na je huyo ulienae umemchunguza vya kutosha? Na utamudu maisha ya ndoa?
nahtaj kuwa nae katika maisha yangu, yeye kubadili dini wazaz wake hawataki kabisa hata kidogo, ila mimi nahtaj kuwa nae katika maisha yangu
We mgalatia acha kufanya watu wajinga hapa.
Toka lini ukitaka kuoa mgalatia mpk ubadili dini?
Kanuni hizo Tunazo sisi tu tunaohifadhi Imani Yetu. Wagalatia wala Hawajali wewe ni Muhindi au Mpagani! Kikubwa ni Pochi yako tu.
We unaonekana hata Hela ya kula pia inakupa tabu.
Kupenda vya bure Ni hatari
Chunga tu usije olewa!
japo kwamba mungu ndiye ajuae, ila huyu nimemchunguza vya kutosha na ameniridhisha,
ndoa sio leo wala kesho ni mpango wa muda mrefu wa kuwa pamoja, hata miaka miwili baadae, na nimemchunguza vizur, hata kwao pia nimeona maisha anayoish, kwa ufupi nimeona anavyoish akiwa nyumbani na hata akiwa nje na nyumbani
sawa mkuu nitazingatia kwani na huu pia ni ushauri, ila ni mungu pekee ndio anajua mwanadamu anamiliki nini mfukoni mwake, yeye ndiye anayejua riziki ya mja wake ikoje
Demu sijui ana umri gani? ila 23 ya kwako inanipa shaka!! Ila calculate risk ujitathmini kwa undani maana wanasema"don't trust a woman because they are weak creature"" Huo ni uamuzi mkubwa sana.Amua ukiangalia mbele zaidi.
Mungu unamjua wapi wewe?
Au umeskia kwenye redio habari za Mungu?
We ungekuwa Muislamu wa kweli Ungeandika upuuzi huu?
Vitimoto vibaya sana, acheni kula mtaathirika
sawa mkuu ni ushaur naufanyia kaz, na ni kwel pia umri wangu sio mkubwa ukilinganisha na maamuz yangu, na pia namuamin sana huyo mwanamke, mimi naamin iman ndio inakupeleka katka mafanikio, nimemuona nimemtathmin, na anafaa
unamuamini?sawa mkuu ni ushaur naufanyia kaz, na ni kwel pia umri wangu sio mkubwa ukilinganisha na maamuz yangu, na pia namuamitn sana huyo mwanamke, mimi naamin iman ndio inakupeleka katka mafanikio, nimemuona nimemtathmin, na anafaa
Kua makini usije kubadili dini kisha mkaja kuachana ukabaki kujuta, na kwa mtazamo wangu mtoto wa kike ndo anatakiwa akufate wewe. Mimi pia imenibidi nikatishe mahusiano kwa sababu ya utofauti wa dini na mpenzi wangu. Kama umejiridhisha nae we muombe Mungu na kubadili saivi ni mapema sana maana uwezi jua nn kitatokea siku za mbele na wanawake ni zaifu sana na nirahisi kubadilika