ndio mkuu namuamini sana
vipi mbona umeshangaa
swadakta... tatizo sio kubadili dini, tatizo sababu ipi inakufanya ubadili? sababu ya mwanamke ni yakipumbavu na yakilofaKama unabadili dini kwa ajili ya Mwanamke sikushauri ila kama kwa ajili ya imani fanya hivyo. Utakuja kujuta maisha yako yote utapoteza ndugu na baadae mkeo.
mkuu acha mawazo hayo mbona wadau washa kuelekeza poa. wanawake si watu wa kuamini hata kidogo kama ngumu ye kubadili basi fungeni ya boman kila mmoja abaki na dini yake. sasa sijui watoto watafata wapi maana siamini kama umeshika dini ivo na mtarajiwa wako pia.
swadakta... tatizo sio kubadili dini, tatizo sababu ipi inakufanya ubadili? sababu ya mwanamke ni yakipumbavu na yakilofa
haya kAbadilishenajua wengi wetu tunaamini kuwa mwanamke ni mtu mwepesi sana kubadilika na ndio maana inakuwa vigumu sana kuamini kama mwanamke anaweza akawa na mapenz ya dhati, lakini endapo unakuwa hauamini kuwa mwanamke anaupendo wa dhat kwako na hawez kukusalit, hii hukupelekea moyo wako kuwa mwepes sana na kutaman kumpa nafas mtu yeyote utakayekutana nae, lakin endapo utamuamini huyo mwanamke ni vigumu sana moyo wako kuwa mwepes na ukawa tayar kumpa nafas mwanamke yeyote yule umuonae, sio kila mwanamke ni rahis kumsaliti yule ampendae
haya kAbadilishe
hapana jamani apewe ushauri,ina onekana ni mgeni na wanawake.
Kama unamuamini, badili dini umuoe umpendaye ili maisha yako yawe ya furaha. Usije ukawasikia wana JF humu ambao hata hawawezi kuhisi ni namna gani utaumia maishani kwa kupoteza kipenzi chako. Hata maisha ya ndoa na mwingine hayatadumu katika furaha kwani utaendelea kumfikiria huyu tundio mkuu namuamini sana