Nahitaji kubadili dini ili nioe

Nahitaji kubadili dini ili nioe

Sasa miaka 23 na wewe unataka kuoa? Huyo binti naye ana umri gani? Inshort watoto mmekutana nyege zunawasumbuwa, kuowa/ na zaidi ya kupigana dyudyu.

Dini zote ni magumashi tu ila tumezaliwa na tumerithi, Mwanaume kubadili dini ni kwa ajili ua mwanamke ni uzuzu usiokuwa na maelezo, badili dini kwa kuvutiwa nayo kiimani na si vinginevyo.

Kama umekolea sana kila mtu atoke half way mfunge ndoa serikalini cheti ni kilekile kwa familis ambazo hazijalewa mvinyo wa udini hili wala halina shida, kila mtu abaki na dini yake aliyorithi.

sina maana nataka kuoa nikiwa na umri huu wa miaka ishir na tatu, mipango ya kuoana kwetu sio kwa umri huu, kwasababu najua bado sina uwezo wa kuwa na familia kwa umri huu
 
sina maana nataka kuoa nikiwa na umri huu wa miaka ishir na tatu, mipango ya kuoana kwetu sio kwa umri huu, kwasababu najua bado sina uwezo wa kuwa na familia kwa umri huu
Ndio maana nikasema wewe bado mtoto ni utoto unakusumbuwa, una uwezo wa kupredict akili ya mwanamke kwa mwaka mmoja ujao?

Au wewe ukisikiaga wazenj wanaimba mapinduuuzi daimaa huwa unaelewa nini?

Ukipata demu ni mzuri basi ujuwe kuna zuzu limepigwa chini. Inapoona wenzako wananyolewa tia maji kabisa.
Tafuta pesa dogo mengine yatajileta yenyewe.
 
Unamapenzi ya dhati Hongera kaka Ila Siku utakapoanza kutendwa Ndio utajua ulichokifanya Mwanzo n sahihi o not.
 
Wanakimbia Zinaa.
Mbona wanandoa ndio wanaongoza kwa zinaa?
Wake za watu wanapigwa sana dyudyu na waume za watu ndio usiseme wao ndio vijogoo wa mjini.

Sioni mantiki yoyote ni mihemko ya nyege tu na balehe.

Hawa ndio wakipata mtoto akaumwa mtoto analia baba analia na Mama analia, hata hajulikani mwanaume ni nani ndani ya nyumba.
 
Ndio maana nikasema wewe bado mtoto ni utoto unakusumbuwa, una uwezo wa kupredict akili ya mwanamke kwa mwaka mmoja ujao?

Au wewe ukisikiaga wazenj wanaimba mapinduuuzi daimaa huwa unaelewa nini?

Ukipata demu ni mzuri basi ujuwe kuna zuzu limepigwa chini. Inapoona wenzako wananyolewa tia maji kabisa.
Tafuta pesa dogo mengine yatajileta yenyewe.

dah! sawa nimekuelewa mkuu
 
Wewe sio muislam mwenye mafunzo ya kiislam hata kwa kiwango kidogo.
Umeshindwa kuwa na mapenz na dini uliyozaliwa nayo utakuwa na mapenz na mtu uliekutana nae ukubwa.

Dini ni magumashi, hoja hapa ni kwamba kama mtu anaingia kwenye dini nyingine awe na strong reason.
 
Kama kweli umesoma uislam utakua unajua maana ya MURTAD, labda nikusaidie na nitimize wajibu wangu

1. unaachana na kalima ya Laa ilaha ila llah... ( hakuna Mola apaswae kuabudiwa ila Mola/Mungu mmoja) sasa unatamani kuabudu miungu zaidi ya mmoja..... madhara ya kufanya hivyo unayajua

2. Kumbuka siku ya mwisho,, Qiyama,, mapenzi yako hayatakufaa kitu,, mbele ya Mola utasimama peke yako na utakua huna hoja kabisa kama ulimkadhibisha Allah

3. Mapenzi huisha kabisa ,,,, je ukisuswa utarudia dini yao ya zamani?? ingekua vyema kubadili dini kwa kuielewa dini husika lakini sikwa tamaa ya mwili

Nakushauli kabisa kijana wangu kuwa strong,, wanawake hupenda watu strong,, ukikubali kubadili huo ni udhaifu mkubwa sana na hata ku value kabisa .....

Huyu lofa Anasema kasoma sana tens kasoma sana
 
Mbona wanandoa ndio wanaongoza kwa zinaa?
Wake za watu wanapigwa sana dyudyu na waume za watu ndio usiseme wao ndio vijogoo wa mjini.

Sioni mantiki yoyote ni mihemko ya nyege tu na balehe.

Hawa ndio wakipata mtoto akaumwa mtoto analia baba analia na Mama analia, hata hajulikani mwanaume ni nani ndani ya nyumba.

Hawayajui hayo.
 
Habari wanaJf,

Mimi ni kijana wa kiislamu, niliyezaliwa na kulelewa katika misingi ya uislamu, na kupata mafunzo ya uislamu kwa kiwango kikubwa sana, lakini nataka kufanya maamuzi ya kubadili dini.

Ila tatizo lipo katika namna ya kuwaeleza wazazi na ndugu wanielewe na wauelewe uamuzi wangu, sababu kubwa nina msichana wa kikristo nataka kumuoa.

Naombeni ushauri wanaJf
Poor youngman !! unaoa mwanmke au unaoa dini? (hivi ni vitu viwili tofauti) Mwenyeezi Mungu hana shida nawe, na demu hana shida ya Mungu wako !!! utapotea na kuwa mwenye kupata hasara
 
hapana chezea kitu inaitwa papuchi watu wapo radhi kubadili dini

Habari wanaJf,

Mimi ni kijana wa kiislamu, niliyezaliwa na kulelewa katika misingi ya uislamu, na kupata mafunzo ya uislamu kwa kiwango kikubwa sana, lakini nataka kufanya maamuzi ya kubadili dini.

Ila tatizo lipo katika namna ya kuwaeleza wazazi na ndugu wanielewe na wauelewe uamuzi wangu, sababu kubwa nina msichana wa kikristo nataka kumuoa.

Naombeni ushauri wanaJf

Yaan ww pimbi unabadili dini kisa nyapu ww...??! kwel ujitambui
 
naomba nikushauri ndugu yangu: kurani inasema hakika dini ya haki mbele ya mwenyezimungu ni uislam na asietaka dini hii kesha angamia na kwa haikua maisha ya dunia ila ni starehe chache zenye kudanganya. jee uko tayari ukachomwe moto wa milele kwa ajili ya mwanamke?

jee katikati ya safari akikukataa? kuwa makini usije angamiza nafsi yako
 
Thread Mbili Zenye Ujumbe Mmoja Kutoka Kwa Mtu mmoja Mwenye Id mbili zenye jinsia tofauti.... Kila la heri
 
Dini sio baba yako au mama yako unaweza kuhama tu je mkiachana unaludi dini ya zamani?
 
Kama umeamua toka moyoni mwako badili dini uwe mkristo, si ndo huwa wanasema Mungu ni mmoja
 
nahtaj kuwa nae katika maisha yangu, yeye kubadili dini wazaz wake hawataki kabisa hata kidogo, ila mimi nahtaj kuwa nae katika maisha yangu

Ndoa ni mkataba ,gonga ndoa ya bomani kila mtu aendelee na anachokiamini
 
njoo tu Mungu ndio anahukumu sio binadamu wala hustaili kuul;iwa kama wanavosema....mh mapenzi sooo, badili tuuu
 
Habari wanaJf,

Mimi ni kijana wa kiislamu, niliyezaliwa na kulelewa katika misingi ya uislamu, na kupata mafunzo ya uislamu kwa kiwango kikubwa sana, lakini nataka kufanya maamuzi ya kubadili dini.

Ila tatizo lipo katika namna ya kuwaeleza wazazi na ndugu wanielewe na wauelewe uamuzi wangu, sababu kubwa nina msichana wa kikristo nataka kumuoa.

Naombeni ushauri wanaJf

Kweli umetamani jambo jema sana, kuoa. Nakuhakikishia kwamba hujakosea kitu chochote kwani unaweza kubadili dini lkn huwezi kubadili kabilaaa!
 
Back
Top Bottom