Nahitaji kubadili dini ili nioe

Nahitaji kubadili dini ili nioe

Ndio maana nikasema wewe bado mtoto ni utoto unakusumbuwa, una uwezo wa kupredict akili ya mwanamke kwa mwaka mmoja ujao?

Au wewe ukisikiaga wazenj wanaimba mapinduuuzi daimaa huwa unaelewa nini?

Ukipata demu ni mzuri basi ujuwe kuna zuzu limepigwa chini. Inapoona wenzako wananyolewa tia maji kabisa.
Tafuta pesa dogo mengine yatajileta yenyewe.

We bwana naona tunatishana sasa,unataka tusioe
 
we dini ya uislam huijui unawajuwa waislam na hujasoma chochote kuhusu uislam baliuliimbishwatu dini soma sura ya tatu aya 85 kwa kukusaidia huwezi endelea kutuletea utumbowako huo badili ukapewe kitabuchako kwa mkono wa kushoto tenakwa kupigwa mgongo
 
Jambia lipo tayari kumkabili tena huyu kijana ngoja tumtege na tumkamate, maana kufru kubwa hii.
astaghfirullah, unatakiwa utubu maana apo ulipo umeshamkufuru allah. hukumu yako ni kuuliwa
 
nahtaj kuwa nae katika maisha yangu, yeye kubadili dini wazaz wake hawataki kabisa hata kidogo, ila mimi nahtaj kuwa nae katika maisha yangu

Yeye wazazi wake hawataki abadili dini, jee wewe wa kwako wamekubali?

naona umeshaamaua kutanassar, endelea tu mutajuana wewe na Mungu wako maana wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu, na kama ulivyosema umesoma si haba na unajua vizuri consequences zake.
 
Back
Top Bottom