Nahitaji kuanza kutumia pombe

Nahitaji kuanza kutumia pombe

Kijana
Sikushauri kunywa pombe na zaidi tafuta starehe nyingine pombe kama huna hela nzuri utaishia kwenye madeni .

Pombe usipoweza kujidhibiti utakuwa na magonjwa ya zinaa kila uchwao .

Pombe ukiendekeza utafeli mipango ya maisha

Mwisho pombe ni uraibu mbaya kuacha sio rahisi .

Siongei nikiwa nyumbani naongea nikiwa bar nakunywa pombe kwa hela yangu ila sitamani uje huku .

Nilianza kunywa pombe nikiwa na miaka 14 , sasa mimi kwa maelezo yako ni baba yako , nilitamani kuacha nikiwa na miaka 29 sijafanikiwa mpaka sasa na uzee huu .

Pombe imenipunguzia heshima kwa jamii kubwa iliyodhani mimi ni mtu wa heshima kwa elimu yangu na kazi yangu .

Pombe imenipunguzia ufanisi kazini , pombe imepelekea sasa nina gonjwa lisilotibika japo lipo katika early stage hivyo naweza kupambana kupona nikiamua .

Pombe imenifanya vitu vingi kuamuliwa na ndugu na mke hata kama kitu naona naweza kuamua mwenyewe lakini bado naamuliwa kwa nguvu .

Ndugu sikushauri kunywa pombe , watakuja vijana sio muda watasema nakunywa matuputapu wambie sijaanza kunywa pombe Tanzania hivyo wakumbushe nje hakuna mataputapu .

Usinywe pombe .
Kwasasa Mbeya pazuri .

Mbeya pazuri upo upande upi au kaunta gani mana pamekua pakubwa sanaa hapa ndani kaunta tatu bado nje live band hahha
 
Shiriki michezo, au Anza mazoezi kujiweka biz
Pombe sikushauri.
Tatizo pombe ni tamu sana ukiingia huko utanogewa hutaacha na kunauwezekano ukawa mlevi na masikini.
Huko sasa ndo utakutana na msongo wamawazo Original
 
nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:

01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza

02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu

Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha,umri middle 20's
Basi mim nikiwa na stress hua sitak kabisa maswala ya vilevi.
 
Pombe nimeweza kuacha mda sasa,Nimesoma Boys mkuu nyeto nimeshindwa kuacha
 
Kuna rafiki mmoja tumekuwa nae udogoni ni agemate tumefnya Mambo mengi utototoni kwa kifupi tumekulowa maisha ya uswazi kimtindo so alikuwa solid sana ila leo nimepewa habari zake za kusikitisha kuwa Hana hela ila anapenda pombe za bure sahivi anafokolewa Malinda nimeumia sana
 
Pombe haina kificho pia tambua kuwa unapokunywa pombe siyo kwamba unapunguza mawazo.ila kinachotokea ni kwamba unayastopisha mawazo kwa muda na pombe ikiisha mawazo yanarudi pale pale.dawa ya msongo wa mawazo ni kutatuwa kile kinacho kupelekea kuwa na Mawazo hayo....
 
nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:

01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza

02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu

Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha,umri middle 20's
Anza na gongo ila inabidi uwe umeshiba kabla ya kuifakamia, utasahau tu shida zako.
 
Kwanza ni kijana mdogo sana,na sijui kama una changamoto kiasi Cha kutaka kunywa pombe,
Na aliekudanganya pombe inaondoa stress nae itakua alidanganywa
Hapo unasogeza mbele tatizo na pengine kuongeza tatizo
Sikushauri
Umesema vizuri sana.Yaani siku hizi Kuna wimbi la vijana miaka 20 mpaka 30.utaskia uncle Nina stress,aunt Nina stress/Niko na depression..hapo bado yupo Kwa mzazi anapewa kilakitu.najiuliza hizi stress zote akifikisha 40,50 na familia juu itakuaje?.vijana jifunzeni kuwa wavumilivu.wote tumepitia kwenye hizo shida na kubwa sana,lakini ni mapito tu Iko siku yataisha.Pia tusimshau kumshirikisha Mungu Kwa kila jambo.Mungu Yuko na ukimwomba Kwa Imani anakusaida.Ila naona mtoa mada anatuchezea tu.
 
nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:

01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza

02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu

Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha,umri middle 20's
Don't dare to start it itakupelekea kuwa na double stress za kiuchumi na kimaisha zaidi
 
Usiseme hukuambiwa
 
Attachments

  • #litonely_#frypgシ_#fryp_#frypage.mp4
    767.2 KB
Wasikutishe karibu chamani kunywa pombe amabzo hazina hangover kunywa wastani ukiona umeanza kulewa acha enjoy usinywe kwa kufakamia kunywa kidg kdg ili inapopanda usiumbuke, hakikisha umekula ndo unywe usinywe alafu ndo ule utatapika
Usinywe pombe kali kavu mix na vipoozoe kama barafu soda nk
Anza na serngeti lite au zenye alc chini ya 5 kwa kuanzia
Enjoy tafadhali usiongeze sigara wala bangi
 
nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:

01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza

02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu

Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha,umri middle 20's
Mid 20s tayari una stress ? Ukifikisha 40 itakuwaje?
Anyway kwa kipato na familia yako sidhani kama pombe ni chaguo bora kwako : , in fact pombe will worsen the already delicate sitiatuion you are going through.
Jichanganye na watu upate kuongea na utafanikiwa kupunguza stress , tafuta fantacies, zipo nyingi tu ., kwangu mie muziki unanisaidia sana kuondoa mawazo .
 
Nimeanza pombe nina miaka 15 tena nilianzia vodka zile ndogo ndogo na zed siku ya kwnza nilicheka sana ikabid niwe mbali na home mdogo mdogo gari likakolea gia nipo 18 nakunywa vijogoo na konyagi ka mwehu ila saivi sio mshamba wa pombe nakunywa nikijiskia
 
nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:

01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza

02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu

Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha,umri middle 20's
Achana na pombe, sababu zinazo kufanya uanze kutumia, na hofu ya kupoteza baadhi ya mambo pombe sio suluhisho,

Vip itakapo kunywa na kulewa ukose akili uvue nguo mbele za watu, AU ukawafanyie ugomv Hao Hao ulio wataja kuwa hutaki wajue?
Pombe hii unayo taka kujifuza Sasa ita kuongezea tatizo lingine kubwa Kwan pombe sio dawa ya stress utakuwa stress free pale itakapo kuwa ume lewa pombe ikiisha tabu ipo pale pale utajikuta mtumwa ndani ya pombe
Kunywa pombe jifunza pombe itakapo ona unayo sababu ya msing ila iyo yako utaangamia Zaid unless uwe huna WA kumuogopa wala kuhofia

Zingatia pombe sio Chai lolote linaweza kutokea, vichwa vinavyo weza kustahimli pombe sio vyote usikute chako sio ukaja kifedheheka,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom