Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,879
- 14,704
Kwa io hua unaambiwa na wanaume wenzako kua wewe ni mzuri?Mkuu Kuna watu ni ma handsome Mimi ni mmoja wao....
Naambiaaga tangu utotoni na saivi NDIO nipo kwenye PICK....
Ningeweka picha hapa sema nikujiletea shida huko mbeleni maana hapa JF ni ILLUSION
Amini Kuna wanaume ambao kama ilivyo kwenye madume ya Ng'ombe,mbuzi, nguruwe,Mbwa, Kuku, Bata Bado wangechagua mbegu Bora za kupanda majike Yao Ili kupata mbegu Bora.....

