Nahitaji kuanza kutumia pombe

Nahitaji kuanza kutumia pombe

Nitakushauri pombe nzuri ya kunywea geto kwa siri lakini kwanza pitia huu uzi.. Some kwa kutulia

Shida ya pombe haina kipimo hasa ukiwa na stress na ikishapenya hufungua kufuli za usiri
Bro mshana,
For years wazungu wamekunywa wanakunywa na wamefanya vumbuzi nyingi mpaka hizi internet, simu, treni, baiskeri, lami na magari na vingine vingi vingi.

Ushauri wako ni mzur sanaa wenye kumsaidia mtu mwenye kuokota nguvu kazi Ila hizi pombe ni kunywa kwa discipline Sanaa na kuto kuzidisha kiwango/ kipimo chako Tena weekend au jioni baada ya kazi kunywa for recreational purpose.

Huo ndio ushauri wangu kwa vijana upcoming nauchukiaga ulevi/walevi Ila siichukii pombe Ila tatizo kubwa lipo kwa mtu mwenyewe.
 
Huo ndio ushauri wangu kwa vijana upcoming nauchukiaga ulevi/walevi Ila siichukii pombe Ila tatizo kubwa lipo kwa mtu mwenyewe
 
Una kichwa chepesi au kichwa panzi... Mimi napiga vitu ila sijawahi kuruhusu wazazi wajue... Nikienda kusalimia pombe nakaa nayo mbali na hata nikisema niboost kidogo nakuwa bubu kabisa.
So unamshauri mwenzio naye afanye hivyo?Wewe tayari umeshaharibikiwa,acha kupoteza mwenzio,Mungu atakudai damu yake.
 
Bro mshana,
For years wazungu wamekunywa wanakunywa na wamefanya vumbuzi nyingi mpaka hizi internet, simu, treni, baiskeri, lami na magari na vingine vingi vingi.

Ushauri wako ni mzur sanaa wenye kumsaidia mtu mwenye kuokota nguvu kazi Ila hizi pombe ni kunywa kwa discipline Sanaa na kuto kuzidisha kiwango/ kipimo chako Tena weekend au jioni baada ya kazi kunywa for recreational purpose.

Huo ndio ushauri wangu kwa vijana upcoming nauchukiaga ulevi/walevi Ila siichukii pombe Ila tatizo kubwa lipo kwa mtu mwenyewe.
Umeshakaa Ulaya na Marekani mkuu mpaka u-conclude kwamba Wazungu wananakunywa au ni taarifa za vijiweni? Anyway,ume-point out kwamba unachukia ulevi.Sasa unajua akianza kunywa hatakuwa mlevi?Ndio pombe kidogo ni dawa ya tumbo haina shida,tatizo ni control.Wazungu uliowataja wengi wanaojitambua, wanakunywa pombe kama chakula during meals,hiyo ni Mila na desturi yao,wanekiwa wamezoezwa hivyo,sisi hatuna Mila hiyooo.....!Sisi Mila hiyo hatuna,kwetu pombe ni kilevi tangia swali.Hata hivyo nikiri kwamba siku hizi Wazungu nao wameharibikiwa wapo wengi tu ambao ni walevi,na hawa hawawezi kufanya ugunduzi wowote.

Mkuu nikutonye kitu ambacho naamini hukijui.Wagunduzi anywhere sio Ulaya tu ni watu
special,na wanakaa kwenye controlled enviroments,hawajichanganyi hovyo hovyo.

Mwisho niseme kwamba pombe kwa ujumla wake haina faida yeyote mwilini,kwa hiyo ni busara kukaa mbali nayo.Kwanza haina virutubishi vyovyote ambavyo utasema vinausaidia mwili.Faida zinazotolewa ni za kujaribu tu kuhalalasha unywaji wa pombe,ni fake.
 
Nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana.

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

Nimekuja kwenu, mnisaidie mambo yafuatayo:

01: Ni aina gani ya pombe inafaa, hasa kwa mtu anaenza.

02: Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu, ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu.

Hivyo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivyo pombe hiyo ni lazima iwe take-away.

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri, naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle.

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha, umri middle 20's
Nitakushauri pombe nzuri ya kunywea geto kwa siri lakini kwanza pitia huu uzi.. Some kwa kutulia
Anza na serengeti lite badae uanze kupiga ka konyagi kadogo hutajutia
Shida ya pombe haina kipimo hasa ukiwa na stress na ikishapenya hufungua kufuli za usiri
Mshana Jr njoo hapa kaunta, chukua jina la member mwenzetu mpya
Endorsement done n delivered..!
 
Tayari mapema kabisa
 
Umeanza na kuuliza Kama nimekaa marekani na ulaya? Mkuu sikuizi civilization ime advance tupo kwenye globalization.

Hauitaji DEBATE WALA MAJADILIANO kwamba mtu kujua taarifa za ulaya na marekani mtu anaweza kua exposed na maisha ya sehemu Fulani bila hata kufika eneo husika.

Umeeleza madhara ya POMBE umeongezea mambo mengi ya msingi Sanaa je ? swali langu UMEWAI KUNYWA POMBE MKUU?! tupe uzoefu wako..

POMBE HAUJAWAI kua tatizo siku zoteee tatizo ni mtu mwenyewe ku misuse/ over drinking kunywa kwa kipimo huzidishi Tena weekend au jion baada ya kazi

Pombe ikitumika kwa KIASI inaleta afya na appetite ya kula na kufanya akili kua very smart & sharp mind maana pombe husisimua akili ,hii imesha thibitishwa beyond the reasonable doubt.

Kuna vidonge vinaitwa MOLLY unavifahamu kwa kusema vilevi vikitumika kwa kias sio vibaya Ila shida ni ipo kwenye matumizi mabovu ndio tatizo linapo anzia.

Wafalme wa zamani na war champion walikua wanakunywa hata ancient Greek, Korea hata kule roman empire hata muujiza wa kwanza wa YESU KRISTO alibadilisha maji kua DIVAI.

Wasalaam.
 
Kufika Ulaya na kuona kwenye mtandao ni vitu viwili tofauti kabisa mkuu.Kwenys mtandao they show you what they want you to see,not many details.Mimi nimekaa Marekani na Ulaya na nilipata bahati ya kukaa in some families,so I know their culture, nikiongea najua ninacho ongea.

Yes,ninauzoefu wa kunywa pombe,na I must say najutia sana muda na pesa nilizopoteza huko,I wish ningezitumia vizuri zaidi,hata kwa kuwasaidia ndugu zangu.Sikuona faida ya kunywa pombe,all talk about faida za kunywa pombe is nonsense,zinalenga tu kuhalalisha uovu na kwa hiyo kumuasi Mungu.

Kwanza marafiki unaopata kwenye pombe mostly niligundua kuwa wana uovu mwingi sana,so they are not really good people after all.Remember pia as I have pointed out before,vice ya kunywa pombe ina invite so many other vices,so avoid drinking to remain safe and focussed.
 
Nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana.

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

Nimekuja kwenu, mnisaidie mambo yafuatayo:

01: Ni aina gani ya pombe inafaa, hasa kwa mtu anaenza.

02: Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu, ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu.

Hivyo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivyo pombe hiyo ni lazima iwe take-away.

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri, naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle.

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha, umri middle 20's
Nitakushauri pombe nzuri ya kunywea geto kwa siri lakini kwanza pitia huu uzi.. Some kwa kutulia
Anza na serengeti lite badae uanze kupiga ka konyagi kadogo hutajutia
Shida ya pombe haina kipimo hasa ukiwa na stress na ikishapenya hufungua kufuli za usiri
Mshana Jr njoo hapa kaunta, chukua jina la member mwenzetu mpya
Tayari
Bro mshana,
For years wazungu wamekunywa wanakunywa na wamefanya vumbuzi nyingi mpaka hizi internet, simu, treni, baiskeri, lami na magari na vingine vingi vingi.

Ushauri wako ni mzur sanaa wenye kumsaidia mtu mwenye kuokota nguvu kazi Ila hizi pombe ni kunywa kwa discipline Sanaa na kuto kuzidisha kiwango/ kipimo chako Tena weekend au jioni baada ya kazi kunywa for recreational purpose.

Huo ndio ushauri wangu kwa vijana upcoming nauchukiaga ulevi/walevi Ila siichukii pombe Ila tatizo kubwa lipo kwa mtu mwenyewe.
Huo ndio ushauri wangu kwa vijana upcoming nauchukiaga ulevi/walevi Ila siichukii pombe Ila tatizo kubwa lipo kwa mtu mwenyewe.📌🔨
 
Nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana.

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

Nimekuja kwenu, mnisaidie mambo yafuatayo:

01: Ni aina gani ya pombe inafaa, hasa kwa mtu anaenza.

02: Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu, ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu.

Hivyo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivyo pombe hiyo ni lazima iwe take-away.

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri, naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle.

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha, umri middle 20's
Do it at your own risk! Usitusumbue sisi!
 
Anza na ulanzi
 
So unamshauri mwenzio naye afanye hivyo?Wewe tayari umeshaharibikiwa,acha kupoteza mwenzio,Mungu atakudai damu yake.
Sijashauri mtu hayo ni maamuzi binafsi.

Umesema nimeharibikiwa una uhakika gani kwenye hilo?
Au mtu kunywa pombe ndo kuharibikiwa??

Tulia mzee na ww ulipita hukohuko kwenye enzi zako za ujana...hizo busara zako peleka kwa wazee wenzako, usikute upo vijijini huko unapigwa na jua umeshakula hela yote ya kiinua mgongo unakaza fuvu hapa JF. 🤔
 
Mtu anayeshauri mwingine anywe pombe kaharibikiwa,it is short and clear.

Halafuu,kumbuka mshauri mzuri ni yule ambaye alishafanya jambo na kuona athari zake first hand.

Pia hujui maisha yangu,kwa hiyo acha kuongelea usichokijua.Kwanza Kuwepo JF kunaonyesha wazi I have money to spare,ningekuwa nimechacha kama unavyofikiria wewe, hata JF nisingekuwepo.

Mwisho nakushauri usidharau wazee,kwa kuwa hilo ni fungu la kila mtu,hata wewe utazeeka,ni swala la muda tu.
 
Nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana.

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

Nimekuja kwenu, mnisaidie mambo yafuatayo:

01: Ni aina gani ya pombe inafaa, hasa kwa mtu anaenza.

02: Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu, ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu.

Hivyo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivyo pombe hiyo ni lazima iwe take-away.

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri, naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle.

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha, umri middle 20's
hAHAHAAAAAAA KUNYWA HIGHLIFE MZEE MKUBWA SISI WAKONGWE TUNAPIGA JOHN MTEMBEZI(BLACK LABEL)
 
Achana na Pombe Vuta bangi SK utakuja nishukuru mkuu
An even worse advice.Yes humanity has gone really wild.Mkuu akushukuru kwa kumshauri kuvuta bangi.How evil.But I said,pombe inavuta vices zingine kama madawa ya kulevya nk.Look bangi is slowly creeping in,next heroin ect.Name 97 please stay focussed,mapepo yamo humu JF,don't listen to them,usinywe Pombe,usivute bangi,yanataka uharibikiwe!

Halafu laiti ungejua JF is the worst place to seek for advice name 97.The Devil is in JF.
 
Nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana.

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

Nimekuja kwenu, mnisaidie mambo yafuatayo:

01: Ni aina gani ya pombe inafaa, hasa kwa mtu anaenza.

02: Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu, ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu.

Hivyo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivyo pombe hiyo ni lazima iwe take-away.

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri, naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle.

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha, umri middle 20's
But I said,pombe inavuta vices zingine kama madawa ya kulevya nk..Look ushauri wa bangi is slowly creeping in,next utakuja heroin.Name 97 stay focussed,mapepo yamo humu JF,don't listen to them,usinywe Pombe,usivute bangi,yanataka uharibikiwe.

Halafu laiti ungejua,JF is the worst place to seek for advice,the Devil is in JF.
 
Nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana.

Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana

Nimekuja kwenu, mnisaidie mambo yafuatayo:

01: Ni aina gani ya pombe inafaa, hasa kwa mtu anaenza.

02: Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu, ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu.

Hivyo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivyo pombe hiyo ni lazima iwe take-away.

Lakini pia uchumi wangu sio mzuri, naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle.

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions

Nawasilisha, umri middle 20's
Ukishaingia huko tuu ndio umepotea kabisa
 
Mtu anayeshauri mwingine anywe pombe kaharibikiwa,it is short and clear.

Halafuu,kumbuka mshauri mzuri ni yule ambaye alishafanya jambo na kuona athari zake first hand.

Pia hujui maisha yangu,kwa hiyo acha kuongelea usichokijua.Kwanza Kuwepo JF kunaonyesha wazi I have money to spare,ningekuwa nimechacha kama unavyofikiria wewe, hata JF nisingekuwepo.

Mwisho Nakushauri usidharau wazee,kwa kuwa hilo ni fungu la kila mtu,hata wewe utazeeka,ni swala la muda tu.
I'm humbled.... 🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom