trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,453
- 10,818
Pombe sio suluhisho la kutoa stress....once pombe ikiisha kichwani stress zinarudi tena unless uwe unakunywa 24/7...sikushauri kuingia kwenye pombe sababu madhara ni makubwa kuliko faida kiafya na kiuchumi pia.
Kama hutataka ushauri wa kutokunywa basi mzee baba anza na smart Gin, double kiki na Kvaa hizo huitaji kunywa nyingi yaani kidogo tuu utasahau matatizo yako kwa muda.
Kama hutataka ushauri wa kutokunywa basi mzee baba anza na smart Gin, double kiki na Kvaa hizo huitaji kunywa nyingi yaani kidogo tuu utasahau matatizo yako kwa muda.