Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,355
- 108,486
Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana
Umedanganywa na nani kwamba watu wanaokunywa huwa hawawazi?
Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana
Nimekumbuka yule wa bill ya afkumi 🤣🤣Hawezi hiyo bei mkuu
Huwezi amini kidogo nikukumbushe🤣🤣🤣Nimekumbuka yule wa bill ya afkumi 🤣🤣
Mkuu we acha tuSo story ndio imeisha bangosha??😂😂😂
Smirnoff elf 4/5Nashindwa kumshauri vinywaji vizuri mana anataka kinywaji cha less than 5K. Smirnoff black bei gani?
🤣🤣🤣 ila alikuchekesha sana etiHuwezi amini kidogo nikukumbushe🤣🤣🤣
Sio 5K bajet ya siku nzima?Smirnoff elf 4/5
Shoppers inaweza kuwa chini ya hapo.
So imo ndani ya bajeti yake 😂
Alinistua sana😅🤣🤣🤣 ila alikuchekesha sana eti
Smirnoff elf 4/5
Shoppers inaweza kuwa chini ya hapo.
So imo ndani ya bajeti yake![]()
Ah 🤣🤣Sio 5K bajet ya siku nzima?
si unaipata banana mkuu?? 😂Hawezi hiyo bei mkuu
Sasa hapa hamna sehemu ya voice 😂😂[mention]Depal [/mention] smirnoff inatamkwaje
au kvant ndogo!😅Ah 🤣🤣
Atakuwa anazingua. Akalewe mbege huko
Pombrnimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,
Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana
nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:
01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza
02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu
Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away
Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle
Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions
Nawasilisha,umri middle 20's
Pombe haipunguzi stress mkuu, inaongeza stress,the Devil is cheating you.Anza kumtafuta Mungu,hiyo ndio solution ya stress.Shetani kakuletea stress sasa anakupeleka kwenye tatizo lingine,be smart,stand firm,say no.Atakumbukwa nini Kila kitu ni kuki control kilevi chochote wew NDIO ukiendeshe sio chenyewe kikuendeshe....
Sikushauri uanze kunywa pombe Kama njia ya kutoa stress otherwise utaongeza tu stress...wenzako tunapambana sn tutoke huko na umesema uchumi wako sio mzuri plz usiingie kwenye pombenimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,
Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana
nimekuja kwenu,mnisaidie mambo yafuatayo:
01:ni aina gani ya pombe inafaa,hasa kwa mtu anaenza
02:Kutokana na nature ya familia yangu na kazi yangu,ikiwa itajulikana kuwa natumia pombe itawadissapont sana familia yangu na pia itaathiri kazi yangu
Hivo basi nataka kutumia kwa siri nikiwa nimetulia 'gheto'..hivo pombe hiyo ni lazima iwe take-away
Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle
Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions
Nawasilisha,umri middle 20's
Usithubutu mdogo wangu,hapa nilipo napingana kuacha pombe imeshindikana,ukitaka kuzidisha matatizo yako Anza kunywa,siku unastuka huna nguvu tena ya kuinuka.nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana,