Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Ulibuja nkema obange alemhola ili ong'wete-ke!?
😂😂😂 akoding'wa bushia😂😂
Ulibuja nkema obange alemhola ili ong'wete-ke!?
Baraka
Makini
Busara
Adili
Somo
Imara
Mwalimu
Mtumwa
Kijakazi
Akili
Mpole
Mwerevu
Subira
Kheri
Mahiri
Hodari
Nguvumali
Akilimali
Borafya
Kazimoto
Mpendakazi
Kwa sisi ambao tumewahi kuishi nchi za watu tumeona ni jinsi gani kujinasibisha na majina ya watu ambao hawana time na wewe kabisa inavyotia uchungu. Yaani kujiita majina yao ni kama kujipendekeza kwao
Dini yake?Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.
Hahahaaaa.....[emoji23][emoji23][emoji23] akoding'wa bushia[emoji23][emoji23]
Usimpe mtoto jina sijui la mzazi sijui la babu huyo babu au Bibi Cha maana alicho achieve kwenye maisha Ni Nini Hadi mtoto abebe jina sijui la Bibi au babu? Sio sahihi kumpa jina ohh sijui la Bibi wakati hicho kibibi chenyewe sana Sana unakuta kilikuwa kimwanga kinakaba watu usiku .Babu Kama alikuwa mangi mpe jina hata la Mangi Mtoto asipewe jina la wazazi au mababu au mabibi mashangazi nk wakati hawana lolote la maana walilo achieve kwenye maisha.Mtoto anatakiwa arithi Mali na jina la mheshimiwa babu au Bibi nk aliyeachieve makubwa Akibeba Hilo Jina hata akitembelea awe anajidai nalo.Enzi za kuwapa majina Watoto for the sake ya kufurahisha Bibi na babu mwanga they are over.Hata majina ya mitaa hupewa achievers mfano Nyerere road,Obama street,Nelson Mandela road ,kawawa road nk Tanzania Ni wilaya ya Mwanga tu ndio Ina jina la ajabu lilitokana na Mzee Mwanga wa kipare maarufu kwa kuwangaVp huyo rafiki yako hana wazazi, ndugu? Au amejikuta tu chini ya mnazi akapata mtoto? [emoji848][emoji848][emoji848]
Mawazo yako mgando sana, jitahidi ubadilike
Majina mengi ya Kikristo ni ya wazungu, sasa wakristo wafanye je?
Mkuu bado una yale mambo ya kizamani ya kuwapa watoto majina complicated ta kiingeza amabyo hata kuandika yatawashinda? Wengi wameachana na hiyo kasumba. Watoto wengi siku hizi hupewa majina ya asili zetu.wa kike au kiume?
kama me muite Giovvan
kama ke muite Melany
Mkuu bado una yale mambo ya kizamani ya kuwapa watoto majina complicated ta kiingeza amabyo hata kuandika yatawashinda? Wengi wameachana na hiyo kasumba. Watoto wengi siku hizi hupewa majina ya asili zetu.
MuiteKuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.