Nahitaji jina la mtoto ndugu zanguni

Nahitaji jina la mtoto ndugu zanguni

Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.

Nashauri aitwe John Paul Cyprian atakuwa na Mafanikio makubwa mno Maishani mwake.
 
Unaona akili yako ilivyo fupi? Hujui kutofautisha kati ya teknolojia na utamaduni.

Mkuu unatakiwa udumiahe utamaduni wako wa kimakonde wa kuficha uchi wako kwa magome ya miti kama unavyotaka kudumisha utamaduni wa majina.

Hakuna kitu kiko static mkuu.
 
Chagua kati ya haya
1,NGODA
2.KAHUNGO
3.POMBE
4.NYAGI
5.MBOGE
6.NYARI
7.NGIBE
8.ESAU
9.FURA
10.GADI
 
Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.
Muite Paramagamba itapendeza zaidi.
 
Mwanao anaitwa Luis, duh!

Waafrika tutaendelea kua watumwa milele hadi mwisho wa Dunia.

Wewe mmakonde Luis wapi na wapi? Au ndio vile mkimpa mtoto jina la kizungu basi ndio ujanja na baraka ila la kwenu kimakonde ni laana.

Kazi ipo.
Hata wewe ID yako ni ya kizungu mkuu
 
Jollinjane kama wakike
Eugine kama wakiume
Nathan n Natalia kama ni pacha[emoji7]
 
Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.

Lowasa alisema ELIMU ELIMU ELIMU
 
Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.
muite Mwalubadu au Side Mnyamwezi
 
Hao wazazi wa huyo mtoto nawashangaa sana [emoji87][emoji87][emoji87]

Yani mtu uzae mwanao halafu huna jina la kumpa mwanao hadi atafutiwe na rafiki?

Inasikitisha sana!
 
Kwani huyo mtoto amezaliwa bila wazazi wake kutarajia?

Kwanini hawakupanga jina lake mapema kabla ya kuzaliwa?

Ni kama amekataliwa vile [emoji87][emoji87]

Roho ya kukataliwa isije kuambatana na huyo mtoto
 
Akili za wapi hizi? Mtoto wako utafute jina kwa rafiki yako. Au ulimsaidia ku......... mimba.
 
Haya ni makosa ambayo yamekuwa yakifanyika kwenye jamii zetu kwa karne nyingi!

Kiukweli bila kutikisa vidole ni ujinga naamini watu wakipata mafundisho watapata ufahamu kisha kuondokana na huo ujinga
 
Mfano ni kuzaliwa kwa mtoto Yesu Kristo, jina alipewa kabla ya kuzaliwa, kina Yohana n.k
 
Back
Top Bottom