Nahitaji jina la mtoto ndugu zanguni

Nahitaji jina la mtoto ndugu zanguni

Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.
Kama hata jina umeshindwa kutunga hata mtoto sio wako
 
Le dada wewe achana nae aendelee na imani yake ya ajabu, usikute huyuhuyu anatamani kuwa na kali kalii, anapigilia pamba kali hatari anatamani kuwa na vitu kibao vya anasa ambavyo si asili ya wamakonde wala si asili yetu waafrika lakini akifika kwenye jina anajitoa ufahamu eti majina ya wazungu. Kwanini asiendelee pia kuvaa magome ya miti na kuacha vitu vingine vya wazungu ili wasiendelee kumtawala.

Mawazo yake mgando sana
Nani alikufundisha magome ya miti yalikua yawaafrika aka wamakonde!× ukipiga pamba kali na anasa ndio za imani nzuri isiyo ya ajabu!×, kila mbwa ni simba akiwa getini Kwake. Jikwamue kifikra
 
Usimpe mtoto jina sijui la mzazi sijui la babu huyo babu au Bibi Cha maana alicho achieve kwenye maisha Ni Nini Hadi mtoto abebe jina sijui la Bibi au babu? Sio sahihi kumpa jina ohh sijui la Bibi wakati hicho kibibi chenyewe sana Sana unakuta kilikuwa kimwanga kinakaba watu usiku .Babu Kama alikuwa mangi mpe jina hata la Mangi Mtoto asipewe jina la wazazi au mababu au mabibi mashangazi nk wakati hawana lolote la maana walilo achieve kwenye maisha.Mtoto anatakiwa arithi Mali na jina la mheshimiwa babu au Bibi nk aliyeachieve makubwa Akibeba Hilo Jina hata akitembelea awe anajidai nalo.Enzi za kuwapa majina Watoto for the sake ya kufurahisha Bibi na babu mwanga they are over.Hata majina ya mitaa hupewa achievers mfano Nyerere road,Obama street,Nelson Mandela road ,kawawa road nk Tanzania Ni wilaya ya Mwanga tu ndio Ina jina la ajabu lilitokana na Mzee Mwanga wa kipare maarufu kwa kuwanga
Achievement ya maisha ya hao kina bibi babu Shanghazi unaipimaje? Kwa hiyo ukimpa hilo na yeye atakua kama wao hao achievers kwa kipimo chaji hicho?! Kwamba kama sio achiever na mtoto ukimpa atakua hivo hivo atafuata nyayo?
Brainspiritualwashed
 
Jina ni brand ya mtu Huwezi beba brand weak ambayo Hakuna Cha maana Cha hiyo brand.Jina ni brand name.How do you brand yourself it is in the name.Jina linatakiwa liwe strong from strong people.Huwezi tu kubeba sijui jina la Bibi sijui babu tu for the sake ya kumfurahisha tu Bibi au babu.Lazima kuulizana hivi wewe babu au Bibi unataka mtoto nimpe jina lako kea kipi kikubwa ulicho achieve kwenye maisha? Hadi utake kubebesha watu zigo la Hilo Jina lako wajukuu watembee nalo
 
Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.
Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.
mpe jina la Ndugai
 
Majina nayoyakubali
Keshomshahara
Palamagamba
Ugomvimwiko

Chagua
 
Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.

kuzaa aliweza kuita jina kashindwa? mwambie aache utoto, wewe umuite jina unajua kabila lake, maana za majina yao, au wewe ni baba mtoto?
 
Back
Top Bottom