Muite: KapalamsengaKuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.
Travis, Shawn, McJunior, Joe ..chagua hapo
Majina ya wapi haya? Ya kizungu? Wazungu wataendelea kututawala milele maana wamepandikiza utamaduni wao baadhi ya waafrika mataahira hudhani kumpa mtoto jina la kizungu ndio ujanja.wa kike au kiume?
kama me muite Giovvan
kama ke muite Melany
Majina ya wapi haya? Ya kizungu? Wazungu wataendelea kututawala milele maana wamepandikiza utamaduni wao baadhi ya waafrika mataahira hudhani kumpa mtoto jina la kizungu ndio ujanja.
Mwanao anaitwa Luis, duh!Una jina la mwanangu ww..
Mwanao anaitwa Luis, duh!
Waafrika tutaendelea kua watumwa milele hadi mwisho wa Dunia.
Wewe mmakonde Luis wapi na wapi? Au ndio vile mkimpa mtoto jina la kizungu basi ndio ujanja na baraka ila la kwenu kimakonde ni laana.
Kazi ipo.

Onyanda, olehaya kinehe nkoi?wanangu wote wana majina ya kisukuma..na nso yamedominate zaidi hom..hilo la ubatizo babu wee
wanangu wote wana majina ya kisukuma..na nso yamedominate zaidi hom..hilo la ubatizo babu wee
Wow!! Ni lipi kati ya hayoUna jina la mwanangu ww..
Nyie ndio wale mmefundishwa kua usipompa mtoto jina la kizungu habarikiwi. Kwamba majina ya kiafrika ni ya laana.Mawazo yako mgando sana, jitahidi ubadilike
Tutajie jina lako la jadi.Mwanao anaitwa Luis, duh!
Waafrika tutaendelea kua watumwa milele hadi mwisho wa Dunia.
Wewe mmakonde Luis wapi na wapi? Au ndio vile mkimpa mtoto jina la kizungu basi ndio ujanja na baraka ila la kwenu kimakonde ni laana.
Kazi ipo.
Unaona akili yako ilivyo fupi? Hujui kutofautisha kati ya teknolojia na utamaduni.Le dada wewe achana nae aendelee na imani yake ya ajabu, usikute huyuhuyu anatamani kuwa na kali kalii, anapigilia pamba kali hatari anatamani kuwa na vitu kibao vya anasa ambavyo si asili ya wamakonde wala si asili yetu waafrika lakini akifika kwenye jina anajitoa ufahamu eti majina ya wazungu. Kwanini asiendelee pia kuvaa magome ya miti na kuacha vitu vingine vya wazungu ili wasiendelee kumtawala.
Mawazo yake mgando sana