Nahitaji jina la mtoto ndugu zanguni

Nahitaji jina la mtoto ndugu zanguni

Nani kakudanganya?!
Mimi sio wa kudanganyika ndugu, kwani wewe unafahamu majina ya kikristo? Namaanisha yaliyoko kwenye Biblia, wazungu wengi wanayo mfano: Jonathan, Joseph, Jesse, Jothan, Ester, n.k. Au ni kwa sababu wewe unasoma biblia ya kiswahili?

Samahani ndugu usikwazike, natoa maoni yangu tuu
 
Vizuri kama unaelewa, jiulize chimbuko la ukristo, soma biblia kabla haijachakachuliwa na wakina King James. Middle East majina ya kizungu yanakujaje?
 
Mwanao anaitwa Luis, duh!

Waafrika tutaendelea kua watumwa milele hadi mwisho wa Dunia.

Wewe mmakonde Luis wapi na wapi? Au ndio vile mkimpa mtoto jina la kizungu basi ndio ujanja na baraka ila la kwenu kimakonde ni laana.

Kazi ipo.
Hata wewe ni mtumwa tu maana ID yako ya kingereza
 
Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.
Jina la kikabila ua la kidini. Maana kuna majina ya kikirito, kiislamu n.k.
 
Usimpe mtoto jina sijui la mzazi sijui la babu huyo babu au Bibi Cha maana alicho achieve kwenye maisha Ni Nini Hadi mtoto abebe jina sijui la Bibi au babu? Sio sahihi kumpa jina ohh sijui la Bibi wakati hicho kibibi chenyewe sana Sana unakuta kilikuwa kimwanga kinakaba watu usiku .Babu Kama alikuwa mangi mpe jina hata la Mangi Mtoto asipewe jina la wazazi au mababu au mabibi mashangazi nk wakati hawana lolote la maana walilo achieve kwenye maisha.Mtoto anatakiwa arithi Mali na jina la mheshimiwa babu au Bibi nk aliyeachieve makubwa Akibeba Hilo Jina hata akitembelea awe anajidai nalo.Enzi za kuwapa majina Watoto for the sake ya kufurahisha Bibi na babu mwanga they are over.Hata majina ya mitaa hupewa achievers mfano Nyerere road,Obama street,Nelson Mandela road ,kawawa road nk Tanzania Ni wilaya ya Mwanga tu ndio Ina jina la ajabu lilitokana na Mzee Mwanga wa kipare maarufu kwa kuwanga
Sikumaanisha kwamba hao watu wake ndio attumie majina yao, namaanisha huyo rafiki yake anashindwa kutafuta ushauri kwa ndugu zake!
 
Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.

Mwambie msimamizi. Wako wa ndoa c wengine unatusumbua kwa yasiyotuhusu
 
Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.
Mpe la kwako.
 
Back
Top Bottom