Nahitaji jina la mtoto ndugu zanguni

Nahitaji jina la mtoto ndugu zanguni

Le dada wewe achana nae aendelee na imani yake ya ajabu, usikute huyuhuyu anatamani kuwa na kali kalii, anapigilia pamba kali hatari anatamani kuwa na vitu kibao vya anasa ambavyo si asili ya wamakonde wala si asili yetu waafrika lakini akifika kwenye jina anajitoa ufahamu eti majina ya wazungu. Kwanini asiendelee pia kuvaa magome ya miti na kuacha vitu vingine vya wazungu ili wasiendelee kumtawala.

Mawazo yake mgando sana


Hahahhahaa...shangaa na ww mzee baba hahaha ..watanzania bwana
 
Mwanao anaitwa Luis, duh!

Waafrika tutaendelea kua watumwa milele hadi mwisho wa Dunia.

Wewe mmakonde Luis wapi na wapi? Au ndio vile mkimpa mtoto jina la kizungu basi ndio ujanja na baraka ila la kwenu kimakonde ni laana.

Kazi ipo.
Majina mengi ya Kikristo ni ya wazungu, sasa wakristo wafanye je?
 
Mitomingi
MuhogoMchungu
MgeniNani
UsitakeNcheke

Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.
 
Mwanao anaitwa Luis, duh!

Waafrika tutaendelea kua watumwa milele hadi mwisho wa Dunia.

Wewe mmakonde Luis wapi na wapi? Au ndio vile mkimpa mtoto jina la kizungu basi ndio ujanja na baraka ila la kwenu kimakonde ni laana.

Kazi ipo.
Acha kuzingua watu.We mwenyewe hadi ID yako ya JF ya kizungu,so utaendelea kutawaliwa sababu ya jina hilo??!!
 
Back
Top Bottom