Kama YUDA 😂😂Jina la mtoto linatakiwa kuwa na nguvu Sio la kinyonge Kama Sijali au dodoki,chakubimbi nk na pili liwe rahisi kutamkwa na kila mtu wa kila kabila na taifa lolote na liwe rahisi kuandikwa ikiwezekana lisizidi herufi nne
Hilo baya ni la kiongozi mkuu wa usaliti duniani Yuda iskarioteKama YUDA 😂😂
Majina ya wakinga hayo wanaofanya kazi kwenye mashamba ya chai Njombe Watoto wao huwapa hayo majina.Unakuta Akina Greenleaf kibao Wewe utakuwa Ni mkingaGreenleaf ni jina zuri
Naotea
Joe travis
Una vidume tu? Hongera ma mkweeNop..Luiz...pia nna Giovvan
Una vidume tu? Hongera ma mkwee
Sawa nitakuombea ..ila kumtoboa siku mbili..jamaniHebu niombee nipate bby gal..nitamtoboa sikio siku ya 2 tu jaman atavaa gold had ashangae[emoji23][emoji23]...! yaan[emoji848]!narudia tena yaan[emoji848]
Sawa nitakuombea ..ila kumtoboa siku mbili..jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa Mungu akakupe hitaji lakokweli shost!..hapana aise
Kutembea uchi hata wazungu walitembea uchi. Hiyo sio hoja kabisa.Mkuu unatakiwa udumiahe utamaduni wako wa kimakonde wa kuficha uchi wako kwa magome ya miti kama unavyotaka kudumisha utamaduni wa majina.
Hakuna kitu kiko static mkuu.
Ulibuja nkema obange alemhola ili ong'wete-ke!?Onyanda, olehaya kinehe nkoi?
Onkimoko alemola?
Avriel...Kuna rafiki yangu kapata mtoto wa kiume ,so Mimi kama rafiki yake ameniomba nimchagulie mwanae jina ,naombeni msada wandugu maana swala limekuwa la kushitukiza kidogo.