Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,195
- 1,472
Sawa
Ongeza hela tafuta hizi Portable External Drive yenye storage type ya SSD au NVMe kuanzia hata 250 GB na kuendelea ni mfuko wako tu..Habarini waungwana
Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _
flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi
wajuzi wahayo mambo msaada plz
Mimi ni mtuniaji wa chaji zao yaani ni mkataba Oraimo ni moto wa kuotea mbali hasa masikiniKuna hawa watu wanaitwa oraimo aisee nilinunua earpods zao ni ngumu balaa na mziki hatari, Flash zao ndio flash yangu ya kwanza kukaa 2.5 years, na Hair cutz machine zao, Hii kampuni ni noma aisee kuna mtu anatumia kitu chochote cha oraimo athibitishe?
0757554433weka namba nikucheki
.Chkua "SanDisk" au "HP"