Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

Developer umlipe laki 4 kweli?
Yes brother, laki 4 na nilipata. Unajua shida ni nini ndugu? Wapo machalii wengi kitaa wamemaliza degree za IT, kila wanapoenda kuomba kazi wanaambiwa wanahitajika wenye uzoefu wa angalau miaka 2, option nyingine ni wafanye internship sehemu na walipwe nauli tu au pengine wasilipwe kabisa! Si ni afadhali mimi kufanya nao kazi kama intern kwa mshahara wa laki 4 ??? Na isitoshe hiyo laki 4 ni mwanzo tu, siwezi mlipa developer laki 8 au +1M ikiwa ni fresh from school kisa ana degree, ndio maana nilisisitiza UJUZI kwasbabu graduates wengi wanajua baadhi ya languages tu za coding lakini hawawezi kuunda hata software moja ikakamilika kwa urahisi. Na ndio maana mimi nikatafuta programmers 3 kwa laki 4 each, na software developer mmoja kwa 1.5M ili arekebishe na aunganishe kile kinachosukwa na hawa madogo! Anyways vile tunavyosuka vitawekwa hapa pia wakati wa ku-launch.
 
Ulete mrejesho mkuu
 
Ulete mrejesho mkuu
Karibu kwa huduma za Digital Cards kaka, mfumo huu upo tayari na tumeshafanya shughuli zaidi ya 10 na kuscan kadi zaidi ya 20K, mwezi wa 3-5 pia tuna shughuli 4 tayari tumeanza kuzi-manage. Iwe ni HARUSI, SEND-OFF, GRADUATION, CONCERT, BUSINESS MEETINGS, NK wasiliana nasi.

Mfumo wetu utatuma kadi zako kwa waalikwa (maximum 1000 kwa round 1 ya dakika 10 tu), kadi zinaenda na reply buttons (Eg: Asante nitafika, Nina dharura sitofika, Asante nimepokea), lakini pia mfumo unachambua namba zilizopo whatsapp na kutuma kadi, kisha namba zisizo whatsapp zinatumiwa SMS ya kawaida kwa jina la shughuli yako. Baada ya kutuma kadi, team yetu ya kuhakiki (ku-scan) kadi itafika ukumbini kwenye shughuli yako kukusaidia kwnye uhakiki. Wewe mwenye shughuli utakaa ndani ya ukumbi na kupewa link ya maudhurio itakayokuwa inaji-update automatically kila mwalikwa wako anapofika mlangoni na kadi yake kuwa scanned na team yetu ya uhakiki, karibu sana boss. Kadi za michango zinaanzia Tsh 1000 tu, za mwaliko kuanzia Tsh 1500, za Business meetings kuanzia Tsh 3000 tu!

NB: TUMETENGENEZA HII SYSTEM ILI KUENDELEA KU-RAISE FUNDS YA KUTENGENEZA SYSTEM HUSIKA ambayo uzinduzi wake utaalika waandishi wa habari if GOD wishes 😀

BTW, tutatangaza very soon kuongeza DEVs wengine wawili. Haha!

Unaweza chagua kadi uipendayo hapo chini kulingana na shughuli yako, kisha sisi tutaibadili maelezo na kuiweka kwenye mfumo wetu ili kuisambaza kwa watu wako;
 
Back
Top Bottom