Nahitaji Connection ya Kazi Serikalini

Nahitaji Connection ya Kazi Serikalini

Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa atakae nisaidia. Lengo langu ni kuingia kwenye mfumo wa serikalini wa ajira hivyo kazi yeyote ile ilimradi ni ya serikali nitafanya.

Narudia tena LENGO LANGU ni kuingia kwenye MFUMO WA SERIKALI WA AJIRA HIVYO KAZI YEYOTE NITAFANYA. Ofa yangu 5m
Walau ingekuwa mil10 ningejaribu kakitu
 
Oooops, nilijua unaomba connection ya mwegulue🙂
 
Form six unataka mchongo au sio ? Kuha wenzio wana masters wapo benchi.... kachome mkaa kwenu huko
 
Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa atakae nisaidia. Lengo langu ni kuingia kwenye mfumo wa serikalini wa ajira hivyo kazi yeyote ile ilimradi ni ya serikali nitafanya.
Sasa hivi hata waliopo kwenye mfumo wenyewe kuwaingiza ndugu zao ni kipengele kigumu ni wale mamafia tu ndio wanaweza kufanya hivyo tena kwa ubabe haswa na kikinuka wanavimba, lakini jitahidi uende shule siku hizi kinachokubeba sana popote utakapoenda sio kwamba wewe unajua nini ila wewe umebeba nini, kinachothibitisha kwamba kweli wewe unajua?, kuna kule kubebwa km enzi zile za JK yaan hata km huna cheti jamaa walikua wanakuweka tu mradi una kauzoefu fulani basi kaa pale upige kazi mpaka JPM akaja kuibuka nayo km vyeti feki, sasa hivi hakupo utaambiwa tuonyeshe cheti kwanza ndio uingie mzigoni

kwa hio tafuta cheti kiwe kizuri au kawaida ndio uanze hizo harakati zako usifanye mambo kwa kukurupuka,

mfano kuna jamaa hapa juzi kati alipata zari la nafasi 1 tu kwenye kampuni kubwa ya magari alipewa sehemu na hio nafasi ilikua ni ya udereva wa magari makubwa tu iliitajika leseni yenye Class E tu na mshahara aliotengewa ulikua ni mrefu na mnono jumlisha marupurupu km yote maana kampuni ni kubwa, simu zikaita akapewa maelezo kua ameshasetiwa mpira tayari yeye kazi yake iliyobakia ni kufunga tu, jamaa akasema sawa ila yeye ana kipengele kimoja akaulizwa kipengele gani? akajibu hana leseni Class E wakamwambia basi hii tulikusetia ilikua yako km huna Class E itakua ngumu kampuni kukuajiri maana huna leseni hio na zari hilo likafia hapo

Kwa hio ingia shule soma kwanini uliacha Chuo?
 
KAMA UNAWEZA KUFIRA AU KUFIRWA KAZI ZIPO UTAPATA TU ILA UKITAKA ISIYO NA MASHART NENDA SEKRETARIET YA AJIRA
 
Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa atakae nisaidia. Lengo langu ni kuingia kwenye mfumo wa serikalini wa ajira hivyo kazi yeyote ile ilimradi ni ya serikali nitafanya.

Narudia tena LENGO LANGU ni kuingia kwenye MFUMO WA SERIKALI WA AJIRA HIVYO KAZI YEYOTE NITAFANYA. Ofa yangu 5m
Kama una elimu ya F6 bado uwezo wako wa kufikiri uko hivyo ni hatari sana 😂😂

F6 leaver huna skills yoyote umepambana umepata 5m unataka ukampe mtu akupe hata kazi ya udereva salary 300k🤭
Ikiwa akili yako iko hivyo chukua 600k soma driving, pata leseni class C nenda Halmashauri kajitolee miezi 2 au 3 ukiwa unasoma mazingira then mpe mtu 1m unapata ajira serikalini na unabakiza 3m ya duka la nafaka
 
Katafute cheti chochote cha fani huko kwanza, serikali hakuna wanapochukua bila fani siku hizi labda huko majeshini
 
Una 5M sasa huo si ni mtaji tosha kabisa unaenda China kuchukua mzigo unakuja kuuza Bongo unakwama wapi?
Mkuu lengo langu sio kazi LENGO NI KUINGIA KWENYE SYSTEM YA AJIRA ndio maana nimesema kazi yeyote, najua ninachokitaka
 
Kama una elimu ya F6 bado uwezo wako wa kufikiri uko hivyo ni hatari sana 😂😂

F6 leaver huna skills yoyote umepambana umepata 5m unataka ukampe mtu akupe hata kazi ya udereva salary 300k🤭
Ikiwa akili yako iko hivyo chukua 600k soma driving, pata leseni class C nenda Halmashauri kajitolee miezi 2 au 3 ukiwa unasoma mazingira then mpe mtu 1m unapata ajira serikalini na unabakiza 3m ya duka la nafaka
Mkuu umesoma vizuri nilichoandika? Basi naomba nikufanunulie vizuri natafuta nafasi ya kuingia kwenye system ya ajira ya Tanzania ndio mana nikasema kazi yeyote nitafanya ila haimanishi sina Kazi au maisha yangu hayaendi
 
Sasa hivi hata waliopo kwenye mfumo wenyewe kuwaingiza ndugu zao ni kipengele kigumu ni wale mamafia tu ndio wanaweza kufanya hivyo tena kwa ubabe haswa na kikinuka wanavimba, lakini jitahidi uende shule siku hizi kinachokubeba sana popote utakapoenda sio kwamba wewe unajua nini ila wewe umebeba nini, kinachothibitisha kwamba kweli wewe unajua?, kuna kule kubebwa km enzi zile za JK yaan hata km huna cheti jamaa walikua wanakuweka tu mradi una kauzoefu fulani basi kaa pale upige kazi mpaka JPM akaja kuibuka nayo km vyeti feki, sasa hivi hakupo utaambiwa tuonyeshe cheti kwanza ndio uingie mzigoni

kwa hio tafuta cheti kiwe kizuri au kawaida ndio uanze hizo harakati zako usifanye mambo kwa kukurupuka,

mfano kuna jamaa hapa juzi kati alipata zari la nafasi 1 tu kwenye kampuni kubwa ya magari alipewa sehemu na hio nafasi ilikua ni ya udereva wa magari makubwa tu iliitajika leseni yenye Class E tu na mshahara aliotengewa ulikua ni mrefu na mnono jumlisha marupurupu km yote maana kampuni ni kubwa, simu zikaita akapewa maelezo kua ameshasetiwa mpira tayari yeye kazi yake iliyobakia ni kufunga tu, jamaa akasema sawa ila yeye ana kipengele kimoja akaulizwa kipengele gani? akajibu hana leseni Class E wakamwambia basi hii tulikusetia ilikua yako km huna Class E itakua ngumu kampuni kukuajiri maana huna leseni hio na zari hilo likafia hapo

Kwa hio ingia shule soma kwanini uliacha Chuo?
Mkuu asante kwa time yako, umeeleza vizuri, ila to keep things short ni kwamba ninahitaji tu Jina langu liwe kwenye system basi na sio kwamba nahitaji kazi ili iendeshe maisha yangu hapana.

Niliacha chuo nikaingia mtaani kupambana, matokeo sio mabaya
 
Mkuu umesoma vizuri nilichoandika? Basi naomba nikufanunulie vizuri natafuta nafasi ya kuingia kwenye system ya ajira ya Tanzania ndio mana nikasema kazi yeyote nitafanya ila haimanishi sina Kazi au maisha yangu hayaendi
Nimekusoma vizuri sana ndomaana nikakushangaa unataka utowe rushwa 5m uingie kwenye system alafu uwaumize wa Tz et 🤭🤭

Tamaa mbele mauti nyuma, jihadhari na hiyo hamu yako ya kuingia serikalini kwa 5m

Ungeweza kuomba connection bila kuahidi chochote ingekuwa bora zaidi msaada ungepatikana kwa urahisi lakin una 5m huna ujuzi wowote alafu unatafuta mtu umpe ili uingie serikalini!!!
 
Sio rushwa mkuu, ni shukurani kwa atakae nisaidia
 
Back
Top Bottom